Wasaidizi wa Rais msirudie kosa hili

Wasaidizi wa Rais msirudie kosa hili

msichokijua

kwenye huo msafara wake hakuwemo

ali- switch gari nyingine mapema tena behind the scene
 
Ndiyo maana nakwambiaga siku zote kuwa uwezo wa akili yako ni mdogo, yaani unaanzisha uzi badala ya kuulinda kwa kujibu hoja za wachangiaji wewe unaanza kuwabeza na kuwatwanga vijembe
Maajabu ya dunia! bavicha wote wamekiri uwepo na nguvu TISS, licha ya kwamba wanaombea Rais wetu akutwe na majanga
 
Umempatia dawa ya kutibu ukipofu aliyo nao
Mleta thread bado mchanga sana kwenye mambo ya intelejinsia to say.
Ulinzi wa Raisi ulikuwa mara dufu kama kawa kama dawa, kwanza ile gari ni ya ikulu walibadilisha plate number, usalama wa taifa walikuwa kwenye barabara yote wengine kwenye vile Viahice/daladala tena wanaendelesha wenyewe TISS kutuaminisha baba la baba alikuwa kwenye foleni. Yote ni mliona ni sawa na movie za Kaole hakuna jipya. Mengine sisemi maana yote ni movie kama kawaida
We endeleo kuona 1km wakati wenzio wapo 100km, acha ushamba na ulimbukeni
 
Wape salaaaaaammmmm
Acha upuuzi,Magufuli alipoomba kula mara ya kwanza alikuwa na brigade nzima ya askari?
Huyo Raisi wetu wa watu masikini na taifa masikini anatishiwa na nani?Hatuna makombora ya nuclear,uchumi wetu upo chini,hatuko vitani sana sana tulitishwa na Joyce Banda wa Malawi siku za nyuma kidogo.
Holland waziri mkuu anakwenda kazini kwa baiskeli kama mpanda baiskeli wa kawaida.
Sweden Waziri mkuu anaweza akatokea nyumbani kwa mguu kwenda sokoni kununua mboga kama mwananchi wa kawaida.
Watu kama ninyi ndio mnatengenezea matabaka hadi mnatoa hati ya Mungu watu wasishitakiwe.Kama haitoshi eti mnatenga Ikulu ya eka elfu nane kuliko Vatican city yenye eka 120 tu Ili iweje?Hivi unafikiri nani utamuomba mkopo wakati tunatengeneza mradi wa uvunjaji mali?
 
Umeonaeeeeee? Hapa jf kuna watu wanajifanya kuwa wao ni wazareeendo kuliko hata raisi mwenyewe
mtoa mada ana akili kama za samaki, hajui kuwa hata wale waliompokea kwa shangwe waliokuwa wamevaa sare za CCM wakijifanya kuwa ni wanaccm nao ni walewale, jambo la kujiuliza hapa kama ni wanachama wa CCM halisi walipata taarifa saa ngapi mpaka wakajipanga kwenda kumpokea muh rais?.
 
Mwambie huyo mtafuta sifa
Nani kakuambia kuwa lile li-V8 ni gari binafsi la JPM? Ni kuwahadaa watu tu na kunogesha show. Lile ni gari la ikulu lililopachikwa plate number bandia ya kiraia. System ilikuwa kazini Kama kawaida. Walifanya hivyo kupunguza kelele za wapinzani.
 
Jana zilisanbaa video zikionyesha Rais wetu akiwa kwenye gari lenye namba.binafsi akikatiza mitaa ya dodoma.akiwa na ulinzi hafifu sana,katika kile kilichoelezwa ni kutenganisha kazi za chama.na urais

Rais ni Rais tu muda wowote, akiwa Chato, au hata Kisiwandui, katiba inamtambua kama Rais

Kitendo cha kumuondolea gari lake maalum na msafara,wake naweza kuita kama jaribio la kuhatarisha maisha ya Rais na na kuiweka nchi katika hali ya taharuki

Tupo kwenye vita kali ya uchumi inayoongozwa na Rais wetu, maadui wapo macho kuangalia jinsi gani wanaweza kuishinda vita hii kwa njia za mkato, wasaidizi wa Rais kama mmelala amkeni

Imenitisha sana kuona V8 imekaa upande wa kulia ikiwa spidi kali, bila tahadhari yoyote, je ingetokea fuso ya vitunguu toka Singida dereva kalewa na yupo kwenye mwendo kasi ingekuaje?

