Wasaidizi wa Rais msirudie kosa hili

Wasaidizi wa Rais msirudie kosa hili

Hapa wanabishana wauza mihogo buza ila tiss wenyewe orginal huwezi kuwaona kwenye huu mjadala other way tiss ya Lumumba ila wale manguli humu kwa uzi huu bado sijawaona
 
Mambo hayako simple ivo kama mleta mada unavyotaka kutuaminisha hapo hizo Vurugu za Gari sijui pikipiki zilikuwa driven na System hapo palikuwa Full planned and Well Coordinated
Naamini hio ring yote iliyosogelea V8 ya mkuu ni system kuanzia pikipiki mpaka magari
 
Back
Top Bottom