Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Habari wana JF,

Jamii Forums inatambua mchango wa wanachama wake walioshiriki mijadala vizuri kwa mwaka 2022. Mchakato huo ulikuwa wa wazi na shirikishi. Kwa mujibu wa kura zilizopigwa hapa jukwaani washindi wetu ni kama ifuatavyo.

Jukwaa
Mshindi
Kura
Jokes​
47%​
Kilimo na Uvuvi​
68%​
Technology​
93%​
Celebrities​
28%​
MMU​
69%​
Siasa​
49%​
Michezo​
49%​
Afya​
58%​
Garage​
40%​
Lugha​
56%​
Elimu​
54%​
International & Kenyan​
62% & 83%​
Historia​
No competitor​
Photos & Habari na Hoja & Intelligence​
83% & 50% & 32%​
Biashara na uchumi​
42%​
Chef​
No competitor​
Sheria​
No competitor​
Entertainment​
82%​


Kwa wote ambao wametajwa katika orodha hii, mnaomba kuingia inbox ili kujua utaratibu wa kuchukua zawadi zenu Mtapokea ujumbe kutoka kwa ID official ya JamiiForums.

NB: Utaratibu wa kuchukua tuzo hautahusisha kufichua utambulisho wa mwanachama yeyote.

Hongereni sana.
Aisee.. hongereni🖐️
Ila ni vizuri tuzo zikijulikana ili kuhamasisha ushindani siku zijazo
 
Ukiona washindi wote hao hauna rafiki hata mmoja jitafakari sana , ndio mambo ya darasani kua na marafiki vilaza hufiki popote, sasa nimecheki hapo kwenye list sio mbaya marafiki zangu karibu 6 wameshine sana
hongera wewe kuwa na rafiki mm nina mabestito kama Mshana Jr nahisi atanikumbuka kavocha tu maana simituzo mwanangu
 
Back
Top Bottom