Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Habari wana JF,

Jamii Forums inatambua mchango wa wanachama wake walioshiriki mijadala vizuri kwa mwaka 2022. Mchakato huo ulikuwa wa wazi na shirikishi. Kwa mujibu wa kura zilizopigwa hapa jukwaani washindi wetu ni kama ifuatavyo.

Jukwaa
Mshindi
Kura
Jokes​
47%​
Kilimo na Uvuvi​
68%​
Technology​
93%​
Celebrities​
28%​
MMU​
69%​
Siasa​
49%​
Michezo​
49%​
Afya​
58%​
Garage​
40%​
Lugha​
56%​
Elimu​
54%​
International & Kenyan​
62% & 83%​
Historia​
No competitor​
Photos & Habari na Hoja & Intelligence​
83% & 50% & 32%​
Biashara na uchumi​
42%​
Chef​
No competitor​
Sheria​
No competitor​
Entertainment​
82%​

Kwa wote ambao wametajwa katika orodha hii, mnaomba kuingia inbox ili kujua utaratibu wa kuchukua zawadi zenu Mtapokea ujumbe kutoka kwa ID official ya JamiiForums.

NB: Utaratibu wa kuchukua tuzo hautahusisha kufichua utambulisho wa mwanachama yeyote.

Hongereni sana.
Hongera magwiji wa JF.
 
Kwani warumi si alikufa mwaka 2021 mkuu

Au nimekosea kwani alikuwa na tabia gani maana mi niwa juzi juzi tu hapa 🤔
Mrehemu hasemwi, mkaushie ila alikuwa mmbeya wa mjini ambaye haegemei upande wowote and she was NOT LESBIAN related, ila hakuna stori ya celeb alikuwa haijui kila chimbo analijua
Chief mkwawa ana deserve
🫱🏼‍🫲🏽🫱🏼‍🫲🏽🫱🏼‍🫲🏽🫱🏼‍🫲🏽🫱🏼‍🫲🏽🫱🏼‍🫲🏽
 
Habari wana JF,

Jamii Forums inatambua mchango wa wanachama wake walioshiriki mijadala vizuri kwa mwaka 2022. Mchakato huo ulikuwa wa wazi na shirikishi. Kwa mujibu wa kura zilizopigwa hapa jukwaani washindi wetu ni kama ifuatavyo.

Jukwaa
Mshindi
Kura
Jokes​
47%​
Kilimo na Uvuvi​
68%​
Technology​
93%​
Celebrities​
28%​
MMU​
69%​
Siasa​
49%​
Michezo​
49%​
Afya​
58%​
Garage​
40%​
Lugha​
56%​
Elimu​
54%​
International & Kenyan​
62% & 83%​
Historia​
No competitor​
Photos & Habari na Hoja & Intelligence​
83% & 50% & 32%​
Biashara na uchumi​
42%​
Chef​
No competitor​
Sheria​
No competitor​
Entertainment​
82%​

Kwa wote ambao wametajwa katika orodha hii, mnaomba kuingia inbox ili kujua utaratibu wa kuchukua zawadi zenu Mtapokea ujumbe kutoka kwa ID official ya JamiiForums.

NB: Utaratibu wa kuchukua tuzo hautahusisha kufichua utambulisho wa mwanachama yeyote.

Hongereni sana.
Ni lini mtatuletea jukwaa la “wasafiri” travellers, hii swala limepigiwa kelele sana humu miaka nenda lakini ni kama mnalikwepa, shida ni nini wakuu?

Fang Diversity Bridger Maxence Melo
 
Back
Top Bottom