Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

Hapo sauti inatosha kabisa hauhitaji upepo wa kisulisuli ili uieleweke
 
Maisha yangu yote nimewahi pata mpenzi m 1 tu ninaesema kweli YULE alikua mwanamke

Ni mwanamke tuliekua tukishindana kila mtu kumjali mwenzake

Leo nitamnunulia Kiatu,kesho atanletea vest kesho kutwa nitampa hela ya saloon

Sijakaa vizuri nimeletewa suprise ya Jeans,,ataniomba hela akaninunulie WALLET maana kaona niliyonayo imechakaa

Kesho yake nitaenda town ntamtungulia POCHI la maana

Nitamtoa out this week end,next week end ataniambia twende mahali nimealikwa na marafiki zangu

Tukifika kwakua nakua kama mgeni ataagiza everything mwisho atalipa BILL kisha ataniambia leo niliku suprise

Nilitaka nikutoe out mimi

Aseee yule mwanamke utamfanyia hiki atakulipa kwa kile With lots of love

Ila huwezi amini SISI WANAUME (hasa mimi) macho juu juu Nilimpoteza yule manzi

SASA HIVI NAKUTANA na vinguchiro Vinanikomesha hivyo Hela zinantoka na bado zinaendelea na sioni hata ahueni

Natafuta siku nikatubu MLIMANI sio kwa vi mauza uza hivi ninavyokutana navyo

Unakutana na kidada kinakupendaaa kinakuita bebe unakinunulia/kifanyia kila kitu ila kenyewe kapo TU

walai dunia hii kuna wanawake na ma washi washi
Mkubwa...utalipia mbavu zangu mkuu
 
Nimekaa na kuwaza sana baada ya kuangalia ile clip ya Rwakatare kuhusu ule upepo sijui unaitwaje nimeusahau na jina.

Sasa nikajiuliza, hawa viumbe mbona wakija humu ndani kututafuta wanaleta mavigezo mengi mpaka watu tunachanganyikiwa, kumbe Jumapili mnaenda kukumbatia upepo wa kisulisuli.

Wewe mwanamke, yani wewe peke yako unataka mwanaume awe:

1.Handsome
2 Mrefu
3. Mweupe/mweusi
4. Degree na kuendelea
5. Awe na kazi nzuri
6. Atokee mikoa fulani na fulani
7. Awe mcha mungu
8. Awe na nyumba
9. Biashara ya maana.
10. Umri fulani
11. Wa Tecno msijisumbue
12. Ajue kunibembeleza
13. Asiwe bahili

Na mavigezo mengine meeeeeeeeeeengi.

Ina maana mwanaume wa aina hiyo wanawake wengine wooooooote hawakumuona wala yeye hakuwaona akawa anakungoja wewe.

Ukifika miaka 30 and above unaanza kuangaika kwa kina lwakatare kutaka muujiza ambao kipindi cha nyuma ulikuwa unakutana nao kila unapoenda sokoni.

Acheni ujinga wanawake! Hakuna mwanaume perfect kwa zaidi ya asilimia 60% hayupo dunia nzima.

Ukipata mwanaume anakupenda na akawa muwazi kwako kwa mapungufu yeyote alionayo.....basi jitahidi kucopy with the situation.

Hatobaki hivo milele. Just trust him and trust his process then mbeleni everything will be okay.

True love ikiwepo tu kila kitu kinajiweka kwenye mstari taratibu.

La sivyo mtapata taaaaaabu sanaaaaaa, na mtachezewa saaaaanaaaaa huku ndoa mkiziskia tu kwenye mabomba.
Kama mtu asipokuelewa kwa ujumbe huu,basi hatokuja kumuelewa mtu yeyote!
 
Maisha yangu yote nimewahi pata mpenzi m 1 tu ninaesema kweli YULE alikua mwanamke

Ni mwanamke tuliekua tukishindana kila mtu kumjali mwenzake

Leo nitamnunulia Kiatu,kesho atanletea vest kesho kutwa nitampa hela ya saloon

Sijakaa vizuri nimeletewa suprise ya Jeans,,ataniomba hela akaninunulie WALLET maana kaona niliyonayo imechakaa

Kesho yake nitaenda town ntamtungulia POCHI la maana

Nitamtoa out this week end,next week end ataniambia twende mahali nimealikwa na marafiki zangu

Tukifika kwakua nakua kama mgeni ataagiza everything mwisho atalipa BILL kisha ataniambia leo niliku suprise

Nilitaka nikutoe out mimi

Aseee yule mwanamke utamfanyia hiki atakulipa kwa kile With lots of love

Ila huwezi amini SISI WANAUME (hasa mimi) macho juu juu Nilimpoteza yule manzi

SASA HIVI NAKUTANA na vinguchiro Vinanikomesha hivyo Hela zinantoka na bado zinaendelea na sioni hata ahueni

