Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,575
- 31,013
Pamoja na nguvu zote zile bado kakosa Tuzo. Hii dunia ni tambara bovine wallahTutampa dronedrake 😅😅😅
Kaipambania sana KATAA NDOA
Yangu ashaipataYani mama anaona hata Ukuu wa Wilaya haumtoshi. Tupige kura apandishwe cheo awe Mod haoa JF
Kura ya NDIO kwa Pasco!
raraa reree namkabidhi hii tuzo kiroho safi kabisa. Mzee wa LIKES
50/50 na mkwepu jrraraa reree namkabidhi hii tuzo kiroho safi kabisa. Mzee wa LIKES
**UMUGHAKA anastahili kabisa....hekooooHabari wana JF,
Jamii Forums inatambua mchango wa wanachama wake walioshiriki mijadala vizuri kwa mwaka 2022. Mchakato huo ulikuwa wa wazi na shirikishi. Kwa mujibu wa kura zilizopigwa hapa jukwaani washindi wetu ni kama ifuatavyo.
Jukwaa Mshindi Kura Jokes 47% Kilimo na Uvuvi 68% Technology 93% Celebrities 28% MMU 69% Siasa 49% Michezo 49% Afya 58% Garage 40% Lugha 56% Elimu 54% International & Kenyan 62% & 83% Historia No competitor Photos & Habari na Hoja & Intelligence 83% & 50% & 32% Biashara na uchumi 42% Chef No competitor Sheria No competitor Entertainment 82%
Kwa wote ambao wametajwa katika orodha hii, mnaomba kuingia inbox ili kujua utaratibu wa kuchukua zawadi zenu Mtapokea ujumbe kutoka kwa ID official ya JamiiForums.
NB: Utaratibu wa kuchukua tuzo hautahusisha kufichua utambulisho wa mwanachama yeyote.
Hongereni sana.




Huyo yupo kwenye magariKabisa mkuu umemsahau Extrovert
@Extrovert umemuweka wp
Huyo jamaa na raraa reree ni sawa na Coastal Union Vs Barcelona. Hapa najua atanigongea Like lazima. Labda kama kadedi jana50/50 na mkwepu jr
Tutampa dronedrake 😅😅😅
Kaipambania sana KATAA NDOA
Naunga mkono hojaHIZO ZAWADI ZIAMBATANE NA KIASI CHA PESA TAFADHALI.
MUDA NI PESA, KWA MUDA WALIOTUMIA KUWA HUMU JF ANGALAU NA PESA IWEP0,
Tufe na jukwaa la michezo, tubetiSasa ngoja nianze kudondosha nondo na mimi.
Nichague na jukwaa la kuwa naishi huko.