Usalama wa Rais ni kipaumbele cha kwanza, msiogope kuambiwa mnatumia vibaya rasilimali za serikali, katiba haimbani Rais, MSIRUDIE JAMANI

View attachment 1482030
Ungetaka kujua kuwa hakuwa peke yake hivyo unavyowaza,hiyo Fuso ya vitunguu ingejipendekeza ndio ungeelewa kuwa haitakuwa rahisi kiasi hicho...
 
Kwahiyo unamuiga Lowasa? Uliyekuwa unamtukana matusi ya nguoni kipindi amehamia cdm? Leo hii ndiyo unamuona kama roll model wako?
Hujui lugha wewe,lowassa alisema ana mahaba na watanzania mbona hukumjibu
 
Lingetokea tatizo huyo mwenye camera angesaidia nini?
Nimesema ulinzi hafifu,ndio mana huyo mwente kaunda suti kashuka garini kwenda kufukuza daladala ilikua inashusha mtu katikati ya barabara
Huna ujuwalo
 
Kitendo cha kumuondolea gari lake maalum na msafara,wake naweza kuita kama jaribio la kuhatarisha maisha ya Rais na na kuiweka nchi katika hali ya taharuki
Kwenye hizo red,
1; Ulijuaje kuwa hilo gari alilotumia sio gari maalum? Unayafaham magari yote maalum yanayotumiwa na rais? Yako mangapi?

2. Wewe ni nani mpaka useme hilo ni jaribioo la kuhatarisha maisha?
 
''Vita kali ya uchumi"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MATAGA hamlali?
Vita hiyo tunapigana na nani? Tuambie na sisi wanyonge tuwapige hao watu.
Nyerere, Mwinyi , Mkapa na Kikwete walikuwa wanatumia magari ya TISS Kwenye shughuli zisizohusu NCHI , kama kwenda kwenye matawi ya chama na kadhalika.

Hata anapokwenda kwenye vi-harusi hapaswi kutumia mali za ikulu ndip maana ya mgawanyo wa madaraka na kazi, wewe ndio mshamba kaka juzi ulivyosema alikuwa amekariri hotuba kumbe anasom,pumbav kabis wewe, hujaelimika

Hizi ni propaganda za kijinga tu!
Baba wa Taifa alikuwa akienda Sokoni Kariakoo kununua mahitaji mwenyewe bila ya msafara na ving'ora ili kupata experience ya Bei za bidhaa lakini pia kupunguza usumbufu kwa raia.
Tatizo tulilo nalo awamu hi Kuna mijitu inamwona Magufuli Kama "mungu" wao kiasi cha kutaka alindwe kama vile he's so peculiar!
Kisingizio ni VITA VYA KIUCHUMI! This is absurd and Non-sense!

Mataga hawa ndio wanao itegemea CCM ndo mkono uende kinywani!! Ni hawahawa wameanza KAMPENI za kihuni na za chinichini KUTAKA KATIBA IBADILISHWE ILI MAGUFULI AWE RAIS WA MAISHA kama ilivo katika nji moja huko Asia walikoanzisha Kiwanda Cha kutengeneza ugonjwa wa Covid-19!
Kila Rais anatakiwa akae vipindi 2@ 5 years jumla 10 years only. Nje ya muda huo ni kutaka kuanzisha MACHAFUKO na VURUGU zisizo za lazima. Hatutaki tufike huko pse!
 
Back
Top Bottom