mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,269
Wasio julikana wengi hapo.. kuna mmoja kapigilia kaunda amekimbia kulekea mbele ya gari la rais... Wengine wengi tuu wapo na kamela nyuma na ndo wameandaa video hii
Ndicho nisochataka mimi,kuweka ulinzi hafifu kisa kuogopa kelele za upinzaniNani kakuambia kuwa lile li-V8 ni gari binafsi la JPM? Ni kuwahadaa watu tu na kunogesha show. Lile ni gari la ikulu lililopachikwa plate number bandia ya kiraia. System ilikuwa kazini Kama kawaida. Walifanya hivyo kupunguza kelele za wapinzani.
Hujui lugha wewe,lowassa alisema ana mahaba na watanzania mbona hukumjibuHapo kwenye mahaba chunga sana mama J asikusikie
Lingetokea tatizo huyo mwenye camera angesaidia nini?Wasio julikana wengi hapo.. kuna mmoja kapigilia kaunda amekimbia kulekea mbele ya gari la rais... Wengine wengi tuu wapo na kamela nyuma na ndo wameandaa video hii
Ok wamekuelewa hawatarudia tenaLingetokea tatizo huyo mwenye camera angesaidia nini?
Nimesema ulinzi hafifu,ndio mana huyo mwente kaunda suti kashuka garini kwenda kufukuza daladala ilikua inashusha mtu katikati ya barabara
Kuna mdogo wangu yupo piesiyuuu kaniambia jana kapanda kipanya kwa mara ya kwanza katika miaka 3. Yupo Idodomyee.Under cover kivipi wakati alikua anapishana na vipanya?
Pumbafu eti vita ya uchumi .nan apigane nas wakati uchumi wetu mbovu unaotengenezwa kwa ulaghai mtupu huku mkitoa takwimu za uongo.Ktk nchi za afrika mash ukiondoa burundi sis ukuaji wetu wa uchumi upo chiniJana zilisanbaa video zikionyesha Rais wetu akiwa kwenye gari lenye namba.binafsi akikatiza mitaa ya dodoma.akiwa na ulinzi hafifu sana,katika kile kilichoelezwa ni kutenganisha kazi za chama.na urais
Rais ni Rais tu muda wowote, akiwa Chato, au hata Kisiwandui, katiba inamtambua kama Rais
Kitendo cha kumuondolea gari lake maalum na msafara,wake naweza kuita kama jaribio la kuhatarisha maisha ya Rais na na kuiweka nchi katika hali ya taharuki
Tupo kwenye vita kali ya uchumi inayoongozwa na Rais wetu, maadui wapo macho kuangalia jinsi gani wanaweza kuishinda vita hii kwa njia za mkato, wasaidizi wa Rais kama mmelala amkeni
Imenitisha sana kuona V8 imekaa upande wa kulia ikiwa spidi kali, bila tahadhari yoyote, je ingetokea fuso ya vitunguu toka Singida dereva kalewa na yupo kwenye mwendo kasi ingekuaje?
Usalama wa Rais ni kipaumbele cha kwanza, msiogope kuambiwa mnatumia vibaya rasilimali za serikali, katiba haimbani Rais, MSIRUDIE JAMANI
View attachment 1482030
Kwani unafikiri PSU ni wajinga kama wewe? Kweli kuna watu ubongo ulishanyofolewa. Acha kuupa mzigo mwili wako wa kubeba kichwa kusicho na kitu.Dunia imebadilika!zama za baba wa Taifa si hizi
Ni hatari sana kumtembeza Rais bila kusafisha njia, haswa kwa jiji la Dodoma barabara kuu ni moja tu, wanaoenda Mwanza, Singida, Kigoma, Shinyanga, Tabora, Kagera, Geita, Simiyu na Mara wote wanapita njia hiyo
Very intelligent, MATAGA hawana akili ya kufahamu hayowao ni kama wale panzi wa Jangwani, wanaenda kwa makundi na kufa kwa makundimtoa mada ana akili kama za samaki, hajui kuwa hata wale waliompokea kwa shangwe waliokuwa wamevaa sare za CCM wakijifanya kuwa ni wanaccm nao ni walewale, jambo la kujiuliza hapa kama ni wanachama wa CCM halisi walipata taarifa saa ngapi mpaka wakajipanga kwenda kumpokea muh rais?.
