wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,591
- 29,493
KabisaHuyo amejiaibisha kujifanya anajua kuliko wenye kazi yao
KabisaHuyo amejiaibisha kujifanya anajua kuliko wenye kazi yao
Ni uzalendo tu na mahaba kwa Rais wangu, kujipendeza kwa Mungu wangu yatosha
Atakaye Mrithi ni nani tuwe Serious na Maisha. Nchi tuwape akina Faru John, Tundu, Msigwa, Zitto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Tuache tabia chafu za kujaribu.
Chadema kila Mtu anaogopa kurudi Jimboni kugombea maana anajua itakuwa Fedheha kwake na Familia yake. Na Chadema atakayerudi Bungeni sijui maana lichamaa lao lipo kama la Hashim
Basi yaishe Mkuu,mbona umejali sana hii kwannUnder cover kivipi wakati alikua anapishana na vipanya?
Kuna walinzi invisible ndugu yangu! Ukitaka kujua wapo itokee rapsha
Inawezekana huyo anaemsema hakuwemo kwenye hilo gari.Elewa hao ni taaluma yao mpaka wakaruhusu hayo jua walishachukua tahadhari zote ndiyo wakaamua hivyo!!! Hata kama kutatokea tatizo wao wanayo Plan B. Hao jamaa hawafanyi kazi kienyeji kama unavyofikiri!!
Ukikosa kusifiwa utotoni utailazimisha ukubwani ili kutafuta balance.Tupende Sana kuwasifu watoto wetu kwa wayafanyayo hata Kama ni ya utoto ili wabalance wasije aibika ukubwani kufanya ya kitoto.Hii ni saikolojia ya ukuaji wa mtotoUmesahau na mahindi
Ukikosa kusifiwa utotoni utailazimisha ukubwani ili kutafuta balance.Tupende Sana kuwasifu watoto wetu kwa wayafanyayo hata Kama ni ya utoto ili wabalance wasije aibika ukubwani kufanya ya kitoto.Hii ni saikolojia ya ukuaji wa mtoto
Fear of unknown.Watz si alshabab si watu wa visasi,ukuangalia tu we kimbiza upepo tani yako tuNchi yetu ni Mungu anatusaidia tu,ulinzi wetu si wa kiasi hicho ni kwamba tuna amani,we unadhani tungekuwa na vita vya kiuchumi kiasi hicho kwa ulinzi wetu sniper gani atamkosa anavyojichanganya kwenye vijiwe vya kahawa na kulala juu ya mawe
Fear of unknown.Watz si alshabab si watu wa visasi,ukuangalia tu we kimbiza upepo tani yako tu
Njia za Dodoma nyembamba mno kufanya msongamano makubwa hakuna hata panya road kama DSM mpaka boda boda wanabana tu barabara alaaa
Mkuu kama ni kutafta uteuzi au book 7, jaribu kutafta topic nyingine, Inaonyesha kuna mabo mengi huyajuwi kuhusu vyombo vinavtohusika na ulinzi wa rais! Zaidi ya yote tangu tupate uhuru hakuna rais wa JMT aliyewahi kuwa na ulinzi mkubwa kama JPM!Jana zilisanbaa video zikionyesha Rais wetu akiwa kwenye gari lenye namba.binafsi akikatiza mitaa ya dodoma.akiwa na ulinzi hafifu sana,katika kile kilichoelezwa ni kutenganisha kazi za chama.na urais
Rais ni Rais tu muda wowote, akiwa Chato, au hata Kisiwandui, katiba inamtambua kama Rais
Kitendo cha kumuondolea gari lake maalum na msafara,wake naweza kuita kama jaribio la kuhatarisha maisha ya Rais na na kuiweka nchi katika hali ya taharuki
Tupo kwenye vita kali ya uchumi inayoongozwa na Rais wetu, maadui wapo macho kuangalia jinsi gani wanaweza kuishinda vita hii kwa njia za mkato, wasaidizi wa Rais kama mmelala amkeni
Imenitisha sana kuona V8 imekaa upande wa kulia ikiwa spidi kali, bila tahadhari yoyote, je ingetokea fuso ya vitunguu toka Singida dereva kalewa na yupo kwenye mwendo kasi ingekuaje?
Usalama wa Rais ni kipaumbele cha kwanza, msiogope kuambiwa mnatumia vibaya rasilimali za serikali, katiba haimbani Rais, MSIRUDIE JAMANI
View attachment 1482030
Hakuna jipya show tuUnder cover kivipi wakati alikua anapishana na vipanya?
Jana zilisanbaa video zikionyesha Rais wetu akiwa kwenye gari lenye namba.binafsi akikatiza mitaa ya dodoma.akiwa na ulinzi hafifu sana,katika kile kilichoelezwa ni kutenganisha kazi za chama.na urais
Rais ni Rais tu muda wowote, akiwa Chato, au hata Kisiwandui, katiba inamtambua kama Rais
Kitendo cha kumuondolea gari lake maalum na msafara,wake naweza kuita kama jaribio la kuhatarisha maisha ya Rais na na kuiweka nchi katika hali ya taharuki
Tupo kwenye vita kali ya uchumi inayoongozwa na Rais wetu, maadui wapo macho kuangalia jinsi gani wanaweza kuishinda vita hii kwa njia za mkato, wasaidizi wa Rais kama mmelala amkeni
Imenitisha sana kuona V8 imekaa upande wa kulia ikiwa spidi kali, bila tahadhari yoyote, je ingetokea fuso ya vitunguu toka Singida dereva kalewa na yupo kwenye mwendo kasi ingekuaje?
Usalama wa Rais ni kipaumbele cha kwanza, msiogope kuambiwa mnatumia vibaya rasilimali za serikali, katiba haimbani Rais, MSIRUDIE JAMANI
View attachment 1482030
Ukurugenzi kwenye kampuni yangu unanitosha kabisa
Tuoneshe huo ulinzi wa kutosha
We ndo yule wa jana uliyesema Rais kapiga hatuba two hour ameitoa kichwani pole sana haya mambo sio mama unavyoyaona kwa macho ya kawaidaJana zilisanbaa video zikionyesha Rais wetu akiwa kwenye gari lenye namba.binafsi akikatiza mitaa ya dodoma.akiwa na ulinzi hafifu sana,katika kile kilichoelezwa ni kutenganisha kazi za chama.na urais
Rais ni Rais tu muda wowote, akiwa Chato, au hata Kisiwandui, katiba inamtambua kama Rais
Kitendo cha kumuondolea gari lake maalum na msafara,wake naweza kuita kama jaribio la kuhatarisha maisha ya Rais na na kuiweka nchi katika hali ya taharuki
Tupo kwenye vita kali ya uchumi inayoongozwa na Rais wetu, maadui wapo macho kuangalia jinsi gani wanaweza kuishinda vita hii kwa njia za mkato, wasaidizi wa Rais kama mmelala amkeni
Imenitisha sana kuona V8 imekaa upande wa kulia ikiwa spidi kali, bila tahadhari yoyote, je ingetokea fuso ya vitunguu toka Singida dereva kalewa na yupo kwenye mwendo kasi ingekuaje?
Usalama wa Rais ni kipaumbele cha kwanza, msiogope kuambiwa mnatumia vibaya rasilimali za serikali, katiba haimbani Rais, MSIRUDIE JAMANI
View attachment 1482030
astakafululahNa washukiwa wa uadui ni hao matajiri mkuu