Wasaidizi wa Rais msirudie kosa hili

Wasaidizi wa Rais msirudie kosa hili

Hii Barabara iwe tupu hivi? Utakuwa hulijui jiji la Dodoma Kwa sasa hasa hiyo Barabara aliyopita magari kuingia na kutoka mikoa yote Tanzania na nchi jirani yanatumia hiyo Barabara na hawezi kwenda speed hiyo
 
Mwaka juzi,huko kenya walikufa watu 6,kutoka katika kikosi cha ulinzi wa Rais wa kenya
Walikua wakitoka kumsindikiza kiongozi airport, wakati wanarudisha magari wakawa wanapita kulia kukwepa foleni, kumbe mbele kuna ajali ya lori la mafuta, ile wanalifikia tu lori, likalipuka, sita waliaga papo hapo bahati hawakuwa na kiongozi
Mnatuambia sijui boda boda kwenye vipanya kuna watu, usalama wa Rais hauwezi kulindwa na watu wanaotumia boda boda,acheni utani
Maafisa usalama wa mitaani walikuwa wapi ? msafara wa Rais unapopita kila sehemu njiani huwepo maafisa usalama wa mitaani kuripoti kule wakiona any unusual event ili msafara uchepuke na ukichepuka unawasiliana na wale walioko ule mtaa wanakochepukia

Huo msafara ulihujumiwa na wenzao tu kwa sababu wazijuazo wao

Bodaboda na watu kwenye vipanya unasema haiwezekani kuwa walinzi wa Rais poa namalizia mada yako kuchangia kwa kusema hivi ulinzi na usalama wa nchi na Rais ni wa kila mtanzania na kila mzalendo awe bodaboda au abiria kwenye kipanya hivyo inawezekana boda boda na kipanya kuwa mlinzi wa Rais
 
Tofautisha technology ya kiusalama ya mwaka 1980's na ya leo hii 2020
Kwani marehemu Moringe Sokoine kama waziri mkuu hakuwa na security detail? Acheni kuwalisha watu matango Pori!
 
maafisa usalama wa mitaani walikuwa wapi ? msafara wa raisi unapopita kila sehemu njiani huwepo maafisa usalama wa mitaani kuripoti kule wakiona any unusual event ili msafara uchepuke na ukichepuka unawasiliana na wale walioko ule mtaa wanakochepukia

Huo msafara ulihujumiwa na wenzao tu NI KITU KISICHOWEZEKANA HATA KIDOGO kuhusu kuwa raisi hawezi kulindwa na bodaboda ,watu kwenye vipanya unasema haiwezekani poa namalizia mada yako kuchangia kwa kusema hivi ulinzi na usalama wa nchi na raisi ni wa kila mtanzania na kila mzalendo awe bodaboda au abiria kwenye kipanya hivyo inawezekana boda boda na kipanya kuwa mlinzi wa raisi
Mbona wewe hukushirikishwa?
 
Nawaona mataga mnatoana macho
Maafisa usalama wa mitaani walikuwa wapi ? msafara wa raisi unapopita kila sehemu njiani huwepo maafisa usalama wa mitaani kuripoti kule wakiona any unusual event ili msafara uchepuke na ukichepuka unawasiliana na wale walioko ule mtaa wanakochepukia

Huo msafara ulihujumiwa na wenzao tu NI KITU KISICHOWEZEKANA HATA KIDOGO kuhusu kuwa raisi hawezi kulindwa na bodaboda ,watu kwenye vipanya unasema haiwezekani poa namalizia mada yako kuchangia kwa kusema hivi ulinzi na usalama wa nchi na raisi ni wa kila mtanzania na kila mzalendo awe bodaboda au abiria kwenye kipanya hivyo inawezekana boda boda na kipanya kuwa mlinzi wa raisi
 
Jana zilisanbaa video zikionyesha Rais wetu akiwa kwenye gari lenye namba.binafsi akikatiza mitaa ya dodoma.akiwa na ulinzi hafifu sana,katika kile kilichoelezwa ni kutenganisha kazi za chama.na urais

Rais ni Rais tu muda wowote, akiwa Chato, au hata Kisiwandui, katiba inamtambua kama Rais

Kitendo cha kumuondolea gari lake maalum na msafara,wake naweza kuita kama jaribio la kuhatarisha maisha ya Rais na na kuiweka nchi katika hali ya taharuki

Tupo kwenye vita kali ya uchumi inayoongozwa na Rais wetu, maadui wapo macho kuangalia jinsi gani wanaweza kuishinda vita hii kwa njia za mkato, wasaidizi wa Rais kama mmelala amkeni

Imenitisha sana kuona V8 imekaa upande wa kulia ikiwa spidi kali, bila tahadhari yoyote, je ingetokea fuso ya vitunguu toka Singida dereva kalewa na yupo kwenye mwendo kasi ingekuaje?

Usalama wa Rais ni kipaumbele cha kwanza, msiogope kuambiwa mnatumia vibaya rasilimali za serikali, katiba haimbani Rais, MSIRUDIE JAMANI
Takataka
 
View attachment 1482030
Sasa kama alitaka mwenyewe Wangefanya nini? unajua sifa za mwenyekiti wenu?
 
Tofautisha technology ya kiusalama ya mwaka 1980's na ya leo hii 2020

Have you ever heard of technological errors? Technology is never error free especially to those who buy it from vendors in developed countries; tunaowaita maadui zetu mabeberu!!!
 
Sasa kama alitaka mwenyewe Wangefanya nini? unajua sifa za mwenyekiti wenu?
Kwenye ulinzi Rais hajipangii, anaweza kuomba jambo na pia akakataliwa na asifanye lolote
 
Jana zilisanbaa video zikionyesha Rais wetu akiwa kwenye gari lenye namba.binafsi akikatiza mitaa ya dodoma.akiwa na ulinzi hafifu sana,katika kile kilichoelezwa ni kutenganisha kazi za chama.na urais

Rais ni Rais tu muda wowote, akiwa Chato, au hata Kisiwandui, katiba inamtambua kama Rais

Kitendo cha kumuondolea gari lake maalum na msafara,wake naweza kuita kama jaribio la kuhatarisha maisha ya Rais na na kuiweka nchi katika hali ya taharuki

Tupo kwenye vita kali ya uchumi inayoongozwa na Rais wetu, maadui wapo macho kuangalia jinsi gani wanaweza kuishinda vita hii kwa njia za mkato, wasaidizi wa Rais kama mmelala amkeni

Imenitisha sana kuona V8 imekaa upande wa kulia ikiwa spidi kali, bila tahadhari yoyote, je ingetokea fuso ya vitunguu toka Singida dereva kalewa na yupo kwenye mwendo kasi ingekuaje?

Usalama wa Rais ni kipaumbele cha kwanza, msiogope kuambiwa mnatumia vibaya rasilimali za serikali, katiba haimbani Rais, MSIRUDIE JAMANI

View attachment 1482030
Kweli wajinga hawaishi, hata wewe umeamini alikuwa peke bila ulinzi.
 
Back
Top Bottom