Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,823
- 233,255
Moderator Maxence Melo JamiiForums na wengine wengi, mbona mnafuta comments zetu bila kutuambia sababu?
Au sababu ni kuuliza kwanini hamuweki zawadi wazi kama ilivyokuwa kwenye kura?
Mnafutaje kimyakimya bila kutuambia sababu?
Au haturuhusiwi kufurahi kwa kucheka na kuwatag wahusika?
ila mbona comments za kuwafedhehesha baadhi ya wahusika zipo?
Najiuliza maswali mengi.. anyway, uamuzi ni wenu wakuu.
Au sababu ni kuuliza kwanini hamuweki zawadi wazi kama ilivyokuwa kwenye kura?
Mnafutaje kimyakimya bila kutuambia sababu?
Au haturuhusiwi kufurahi kwa kucheka na kuwatag wahusika?
ila mbona comments za kuwafedhehesha baadhi ya wahusika zipo?Najiuliza maswali mengi.. anyway, uamuzi ni wenu wakuu.