Natafuta siku nikatubu MLIMANI sio kwa vi mauza uza hivi ninavyokutana navyo

Unakutana na kidada kinakupendaaa kinakuita bebe unakinunulia/kifanyia kila kitu ila kenyewe kapo TU

walai dunia hii kuna wanawake na ma washi washi
Kwa hiyo huyo uliyemwacha akienda mlima wa fire kutafuta mume wa kisulisuli hushangai maana juhudi zake kwako zimegonga mwamba. Na washi washi hapo ni aliyetupa bigijii kwa karanga za kuonjeshwa au karanga zenyewe?
 
nikimuona mlima wa moto nitaenda kumchoropoa pale hatoamini LABDA ANIKATALIE TU

ila haya mambo ya kuonja onja haya mimi siyatamani tena Nimekomaaaaaa
 
tumekusikia mkuu, na sisi kwa moyo mkunjufu kabisa, huku tukiwa na heshima tele bila kusahau nidhamu ya khali ya juu, tunasema kuanzia sasa na hata milele, tupo tayari kuolewa na mwanaume yoyote yule anayevaa suruali haijalishi ameletwa na kisulisuli ama kimbunga..!
, umetuwakilisha vema kabisa washindwe wao tu, mana kutwa kutusema tunaweka vigezo vingii haya sasa no barriers
 
Maisha yangu yote nimewahi pata mpenzi m 1 tu ninaesema kweli YULE alikua mwanamke

Ni mwanamke tuliekua tukishindana kila mtu kumjali mwenzake

Leo nitamnunulia Kiatu,kesho atanletea vest kesho kutwa nitampa hela ya saloon

Sijakaa vizuri nimeletewa suprise ya Jeans,,ataniomba hela akaninunulie WALLET maana kaona niliyonayo imechakaa

Kesho yake nitaenda town ntamtungulia POCHI la maana

Nitamtoa out this week end,next week end ataniambia twende mahali nimealikwa na marafiki zangu

Tukifika kwakua nakua kama mgeni ataagiza everything mwisho atalipa BILL kisha ataniambia leo niliku suprise

Nilitaka nikutoe out mimi

Aseee yule mwanamke utamfanyia hiki atakulipa kwa kile With lots of love

Ila huwezi amini SISI WANAUME (hasa mimi) macho juu juu Nilimpoteza yule manzi

SASA HIVI NAKUTANA na vinguchiro Vinanikomesha hivyo Hela zinantoka na bado zinaendelea na sioni hata ahueni

Natafuta siku nikatubu MLIMANI sio kwa vi mauza uza hivi ninavyokutana navyo

Unakutana na kidada kinakupendaaa kinakuita bebe unakinunulia/kifanyia kila kitu ila kenyewe kapo TU

walai dunia hii kuna wanawake na ma washi washi
Vinguchiro,dah!

Mkuu story yako imenikumbusha mwanamke wangu mmoja hv,sijawahi pata mwanamke wa kunijari kama yule aiseh hata mke wangu hagusi.

Alikuwa tayari akose pocket money lakini mm niwe poa,tulikuwa shule za karibu za bweni mm niko form six yeye yupo form five.

Nilimpoteza nikiwa second year yeye first year vyuo tofauti lakini,sababu kubwa ni ufala kama wako tu.
 
Hahahaha vijana,
kama nilivowaambia kule juu, kwa mwanamke na mwanaume yani wote,

binadamu alieumbwa kwa ajili ya kukupenda wew mpka kuwa tayr kujinyima yeye mwenyew huwa anakuwa ni mmoja tu,

ukishampoteza basi.
Na bahati mbaya wakipotea huwa hawarudi hata kwa dawa
 
Uko sahihi mkuu.

Yule mwanamke baada ya kumzingua aliokoka then baadae nikawa nataka kurudi baada ya kugundua nimepotea njia huku nikiahidi kuokoka kama yeye lakini akagoma akisema 'nikiokoka ili tu turudiane nitamsumbua'.

Huwa nikitofautiana na wife basi najisemea moyoni hv -- angehandle vp hii situation.
 
Tatzo sio uwingi wa vigezo, tatizo ni vigezo ambavo they are unnecessary kwenye mahusiano..

...afu mpo wengi mtu hawez poteza mda kuhangaika kutaka kujishape kimaisha na kimuonekano ili akuridhishe wew wakat wapo ambao watampenda kama alivo.

Afu trust, me hata mwanaume awe na pesa, kazi plus maisha mazuri sana,,, kama kweli ana akili timamu na ana uhitaji wa mke yani mke, namaanisha mke.

Hata uwe mzuri vp....ukishaorodhesha kwamba eti unataka mwanaume mwenye kazi nzuri, degree, biashara nzuri,

na vigezo vingne kama hvo......basi hapo hapo anajua tu kuwa ww hadhi yako ni kuwa demu wake kwa miezi kadhaa na sio kuwa mke wake.
, umetuwakilisha vema kabisa washindwe wao tu, mana kutwa kutusema tunaweka vigezo vingii haya sasa no barriers
 
Hahahahaha pole sana

Back
Top Bottom