Ukininyima soda utanitambua😅😅😅Kabisaaa.
AahahaahNimenyooka na kuwa mdogo km priton, sitaki tena heka heka, natulia kimyaa.
hii hoja isikilizwe kwa heshima Maxence MeloHata mimi naanza kuwa serious kuanzia sasa hivi. Ila watukumbuke na sie wachangiaji jamani maana sio wote wanaoweza kuanzisha uzi...
Mods toeni hata 5000 kwa wachangiaji
wanaanza lini tena au ndo tayariUsisahau kunitag
Kuna muda vinazidi unachomoa kokiiNimenyooka na kuwa mdogo km priton, sitaki tena heka heka, natulia kimyaa.
Hao wote ni waanzisha mada hakuna ambae hana mada aliyoanzisha, sasa sie wengine hatuna kipaji hicho.hahahaaaaaa jitahidi ndugu yangu utapata tu siku moja
Huko hawajafika lakini ipo siku watafikaMkuu sie tuwazuri usikuuu 🤣🤣🤣
Paw atakuja atupe mrejeshowanaanza lini tena au ndo tayari
Kabisa 😀😀hii hoja isikilizwe kwa heshima Maxence Melo
MfyuuuHata Mwenyezi Mungu si tu aliuona bali Aliubariki zaidi na mapema tu Ushindi wangu.
Huwezi kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer GENTAMYCINE halafu Mwenyezi Mungu asikupe Tunu / Shani za Ushindi, Mvuto na Baraka popote utakapokuwa.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
itabidi uongozi ufanye hivyo maana tukko wengi ila mm kuanzisha mbona ndo mwakeHao wote ni waanzisha mada hakuna ambae hana mada aliyoanzisha, sasa sie wengine hatuna kipaji hicho.
Wanastahili kwa kweli..
Atakuwa anatupa lift. Akipata tumepataHongera mkuu kumbe mnapewa mikoko?
Mnisindikize wapambeee, tukodi coaster na kigomaa juuu.Ukininyima soda utanitambua[emoji28][emoji28][emoji28]
Hongera sana
Umeniwahi mkuuTuzo ya cocastic naomba nimsaidie kuibeba kwakweli
Mi siwezi. Nikiwaza negative comments naishiwa nguvu sina ubavu huo.itabidi uongozi ufanye hivyo maana tukko wengi ila mm kuanzisha mbona ndo mwake