ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
uwiiiiii jitahidi uelewekeWewe nae hauoni nimeandaa kabisa mtu wa kumkaba nipate zawadi hizi adhimu maana wengine hata maada zetu hazieleweki na anaetuponza ni lema sasa inabidi ujiongeze
uwiiiiii jitahidi uelewekeWewe nae hauoni nimeandaa kabisa mtu wa kumkaba nipate zawadi hizi adhimu maana wengine hata maada zetu hazieleweki na anaetuponza ni lema sasa inabidi ujiongeze
uwiiiiii jitahidi ueleweke
Kwani GENTAMYCINE yupo serious, we jiteue tu na wewe unakua karisimatiki fela, gem chenja na intateina kama Mr. GentaNianze kuwa siriaz mwaka huu 😂😂
Usikute wanapewa bando mb 400 kila mmoja
Jamani basi waambie kuna wengine watupe kavochaAcha dharau basi watu wanapewa hadi milioni tatu wewe unaleta mzaha, hiyo yote ni wivu tu inakusumbua
jamani basi waambie kuna wengine watupe kavocha
Punguza makasiriko kijana ni utani tu huo, wivu nimuonee nani na kwanini wakati na mm nimeshiriki kuwapigia kura washindi baadhi.Acha dharau basi watu wanapewa hadi milioni tatu wewe unaleta mzaha, hiyo yote ni wivu tu inakusumbua
Kwenye bandiko lako nitafika nikitulia, now sina utulivu wa kusoma thread ndefuhahhaaaaaaaaaaa wewe mkali hauna upinzani aiseee
Laana ya kuwadharirisha,walimu wenzake haimuachi salamaHongera Genta japo
Nimeumia sijamwona mpwayungu kwenye list
😂Kwani Kuna shida?Hadi akina cocastic wanashinda
Huko hawajafika lakini ipo siku watafika
Dahan Analyse National Anthem Intelligent businessman Bantu Lady na wengineo tutatambulika
Mwaka uhu eh 🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwaka uhu wenu