Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 13,083
- 32,761
Wapii Kulia hapo... Vijana mtamwaga mifweza.Washindi wanaenda kukutana na wote hawa 😁😋
Wapii Kulia hapo... Vijana mtamwaga mifweza.Washindi wanaenda kukutana na wote hawa 😁😋
hivi huyu raraa reree ndo nani au ndo yule Half american kaja kivingine?duuuu ilikuwa lini tena aisee mbona safari hii hawajaweka kwenye jukwaa tukaona wengine tulikuwa ukraine
Mbona kama una wasiwasi sana 😁hivi huyu raraa reree ndo nani au ndo yule Half american kaja kivingine?
tatizo ninyi hamueleweki mna Id za kufa mtu hahaaaaaaMbona kama una wasiwasi sana 😁
Ya kwangu ni hii hiitatizo ninyi hamueleweki mna Id za kufa mtu hahaaaaaa
ahaaaa ok ila naona unapenda sana kucheka eheeeYa kwangu ni hii hii
😂 hapo zimetembea likes mpaka notification bar inastackhivi huyu raraa reree ndo nani au ndo yule Half american kaja kivingine?
hahhaaaaaaaaaaa wewe mkali hauna upinzani aiseee😂 hapo zimetembea likes mpaka notification bar inastack
Yap sasa hapa jf nimkasirikie nan 😄ahaaaa ok ila naona unapenda sana kucheka eheee
hahaaaaaaa unaenjoy kivyakoYap sasa hapa jf nimkasirikie nan 😄
And that is what it is 😃hahaaaaaaa unaenjoy kivyako
washindi wote hongereni sana ila mtukumbuke nasi huku nyuma yenu hata vipipi hahaaaaa
Kwani huwa wanawekaHuyo tutamjua tu picha zao zikiwekwa