Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

tumekusikia mkuu, na sisi kwa moyo mkunjufu kabisa, huku tukiwa na heshima tele bila kusahau nidhamu ya khali ya juu, tunasema kuanzia sasa na hata milele, tupo tayari kuolewa na mwanaume yoyote yule anayevaa suruali haijalishi ameletwa na kisulisuli ama kimbunga..!
Hata akiwa na kibamia?
 
Maisha yangu yote nimewahi pata mpenzi m 1 tu ninaesema kweli YULE alikua mwanamke

Ni mwanamke tuliekua tukishindana kila mtu kumjali mwenzake

Leo nitamnunulia Kiatu,kesho atanletea vest kesho kutwa nitampa hela ya saloon

Sijakaa vizuri nimeletewa suprise ya Jeans,,ataniomba hela akaninunulie WALLET maana kaona niliyonayo imechakaa

Kesho yake nitaenda town ntamtungulia POCHI la maana

Nitamtoa out this week end,next week end ataniambia twende mahali nimealikwa na marafiki zangu

Tukifika kwakua nakua kama mgeni ataagiza everything mwisho atalipa BILL kisha ataniambia leo niliku suprise

Nilitaka nikutoe out mimi

Aseee yule mwanamke utamfanyia hiki atakulipa kwa kile With lots of love

Ila huwezi amini SISI WANAUME (hasa mimi) macho juu juu Nilimpoteza yule manzi

SASA HIVI NAKUTANA na vinguchiro Vinanikomesha hivyo Hela zinantoka na bado zinaendelea na sioni hata ahueni

Natafuta siku nikatubu MLIMANI sio kwa vi mauza uza hivi ninavyokutana navyo

Unakutana na kidada kinakupendaaa kinakuita bebe unakinunulia/kifanyia kila kitu ila kenyewe kapo TU

walai dunia hii kuna wanawake na ma washi washi

huyo KE ana sifa zote kama za mai wife,hebu ni PM namba zake nijiridhishe..

au hata namba zake 3 za mwisho za simu anayotumia au hata ile ya ofisini kwake.!

kama ndiye nitakuwa nakuazima siku 1 1
 
Hahahahaha
 
SHIDA WAIKISHA OLEWA, WANAKUA NA JEURI SUGU, DHARAU ZA HOVYO HOVYO, NA KIBURI CHENYE KUTU. !!! WALIACHIKA AU KUWA NA NDOA NGUMU WANAKIMBILIA KUFANYA ZIARA ZA KUSHITUKIZA KWENYE MAKANISA YA MITUME NA MANABIII. WE UNAFIKIRI WOTE HAWAKUWAHI KUOLEWA PALE??? HALAFU WACHAGA WENGI KWELI
hivi wanawake wachaga wana shida gani??
 
huyo KE ana sifa zote kama za mai wife,hebu ni PM namba zake nijiridhishe..

au hata namba zake 3 za mwisho za simu anayotumia au hata ile ya ofisini kwake.!

kama ndiye nitakuwa nakuazima siku 1 1
mkuu acha kabisa kama ni yeye kweli

unaweza ntaftia balaaa maana naeza hamia kwako

kuwa Hata house boy wakujitolea (ilimradi tu niwe karibu na huyo mtu)
 
SHIDA WAIKISHA OLEWA, WANAKUA NA JEURI SUGU, DHARAU ZA HOVYO HOVYO, NA KIBURI CHENYE KUTU. !!! WALIACHIKA AU KUWA NA NDOA NGUMU WANAKIMBILIA KUFANYA ZIARA ZA KUSHITUKIZA KWENYE MAKANISA YA MITUME NA MANABIII. WE UNAFIKIRI WOTE HAWAKUWAHI KUOLEWA PALE??? HALAFU WACHAGA WENGI KWELI
Una utani na wachaga mkuu
 
Maisha yangu yote nimewahi pata mpenzi m 1 tu ninaesema kweli YULE alikua mwanamke

Ni mwanamke tuliekua tukishindana kila mtu kumjali mwenzake

Leo nitamnunulia Kiatu,kesho atanletea vest kesho kutwa nitampa hela ya saloon

Sijakaa vizuri nimeletewa suprise ya Jeans,,ataniomba hela akaninunulie WALLET maana kaona niliyonayo imechakaa

Kesho yake nitaenda town ntamtungulia POCHI la maana

Nitamtoa out this week end,next week end ataniambia twende mahali nimealikwa na marafiki zangu

Tukifika kwakua nakua kama mgeni ataagiza everything mwisho atalipa BILL kisha ataniambia leo niliku suprise

Nilitaka nikutoe out mimi

Aseee yule mwanamke utamfanyia hiki atakulipa kwa kile With lots of love

Ila huwezi amini SISI WANAUME (hasa mimi) macho juu juu Nilimpoteza yule manzi

SASA HIVI NAKUTANA na vinguchiro Vinanikomesha hivyo Hela zinantoka na bado zinaendelea na sioni hata ahueni

Natafuta siku nikatubu MLIMANI sio kwa vi mauza uza hivi ninavyokutana navyo

Unakutana na kidada kinakupendaaa kinakuita bebe unakinunulia/kifanyia kila kitu ila kenyewe kapo TU

walai dunia hii kuna wanawake na ma washi washi
 
Hali ni mbaya sana.

Binafsi nawaombea wale walio halisi halafu bahati mbaya wamekuwa wakikutana na mabazazi nk.kwakweli hao kwa jina la Yesu wakapelekewe wenza sahihi.

Ila hawa kina atubinukile mwakapozi,waendelee kujitolea tu.
Amen
 
Ukiona meli inaendelea kuzama nitajitokeza wewe unikumbushe kwa hii reply hapa hata miaka 10 ikipita
Chungu ila ndyo dawa hamna jinsi ,nakumbuka nilikua na vigezo flani hivi si vingi sana ila siku zinavozidi kwenda najikuta napunguza tuu aisee sasa nasema hivi...nimepunguza vigezo to zero nahitaji yeyote ili mradi awe jinsia me(joke)
 
Back
Top Bottom