Vi rendra
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 3,310
- 5,724
🙈[emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🙈[emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipo banah,Long time no see you
Upepo wa kisulisuli karibu utanipitia hapa unilete huko uliko.[emoji85]
pole mkuu "ulipoteza almasi wakat ukiendelea kutafuta mawe"Maisha yangu yote nimewahi pata mpenzi m 1 tu ninaesema kweli YULE alikua mwanamke
Ni mwanamke tuliekua tukishindana kila mtu kumjali mwenzake
Leo nitamnunulia Kiatu,kesho atanletea vest kesho kutwa nitampa hela ya saloon
Sijakaa vizuri nimeletewa suprise ya Jeans,,ataniomba hela akaninunulie WALLET maana kaona niliyonayo imechakaa
Kesho yake nitaenda town ntamtungulia POCHI la maana
Nitamtoa out this week end,next week end ataniambia twende mahali nimealikwa na marafiki zangu
Tukifika kwakua nakua kama mgeni ataagiza everything mwisho atalipa BILL kisha ataniambia leo niliku suprise
Nilitaka nikutoe out mimi
Aseee yule mwanamke utamfanyia hiki atakulipa kwa kile With lots of love
Ila huwezi amini SISI WANAUME (hasa mimi) macho juu juu Nilimpoteza yule manzi
SASA HIVI NAKUTANA na vinguchiro Vinanikomesha hivyo Hela zinantoka na bado zinaendelea na sioni hata ahueni
Natafuta siku nikatubu MLIMANI sio kwa vi mauza uza hivi ninavyokutana navyo
Unakutana na kidada kinakupendaaa kinakuita bebe unakinunua/kifanyia kila kitu ila kenyewe kapo TU
walai dunia hii kuna wanawake na ma washi washi
[emoji46][emoji23][emoji23][emoji23]Chungu ila ndyo dawa hamna jinsi ,nakumbuka nilikua na vigezo flani hivi si vingi sana ila siku zinavozidi kwenda najikuta napunguza tuu aisee [emoji1] sasa nasema hivi...nimepunguza vigezo to zero nahitaji yeyote ili mradi awe jinsia me(joke)
huwa nashangaa hawa viumbe yan ukimuomba namba anakujibu "unataka ya nn"tena kwa nyodo lakn huyo huyo unakuta wa kwanza kwny foleni ya kisuli suli ili apate mumeNimekaa na kuwaza sana baada ya kuangalia ile clip ya lwakatare kuhusu ule upepo sjui unaitwaje nimeusahau na jina.....!!!!!???
Sasa nikajiuliza,,,, hawa viumbe mbona wakija humu ndani kututafuta wanaleta mavigezo meeeeeeeeeeeengiiiii mpka watu tunachanganyikiwa kumbe juma pili mnaenda kukumbatia upepo wa kisuli suliii,...
We mwanamke yani wew peke ako unataka mwanaume awe....
1.Handsome
2 Mrefu
3. Mweupe/mweusi.
4. Degree na kuendelea.
5. Awe na kazi nzuri
6. Atokee mikoa flan na flan.
7. Awe mcha mungu
8. Awe na nyumba.
9. Biashara ya maana.
10. Umri flan.
11. Wa tecno msijisumbue.
12. Ajue kunibembeleza.
13. Asiwe bahiri.
Na mavigezo mengine meeeeeeeeeeengi....
Inamana mwanaume wa aina hyo wanawake wengine wooooooote hawakumuona wala yeye hakuwaona akawa anakungoja wewe.......
Ukifika miaka 30 and above unaanza kuangaika kwa kina lwakatare kutaka muujiza ambao kipindi cha nyuma ulikua unakutana nao kila unapoenda sokoni..
Acheni ujinga wanawake.......!!! Hakuna mwanaume perfect kwa zaidi ya asilimia 60% hayupo dunia nzima.....
..ukipata mwanaume anakupenda na akawa muwazi kwako kwa mapungufu yeyote alionayo.....basi jitahidi kucopy with the situation.....
Hatobaki hivo milele......just trust him and trust his process then mbelen everythng will be ok.....
True love ikiwepo tu kila kitu kinajiweka kwnye mstar taratibu.
La sivyo mtapata taaaaaabu sanaaaaaa.....na mtachezewa saaaaanaaaaa huku ndoa mkiziskia tu kwnye mabomba.
Kwahiyo mkuu wale walokuwa kwa Mama Rwakatare ni jumla ya wanawake wote?Nimekaa na kuwaza sana baada ya kuangalia ile clip ya lwakatare kuhusu ule upepo sjui unaitwaje nimeusahau na jina.....!!!!!???
