Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,131
- 14,604
Akipunguza na kamba zake atakuwa mtu poa sanasaizi kapunguza dis mkuu
Akipunguza na kamba zake atakuwa mtu poa sanasaizi kapunguza dis mkuu
Utaratibu haukuwa huru na wa haki. Napinga matokeo na naenda mahakamani kuweka pingamiziHabari wana JF,
Jamii Forums inatambua mchango wa wanachama wake walioshiriki mijadala vizuri kwa mwaka 2022. Machakato huo ulikuwa wa wazi na shirikishi. Kwa mujibu wa kura zilizopigwa hapa jukwaani washindi wetu ni kama ifuatavyo.
Jukwaa Mshindi Kura Jokes 47% Kilimo na Uvuvi 68% Technology 93% Celebrities 28% MMU 69% Siasa 49% Michezo 49% Afya Herbalist Dr. Mzizi Mkavu 58% Garage 40% Lugha 56% Elimu 54% International & Kenyan 62% & 83% Historia No competitor Photos & Habari na Hoja & Intelligence 83% & 50% & 32% Biashara na uchumi 42% Chef No competitor Sheria No competitor Entertainment 82%
Kwa wote ambao wametajwa katika orodha hii, mnaomba kuingia inbox ili kujua utaratibu wa kuchukua zawadi zenu Mtapokea ujumbe kutoka kwa ID official ya JamiiForums.
NB: Utaratibu wa kuchukua tuzo hautahusisha kufichua utambulisho wa mwanachama yeyote.
Hongereni sana.
AahaaaaahHizi ndio zile zawadi unashinda ila unaamua usiende kuchukua.
Nimeumia pia, jamaa namkubali sana.hongera Genta japo
nimeumia sijamwona mpwayungu kwenye list,
Punguza wivu we jamaa. Mbona mimi sijapewa tuzo ya kula matunda kimasihara na sijalalamika?Mmmmh! Huyo gentamycine huwa anahoja gani? Zaid ya matusi? 🤣🤣
Mbona kitengo chako hakipo?safi sana na hongera zao
mpwayungu village kinachomponza ni zile chai zake zisizo na sukari, akiacha kuwadis walimu pasipo na sababu za Msingi na akaacha kamba zake mwaka huu lazima ale shavuNimeumia pia, jamaa namkubali sana.
Kipi? Cha uhandisi umeme au?Mbona kitengo chako hakipo?
Kwani huyo ni Ke? mi najua ni MeShoste ameibuka kidedea
Tunasubiri kwa hamu atuambie wamewapa kitu gani
Kile cha kujichukulia sheria mkononikipi ? cha uhandisi umeme au ?
Usisahau kumpitia na mwanasheria wetu paschal MayalaUtaratibu haukuwa huru na wa haki. Napinga matokeo na naenda mahakamani kuweka pingamizi
Hahaha subiri mpaka waweke sub-jukwaa lakeKile cha kujichukulia sheria mkononi
😄 waweke na jukwaa la kimasiharahahaha subiri mpaka waweke sub-jukwaa lake
They well deserved, welldone 👏👏👏Habari wana JF,