Watoto wa mwisho tukutane hapa

Watoto wa mwisho tukutane hapa

Mimi ni wa mwisho niliyetokea kwa bahati. Mpaka kesho kaka yangu ninaemfuata ana mind nimemnyang’anya title yake.

Kuna gap ya five years kati yetu. Maana yake wote walipokuwa boarding nilikuwa home alone kama the only child.

Dada mkubwa ndiye alinifundisha taugh life kama kufua , kupiga deki, kupika. Bila yeye ningekua spoilt rotten.

Karibuni ma last born wenzangu.
Mimi na brother ninayemfuata gap ni 10 yrs ila wote tulimpenda sana mama yetu (R.I.P mama). Yeye aliamini yeye ndiye kitinda mimba mara paaaap, mimi huyu hapa.
 
Mimi na brother ninayemfuata gap ni 10 yrs ila wote tulimpenda sana mama yetu (R.I.P mama). Yeye aliamini yeye ndiye kitinda mimba mara paaaap, mimi huyu hapa.
Mimi pia ilikuwa hivyo lakini ni five years. Wazazi wote bado wapo tunsmshukuru Mungu.
 
Mimi ni wa mwisho niliyetokea kwa bahati. Mpaka kesho kaka yangu ninaemfuata ana mind nimemnyang’anya title yake.

Kuna gap ya five years kati yetu. Maana yake wote walipokuwa boarding nilikuwa home alone kama the only child.

Dada mkubwa ndiye alinifundisha taugh life kama kufua , kupiga deki, kupika. Bila yeye ningekua spoilt rotten.

Karibuni ma last born wenzangu.
nipo hapa last born,vipi unataka mchumba nini?
 
[emoji23]du aisw

,..............................................................
UKIITAJI VITU USED NA VIPYA
-Aina zote kwa bei. "NAFUU".. ni PM
Kuna[emoji979] Vitanda,Makabati,Magodoro,Laptops,Cameras,Majiko,Mazurka,TV,Showcases Nk
................................,.................................
 
Mimi ni wamwisho jamani na kaka yangu alichukia sana mpaka tulikuwa tunapigana nani wa mwisho mpaka tunachapwa na baba kisa tunasumbua kugombania nani wa mwisho mpaka ikaja hivi mama akasema kaka yako nibwa mwisho kwa wanaume na wewe nikwa wote kwa hiyo akatuliza ball ila kuwa wa mwisho ni raha sana
 
Back
Top Bottom