Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

Ukiona meli inaendelea kuzama nitajitokeza wewe unikumbushe kwa hii reply hapa hata miaka 10 ikipita
naomba nikukumbushe sahivi haina haja ya 10 years mkuu, meli ishazama hii ,ila ulivyo na kichwa kichafu utakua husband material wewe . Good night bichwa chafuu my husband to be muokoa jahazi dah,thank you for coming into my life
 
Thanks my wife to be(Wife material) .

U are the queen of my heart, may ur mind be filled with thoughts of how much I love u.

Sweet dreams my love.
 
Thanks my wife to be(Wife material) .

U are the queen of my heart, may ur mind be filled with thoughts of how much I love u.

Sweet dreams my love.
My Kichwa kichafu jamani, thank you Darling, I love you moree, husband uliyeletwa na ule upepo mpaka kunioa bila dalili , ila hiko kichwa huwa unakichafua na nini daily?
 
Love u too my sweetheart.

Kilikuwa kinachafuka kwa upweke ila kila nikikuona naona kinasafishika baby.

Hapa najiuliza lini nije kujitambulisha ndoa mapema.

Also I'm sorry, I have realized too late that my happiness was u, financial services

Hahaha, so are we changing the name to "clean head"? ama tuache tu it's a brand name ,Mrs Dirty head Mimi

It's better late than never babe, we still have time..

Njoo home hata bila dalili tu its ok
 
Nimekaa na kuwaza sana baada ya kuangalia ile clip ya Rwakatare kuhusu ule upepo sijui unaitwaje nimeusahau na jina.

Sasa nikajiuliza, hawa viumbe mbona wakija humu ndani kututafuta wanaleta mavigezo mengi mpaka watu tunachanganyikiwa, kumbe Jumapili mnaenda kukumbatia upepo wa kisulisuli.

Wewe mwanamke, yani wewe peke yako unataka mwanaume awe:

1.Handsome
2 Mrefu
3. Mweupe/mweusi
4. Degree na kuendelea
5. Awe na kazi nzuri
6. Atokee mikoa fulani na fulani
7. Awe mcha mungu
8. Awe na nyumba
9. Biashara ya maana.
10. Umri fulani
11. Wa Tecno msijisumbue
12. Ajue kunibembeleza
13. Asiwe bahili

Na mavigezo mengine meeeeeeeeeeengi.

Ina maana mwanaume wa aina hiyo wanawake wengine wooooooote hawakumuona wala yeye hakuwaona akawa anakungoja wewe.

Ukifika miaka 30 and above unaanza kuangaika kwa kina lwakatare kutaka muujiza ambao kipindi cha nyuma ulikuwa unakutana nao kila unapoenda sokoni.

Acheni ujinga wanawake! Hakuna mwanaume perfect kwa zaidi ya asilimia 60% hayupo dunia nzima.

Ukipata mwanaume anakupenda na akawa muwazi kwako kwa mapungufu yeyote alionayo.....basi jitahidi kucopy with the situation.

Hatobaki hivo milele. Just trust him and trust his process then mbeleni everything will be okay.

True love ikiwepo tu kila kitu kinajiweka kwenye mstari taratibu.

La sivyo mtapata taaaaaabu sanaaaaaa, na mtachezewa saaaaanaaaaa huku ndoa mkiziskia tu kwenye mabomba.
SAUTI INATOSHA MKUU KWA UPEPO HUU WA KISULISULI
 
Back
Top Bottom