WrongMATAGA hamlali?
Vita hiyo tunapigana na nani? Tuambie na sisi wanyonge tuwapige hao watu.
Nyerere, Mwinyi , Mkapa na Kikwete walikuwa wanatumia magari ya TISS Kwenye shughuli zisizohusu NCHI , kama kwenda kwenye matawi ya chama na kadhalika.
Hata anapokwenda kwenye vi-harusi hapaswi kutumia mali za ikulu ndip maana ya mgawanyo wa madaraka na kazi, wewe ndio mshamba kaka juzi ulivyosema alikuwa amekariri hotuba kumbe anasom,pumbav kabis wewe, hujaelimika
Unafiki mtupu ww utakua libashiteDunia imebadilika!zama za baba wa Taifa si hizi
Ni hatari sana kumtembeza Rais bila kusafisha njia, haswa kwa jiji la Dodoma barabara kuu ni moja tu, wanaoenda Mwanza, Singida, Kigoma, Shinyanga, Tabora, Kagera, Geita, Simiyu na Mara wote wanapita njia hiyo
Kwa uzi huu,leo nimeamini kabisa kuwa nawe ni wale wale "empty set" kina Bia yetu ,Kawe Alumni Magonjwa Mtambuka.Kivipi wakati kila kitu kipo wazi?
Charismatic & intelligent fella mwambie huyo zwazwa.kabombe ondoa hilo neno Ulinzi hafifu kwani kwa taarifa yako tu hilo Tukio zima lilikuwa Well Coordinated and Monitored Kiulinzi tena kwa 100%.
Rudia kuangalia hiyo video,njia nzima ilikuwa na wazee wa kaziJana zilisanbaa video zikionyesha Rais wetu akiwa kwenye gari lenye namba.binafsi akikatiza mitaa ya dodoma.akiwa na ulinzi hafifu sana,katika kile kilichoelezwa ni kutenganisha kazi za chama.na urais
Rais ni Rais tu muda wowote, akiwa Chato, au hata Kisiwandui, katiba inamtambua kama Rais
Kitendo cha kumuondolea gari lake maalum na msafara,wake naweza kuita kama jaribio la kuhatarisha maisha ya Rais na na kuiweka nchi katika hali ya taharuki
Tupo kwenye vita kali ya uchumi inayoongozwa na Rais wetu, maadui wapo macho kuangalia jinsi gani wanaweza kuishinda vita hii kwa njia za mkato, wasaidizi wa Rais kama mmelala amkeni
Imenitisha sana kuona V8 imekaa upande wa kulia ikiwa spidi kali, bila tahadhari yoyote, je ingetokea fuso ya vitunguu toka Singida dereva kalewa na yupo kwenye mwendo kasi ingekuaje?
Usalama wa Rais ni kipaumbele cha kwanza, msiogope kuambiwa mnatumia vibaya rasilimali za serikali, katiba haimbani Rais, MSIRUDIE JAMANI
View attachment 1482030
Kwa taarifa yake yale magari karibuni yote aloona hadi bodaboda mchafu mchafu na kwenye daladala ndio isipime.Kwa hiyo na wewe uliamini kabisa jamaa yupo mwenyewe, ungejua eneo zima lilikuwa na undercover wala usingeongelea habari ya roli la vitunguu.....
Pole sana kimwonekano vipanya ndio.Under cover kivipi wakati alikua anapishana na vipanya?
Uzalendo tu kamanda, ni maoni yangu, usikasirike unaruhusiwa kunipuuza