Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Hongera sana Tuzo ni yetu sote... jua bila sisi na wewe si lolote
Nalitambua hilo Mkuu na ndiyo maana kila mara nimekuwa Nikiwashukuruni JamiiForums Members kwa Kuniheshimisha Kwenu huku.

Hi ni Zawadi yenu kwa Kunipenda ila naichukua tu kwa Niaba yenu. Nisingekuwa maarufu hivi JamiiForums nzima bila ya nyie.

Mbarikiwe nyote na Ahsanteni sana.
 
Anaandika KENGE

Kwanza nitoe pongezi kwa team nzima ya JAMIIFORUM ikiwemo CEO,Moderators,Developers,operators na members wote waliopo humu JF kwa lugha isiyo rasmi(misimu) tunasema WAMEUPIGA MWINGIII SANA

Tuzo hizi zitasaidia watu kuanza kuandika vitu vyenye tija katika jamii.Nauhakika ndio tuzo zilizoanzishwa mwaka huu.Hapo miaka ya nyuma JF ilivamiwa na (Social media strangers)Mtu anaweza kuanzidha Uzi wa kuomba ushauri linatokea kundi la watu au mtu linaanza matusi/kejeli/masimango n.k

Sasa kupitia tuzo hizi zitafanya sisi Stranger(Akiwemo KENGE) tufahamu kwamba kumbe kila tuandikacho kinaangaliwa na kama kina Tija kinaweza kupelekea ukapigiwa kura na kuibuka mshindi.kwa mantiki hiyo basi ninauhakika MATUSI YATAPUNGUA,KEJELI,DHARAU NA CHUKI ZITAPUNGUA

Ni faraja sana (kutajwa/Kuibuka) mshindi kati ya member 600k na zaidi hii inamaanisha uliandika vitu vya maana(japo sio vyote) Vinavyoleta tija ktk jamii na kujenga hoja vilevile.

Maoni ya KENGE ni kwamba Nashauri wale mlionuna na mnaotema povu kwenye uzi rasmi wa TUZO tuache kupoteza muda na badala yake tuanze kufikiri kuweka bandiko/Nyuzi na Maandiko yenye kuleta tija na kujenga hoja.

Kuna kundi moja la Hacker(Wadukuzi) wajulikanao kama ANONYMOUS(Watu wasiojulikana) wanamsemo wao mmoja "POST SENSE UNTIL THEY RECOGNIZE YOU" ukiandika vitu vyenye akili utajulikana tu na utapendwa na kura utapigiwa tuache majungu ooh "Kapendelewa" "Mbona anapigwa Ban kila siku" "Hadi huyu kapata mbona fulani hajapewa" haya majungu yote wahenga wanayaita MANENO YA MKOSAJI

Once again
HONGERENI SANA WASHINDI sisi wenye kununa tunune na ZANDAANII KABISAA inasemekana washindi watapata pesa taslimu Millioni kadhaa na vizawadi kama PC,Simu n.k
S/O
Bujibuji Simba Nyamaume

GENTAMYCINE

UMUGHAKA

cocastic

DeepPond

Chief-Mkwawa
Na washindi wote

UZI TAYARI
NAWASILISHA
KENGE 01 View attachment 2564372
Ahsanteeeee sana na ubarikiweeee mnoooo.
 
Nalitambua hilo Mkuu na ndiyo maana kila mara nimekuwa Nikiwashukuruni JamiiForums Members kwa Kuniheshimisha Kwenu huku.

Hi ni Zawadi yenu kwa Kunipenda ila naichukua tu kwa Niaba yenu. Nisingekuwa maarufu hivi JamiiForums nzima bila ya nyie.

Mbarikiwe nyote na Ahsanteni sana.
Nilikupigia kura unimegee hiyo zawadi na mie
 
Punguza hasiraa, jitahidi mwakani nawee uwe mshindiii.
Poleer kwa kutesekaaa,
Ana kipi cha kuweza kushinda, kua na uzi mmoja tena wa kijinga kama ule ndio ashindee, kura zinapigwa za kimajukwaa sio kwa uzi,
Mwambie atulize chogo lake, Zawadi tushabebaaaaa
 
Back
Top Bottom