Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

tumekusikia mkuu, na sisi kwa moyo mkunjufu kabisa, huku tukiwa na heshima tele bila kusahau nidhamu ya khali ya juu, tunasema kuanzia sasa na hata milele, tupo tayari kuolewa na mwanaume yoyote yule anayevaa suruali haijalishi ameletwa na kisulisuli ama kimbunga..!
you have torn my ribs apart my sister
 
Great article my bro, pls have a cup of coffee or take a big coke, bill iletwe kwangu
 
Hawa wa upepo wa kisuli suli wana dharau sana. Ukiwakuta wanasubiri gari lile la kanisani kwao ukiwasalimia hata wanaweza wasikujibu.

Hao wanaume wanaowataka inabidi wanunue bando wa download mwenye vigezo atakavyo.
 
Mnunua bidhaa ndio ana haki ya kuchagua ovaaaa.

Mkubali mkatae mwenye haki ya kuchagua ni Me coz yeye ndio muoaji.

Endeleni kuchagua sana sijui mtajioa?
Kweli nyani haoni kundule!! Ninyi mbona huwa ndiyo vinara wa kutaka wanawake wakamilifu utasikia oohh sisi ndiyo tunaoa hivyo sisi ndiyo tunachagua haya tangu mmeanza kuoa na kuchagua kuna mwanaume dunia hii amewahi kupata mwanamke mkamilifu??

Huu mchezo jamani hauhitaji hasira,, tuendelee kuchezeana tu..
 
Mnunua bidhaa ndio ana haki ya kuchagua ovaaaa.

Mkubali mkatae mwenye haki ya kuchagua ni Me coz yeye ndio muoaji.

Endeleni kuchagua sana sijui mtajioa?
Kwa kuwa umeamua kutufananisha wanawake na bidhaa ngoja nikupeleke unakotaka ili tuende sawa haya kumbuka pia mnunuaji hawezi kununua bidhaa asiyokuwa na uwezo nayo hata siku moja,, mara nyingi matajiri ndiyo huwa wananunua bidhaa ghali na mpya lakini masikini huwa wanaishia kununua bidhaa chee na mtumba sasa shida inakuja pale masikini anapolazimisha kununua bidhaa ghali na mpya wakati hana uwezo wa kumiliki je hapo napo bado utasema mnunuaji ndiyo anachagua bidhaa yoyote anayoitaka na kwamba bidhaa haichagui mnunuaji??
 
Back
Top Bottom