Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipokeee kwan zawadi, ntadeal nao km watakavyokujaa.

Binamu hongera kwa ushindi, sasa kama unavojua ndio nimeanza kualika ndugu wote kuanzia mbambabey, mbinga, mpitimbi, mputa, namtumbo, lituhi, liuli, na akina shangazi wa bombambili hadi matarawe na mfaranyaki ili tuje kukusindikiza kupokea zawadi maana umetuheshimisha kwa watu wa mjini huko tutakua na jokate ndio ataongoza msafara, tutakaa siku moja na tunakuja na basi ya kangaulaya maana feo anabei sana,
 
Fungu la kumi anatuma kwangu mama Pasta[emoji23][emoji23]
Nilianza kumuombea dogo tangu muda hadi tukawachamba mods maana walitaka kumnyima dogo kwa kumpambanisha na mtu ambaye hayupo duniani.
😂😂😂Sawa mama pasta bahasha ntapewa mim niibebe kweny bahasha niilete
 
Binamu hongera kwa ushindi, sasa kama unavojua ndio nimeanza kualika ndugu wote kuanzia mbambabey, mbinga, mpitimbi, mputa, namtumbo, lituhi, liuli, na akina shangazi wa bombambili hadi matarawe na mfaranyaki ili tuje kukusindikiza kupokea zawadi maana umetuheshimisha kwa watu wa mjini huko tutakua na jokate ndio ataongoza msafara, tutakaa siku moja na tunakuja na basi ya kangaulaya maana feo anabei sana,
Ndiwooooooo wa kunyumbaaaaa, niko winja winjaaa.
Mkujeeeeee hukuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama cocastic pia ameshinda basi humu jamiiforum watu ni wanafki Sana Tena Sana na ni wachawi wa Hali ya juu[emoji3][emoji3][emoji3] Mamaaeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wananichukia usoni, wananikubali mioyoniii.
Nimejua ulicho kimaanisha, usiwe serious sana hapa JF.
wee serereka vile unatakaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] This is JF...! Parachichi za Mbeya zikoje???

Huku ukinuna ni kujitakia
Hilo hapo
5.jpg
 
😂😂😂Sawa mama pasta bahasha ntapewa mim niibebe kweny bahasha niilete
Kuna watu hapa si ajabu ni walevi kupindukia,
Ama Wana tabia mbaya zao nyingi tu
Ila wapo kumsema Coca ambaye hata hawamjui
Wanaguess tu.

Nina Imani Coca atapitisha bahasha kule selfika
Atatupia na pamba atakazovaa hiyo siku😂😂😂😂
 
😂😂😂 Aiseh nmecheka sana.
Hyo bahasha ikipitishwa tafadhali sana naomba nmegewe pakubwa
 
Kuna watu hapa si ajabu ni walevi kupindukia,
Ama Wana tabia mbaya zao nyingi tu
Ila wapo kumsema Coca ambaye hata hawamjui
Wanaguess tu.

Nina Imani Coca atapitisha bahasha kule selfika
Atatupia na pamba atakazovaa hiyo siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo kutafuta vaziii hapa, nikiingia ukumbini watu wote jicho kwangu.

Cocaa kweli cocaaa,
 
Back
Top Bottom