Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Asanteni kwa kura zenu wote zilizonipa ushindi.. Kwa moyo wa shukrani nasema asanteni sana[emoji1545]View attachment 2564561
Kwangu mimi you deserve it bro tena sio hii, ilitakiwa ile waliyompa mzee said ya wao kama JF kumrecognise tokana na michango yake. Much love and respect kwako mchawi mstaafu. Natamani siku moja tuonane tupige story mbili tatu.
 
Thanks sana mkuu [emoji1752][emoji1545][emoji173]
 
Back
Top Bottom