Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

Kweli nyani haoni kundule!! Ninyi mbona huwa ndiyo vinara wa kutaka wanawake wakamilifu utasikia oohh sisi ndiyo tunaoa hivyo sisi ndiyo tunachagua haya tangu mmeanza kuoa na kuchagua kuna mwanaume dunia hii amewahi kupata mwanamke mkamilifu??

Huu mchezo jamani hauhitaji hasira,, tuendelee kuchezeana tu..
Tatzo nyie n wengi kulko cc hlf mna expire date...heheheee
 
Maisha yangu yote nimewahi pata mpenzi m 1 tu ninaesema kweli YULE alikua mwanamke

Ni mwanamke tuliekua tukishindana kila mtu kumjali mwenzake

Leo nitamnunulia Kiatu,kesho atanletea vest kesho kutwa nitampa hela ya saloon

Sijakaa vizuri nimeletewa suprise ya Jeans,,ataniomba hela akaninunulie WALLET maana kaona niliyonayo imechakaa

Kesho yake nitaenda town ntamtungulia POCHI la maana

Nitamtoa out this week end,next week end ataniambia twende mahali nimealikwa na marafiki zangu

Tukifika kwakua nakua kama mgeni ataagiza everything mwisho atalipa BILL kisha ataniambia leo niliku suprise

Nilitaka nikutoe out mimi

Aseee yule mwanamke utamfanyia hiki atakulipa kwa kile With lots of love

Ila huwezi amini SISI WANAUME (hasa mimi) macho juu juu Nilimpoteza yule manzi

SASA HIVI NAKUTANA na vinguchiro Vinanikomesha hivyo Hela zinantoka na bado zinaendelea na sioni hata ahueni

Natafuta siku nikatubu MLIMANI sio kwa vi mauza uza hivi ninavyokutana navyo

Unakutana na kidada kinakupendaaa kinakuita bebe unakinunua/kifanyia kila kitu ila kenyewe kapo TU

walai dunia hii kuna wanawake na ma washi washi
Ahahahahahaha pole mkuu, huyu mwanamke uliyemuongelea labda ndio huyu niliye naye, kwan anaitwa nani
 
Tuache mkuu na jumapili mkuje kwa wingi basi mlima wa moto mtuchague
Tutafika kwa wingi
Screenshot_2017-12-01-11-21-49-1.jpeg
 
Tuache mkuu na jumapili mkuje kwa wingi basi mlima wa moto mtuchague
Yan shunie huyu fundi ananikwaza mpk sasa ajamaliza nguo yangu j2 ndo hiyoo nimejipanga balaa kumpokea mume wng 😛😀
 
Hali ni mbaya sana.

Binafsi nawaombea wale walio halisi halafu bahati mbaya wamekuwa wakikutana na mabazazi nk.kwakweli hao kwa jina la Yesu wakapelekewe wenza sahihi.

Ila hawa kina atubinukile mwakapozi,waendelee kujitolea tu.
 
Hawa wa upepo wa kisuli suli wana dharau sana. Ukiwakuta wanasubiri gari lile la kanisani kwao ukiwasalimia hata wanaweza wasikujibu.

Hao wanaume wanaowataka inabidi wanunue bando wa download mwenye vigezo atakavyo.
Hahahahahaaa na hapo ndo wanapo feli
 
Mnunua bidhaa ndio ana haki ya kuchagua ovaaaa.

Mkubali mkatae mwenye haki ya kuchagua ni Me coz yeye ndio muoaji.

Endeleni kuchagua sana sijui mtajioa?
Hahahaha watakumind mwanangu
 
Back
Top Bottom