Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Hongereni washindi wote, mnafanya JF isonge na wengine wapate cha kuchangia...
Mzidishe juhudi zaidi, hata waliokosa nao ni washindi pia. Bahati mbaya mshindi ni mmoja kila jukwaa. Nyote ni washindi...
Aaaahh! Madam... kweli jaman wote ni washindi?! 🥺😢

Na pale kipengele cha celebrity na sports nao ni washindi wale jaman?! 😳😢😢😢

Wanastahili hao Madam?! 😣😒😔
 
Walipigiwa kura na kushinda Mkuu, kabla walipendekezwa kwa maana hiyo watu waliona wanafaa. Wanasema wengi wape 🤗
 
Anaandika KENGE

Kwanza nitoe pongezi kwa team nzima ya JAMIIFORUM ikiwemo CEO,Moderators,Developers,operators na members wote waliopo humu JF kwa lugha isiyo rasmi(misimu) tunasema WAMEUPIGA MWINGIII SANA

Tuzo hizi zitasaidia watu kuanza kuandika vitu vyenye tija katika jamii.Nauhakika ndio tuzo zilizoanzishwa mwaka huu.Hapo miaka ya nyuma JF ilivamiwa na (Social media strangers)Mtu anaweza kuanzidha Uzi wa kuomba ushauri linatokea kundi la watu au mtu linaanza matusi/kejeli/masimango n.k

Sasa kupitia tuzo hizi zitafanya sisi Stranger(Akiwemo KENGE) tufahamu kwamba kumbe kila tuandikacho kinaangaliwa na kama kina Tija kinaweza kupelekea ukapigiwa kura na kuibuka mshindi.kwa mantiki hiyo basi ninauhakika MATUSI YATAPUNGUA,KEJELI,DHARAU NA CHUKI ZITAPUNGUA

Ni faraja sana (kutajwa/Kuibuka) mshindi kati ya member 600k na zaidi hii inamaanisha uliandika vitu vya maana(japo sio vyote) Vinavyoleta tija ktk jamii na kujenga hoja vilevile.

Maoni ya KENGE ni kwamba Nashauri wale mlionuna na mnaotema povu kwenye uzi rasmi wa TUZO tuache kupoteza muda na badala yake tuanze kufikiri kuweka bandiko/Nyuzi na Maandiko yenye kuleta tija na kujenga hoja.

Kuna kundi moja la Hacker(Wadukuzi) wajulikanao kama ANONYMOUS(Watu wasiojulikana) wanamsemo wao mmoja "POST SENSE UNTIL THEY RECOGNIZE YOU" ukiandika vitu vyenye akili utajulikana tu na utapendwa na kura utapigiwa tuache majungu ooh "Kapendelewa" "Mbona anapigwa Ban kila siku" "Hadi huyu kapata mbona fulani hajapewa" haya majungu yote wahenga wanayaita MANENO YA MKOSAJI

Once again
HONGERENI SANA WASHINDI sisi wenye kununa tunune na ZANDAANII KABISAA inasemekana washindi watapata pesa taslimu Millioni kadhaa na vizawadi kama PC,Simu n.k
S/O
Bujibuji Simba Nyamaume

GENTAMYCINE

UMUGHAKA

cocastic

DeepPond

Chief-Mkwawa
Na washindi wote

UZI TAYARI
NAWASILISHA
KENGE 01
Screenshot_20230325-002558_1.jpg
 
KENGE 01 View attachment 2564372
Kwa niaba ya Washindi nimepokea na nasema Asante ( Shukran ) sana na mno Mkuu.
 
Hapa ni fumbo kubwa, only the fittest of the fittest shall survive. If you want to be a monkey, choose gorilla 🦍
 
Kura zilikuwa za wazi kabisa...cha kushangaza zawadi wanakupea chumbani! Mtoaji na mpokeaji..damn! Ikiwekwa wazi nini mbaya! Kuwamotivate wengine!?...

Kama hata huyuu! GENTAMYCINE kashinda!.. kweli hilo jukwaa la michezo limekosa mtu! Limevaa bikini kama si gauni kabisa! Walikosa kuweka hata jiwe! Lisilosema lakini lenye lugha ya staha kidogo!?

Kweli nimeamini hata papai linaweza katwa katwa na kuwapa watu kama kiepe...na ikapita hivyohivyo....kama kwa jamaa.
 
Back
Top Bottom