Watoto wa mwisho tukutane hapa

Watoto wa mwisho tukutane hapa

Mimi ni wa mwisho niliyetokea kwa bahati. Mpaka kesho kaka yangu ninaemfuata ana mind nimemnyang’anya title yake.

Kuna gap ya five years kati yetu. Maana yake wote walipokuwa boarding nilikuwa home alone kama the only child.

Dada mkubwa ndiye alinifundisha taugh life kama kufua , kupiga deki, kupika. Bila yeye ningekua spoilt rotten.

Karibuni ma last born wenzangu.
Mimi pia ni last born nililelewa na mama wa kambo. Thanks God mateso na manyanyaso niliyoyapata ni shule tosha. Sijuagi kudeka maana sikupata chansi ya kudekezwa. Napika natwanga napasua kuni kama ke. Life is not fare sometimes..
 
Mimi pia ni last born nililelewa na mama wa kambo. Thanks God mateso na manyanyaso niliyoyapata ni shule tosha. Sijuagi kudeka maana sikupata chansi ya kudekezwa. Napika natwanga napasua kuni kama ke. Life is not fare sometimes..
Best wangu alilelewa na mama wa kambo pia. Baba yake alikuwa diplomat. Kadiri alivyopanda cheo ndivyo alivyogundua kuwa mke wake hajasoma. Baba alipopata ubalozi aliona aibu kuleta wageni nyumbani mama English haipandi.

Mama aliposema ki boot kwenda back to the village. Baba alivuta secretary wake ndani. Kaka na dada wakubwa walikuwa University na A level.

Best alikuwa bado primary school. Aliambiwa hana mfanyakazi pale chini ya utawala wa step mother. Alianza kufua Shuka na uniforms zake na akitoka shule ajipikie.

Sasa hivi flat yake ni safi sana. Kaka na dada walimjengea mama nyumba, Baba aliugua mwenyewe mpaka anakufa step mother alibaki Ulaya baada ya mzee kustaafu.
 
Sioni raha anayoipata last born wetu... By the way tupo wawili tu.. Boi and gel... Cha zaidi dogo anapata mateso coz kila kitu analinganishwa na mimi... Am a very good child wakati yeye pasua kichwa...
 
sisi wa kwanza tufanyaje sasa ?
Hase mtoto wa kazi huwa ni noma sana everything kwenye familia linakuhusu ukikosea tu lawama nyingi sana maana ww ndo mfano inshort ni kiongozi tu the moment unazaliwa hauna nafasi ya kukataa
 
Mimi kaka yangu tulifuatana kwa kupishana 3years hivyo tumepigana sana. Na hivyo nilikuwa mchokozi wala mama hakunitetea likitokea la kutokea. Ila baba ndio hakutaka hata niguswe. Nikipigwa asubuhi nasubiri muda baba anarudi naanza kulia upyaaaaa.

Ila nilipobaki na mama tu ndio alinidekeza balaa, hadi vyombo tulikuwa tumewekeana zamu ya kuosha[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Kweli mnatabia zinazofanana madogo wote yaani mdogo wangu alikuwa hivyohivyo ogopa ni wa mwisho afu ni mmoja kwenye familia wa kike yy peke yake japo kalikuwa kadogo sana hakana uwezo kupigana na mm ila ukimpiga analia muda wa maza kurudi ukifika tena kanapiga kelele yaani mwenyewe naanza kuogopa nimeumiza sana nn
 
Kwangu mimi kuwa mtoto wa mwisho kumenipa tabia mbaya ya kudeka tu na umri huu napata tabuu yaani nimesha achwa na x zangu kwa kudeka bila sababu, kulia bila jambo la maana😁😁😁
 
Back
Top Bottom