Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Mlitumia kigezo gani maana kuna wengine nyuzi zao ni kuharisha tu wala hamna la maana ama hao ndio mamluki wenu? Kama huyo bujibuji ni mweupe kabisaaaaa sijawahi kuona uzi wake wenye maana labda mngeweka na ushahidi wa nyuzi walizoleta huku na zikapata mashiko sio kutu bull.
 
Back
Top Bottom