Watoto wa mwisho tukutane hapa

Watoto wa mwisho tukutane hapa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakujua mwenza sisi huwa hatutaki majaribu kabisa.
Hahaha unamwambia nitumie hela nae makusudi anakutumia kwa namba yake ileile sijui utamwambia asante hukohuko pm au utamwambia kwa namba yake ya kawaida
 
Mimi sijui nijiite vipi.maana nimezaliwa peke yangu kwa mama.na ameshafariki
 
Umeona eeh? Yaani namshangaa huyo anayesema mtoto wa mwisho alikuwa anatuma mimi siwezi hata hapa nyumbani naweza nikakaa na mtoto labda wa ndugu huwa siwezi hata kumwomba anifulie nguo hata kama nahitaji msaada huo yaani nashishindwa kabisaa
Mdogo wako yule wakuzaliwa naye ndo una uhuru naye hawo wa familia ukianza kumtuma tuma ataona unamtesa
 
Hahaha unamwambia nitumie hela nae makusudi anakutumia kwa namba yake ileile sijui utamwambia asante hukohuko pm au utamwambia kwa namba yake ya kawaida
Unajitia kauzu unamshukuru pm alafu unamute.
 
Sisi wapili kutoka mwisho tunacomment wapi??

Ila nammaind sana mdogo wangu
 
Sisi wa katikati hatujafaidi sana,ila nyie wa mwisho hasa kwenye msosi mnapendelewa sana
Mimi wa katikati ila baba alinifanya kama ndio wa mwisho ..nisipopenda chakula kilichopikwa home basi lazima atafute mbadala wa Mimi kula
 
Back
Top Bottom