Sasa nikajiuliza,,,, hawa viumbe mbona wakija humu ndani kututafuta wanaleta mavigezo meeeeeeeeeeeengiiiii mpka watu tunachanganyikiwa kumbe juma pili mnaenda kukumbatia upepo wa kisuli suliii,...
We mwanamke yani wew peke ako unataka mwanaume awe....
1.Handsome
2 Mrefu
3. Mweupe/mweusi.
4. Degree na kuendelea.
5. Awe na kazi nzuri
6. Atokee mikoa flan na flan.
7. Awe mcha mungu
8. Awe na nyumba.
9. Biashara ya maana.
10. Umri flan.
11. Wa tecno msijisumbue.
12. Ajue kunibembeleza.
13. Asiwe bahiri.
Na mavigezo mengine meeeeeeeeeeengi....
Inamana mwanaume wa aina hyo wanawake wengine wooooooote hawakumuona wala yeye hakuwaona akawa anakungoja wewe.......
Ukifika miaka 30 and above unaanza kuangaika kwa kina lwakatare kutaka muujiza ambao kipindi cha nyuma ulikua unakutana nao kila unapoenda sokoni..
Acheni ujinga wanawake.......!!! Hakuna mwanaume perfect kwa zaidi ya asilimia 60% hayupo dunia nzima.....
..ukipata mwanaume anakupenda na akawa muwazi kwako kwa mapungufu yeyote alionayo.....basi jitahidi kucopy with the situation.....
Hatobaki hivo milele......just trust him and trust his process then mbelen everythng will be ok.....
True love ikiwepo tu kila kitu kinajiweka kwnye mstar taratibu.
La sivyo mtapata taaaaaabu sanaaaaaa.....na mtachezewa saaaaanaaaaa huku ndoa mkiziskia tu kwnye mabomba.
Fact mkuu,,,wanapenda sana miujiza kuliko uhalisia
kumbe ulimwona bro....nmechek yuule manz balaa japo anaonekana kwa nyuma tu ila anaonekana yuko freshHahahaa wapooo...afu kuna mmoja alivaa gauni jeusi......chombo ile mbayaaa
Hili lina ukweli mkuu naunga mkono kwa asilimia mia.Ndo ipo hivo kaka.....katika maisha yetu yote wanaume, mwanamke aliumbwa kukupenda kwa dhati huwa ni mmoja tu,, ukimpoteza basi.......huji kumpata wa aina hyo tena
Kwahiyo kwa sababu mwanamke ana shida na mume basi ndiyo akubali kutongozwa na mwanaume yeyote tu atakayekutana naye?? Haki kaka zetu wa kiafrika mna shida mahali siyo bure!!huwa nashangaa hawa viumbe yan ukimuomba namba anakujibu "unataka ya nn"tena kwa nyodo lakn huyo huyo unakuta wa kwanza kwny foleni ya kisuli suli ili apate mume
wanahs kansan kuna muujiza wa kupata mume asiyeish mtaan kumbe kla cku anapishana nae
Bado upo tu, vipi mgahawa unaendeleaje?Chungu ila ndyo dawa hamna jinsi ,nakumbuka nilikua na vigezo flani hivi si vingi sana ila siku zinavozidi kwenda najikuta napunguza tuu aisee [emoji1] sasa nasema hivi...nimepunguza vigezo to zero nahitaji yeyote ili mradi awe jinsia me(joke)
Hahahah..!tumekusikia mkuu, na sisi kwa moyo mkunjufu kabisa, huku tukiwa na heshima tele bila kusahau nidhamu ya khali ya juu, tunasema kuanzia sasa na hata milele, tupo tayari kuolewa na mwanaume yoyote yule anayevaa suruali haijalishi ameletwa na kisulisuli ama kimbunga..!
[emoji41]Kwahiyo kwa sababu mwanamke ana shida na mume basi ndiyo akubali kutongozwa na mwanaume yeyote tu atakayekutana naye?? Haki kaka zetu wa kiafrika mna shida mahali siyo bure!!
wanawake wamezd aseeKweli nyani haoni kundule!! Ninyi mbona huwa ndiyo vinara wa kutaka wanawake wakamilifu utasikia oohh sisi ndiyo tunaoa hivyo sisi ndiyo tunachagua haya tangu mmeanza kuoa na kuchagua kuna mwanaume dunia hii amewahi kupata mwanamke mkamilifu??
Huu mchezo jamani hauhitaji hasira,, tuendelee kuchezeana tu..
i love your honestly my sister, be blessedChungu ila ndyo dawa hamna jinsi ,nakumbuka nilikua na vigezo flani hivi si vingi sana ila siku zinavozidi kwenda najikuta napunguza tuu aisee [emoji1] sasa nasema hivi...nimepunguza vigezo to zero nahitaji yeyote ili mradi awe jinsia me(joke)