Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

Hivi upepo wa kisulisuli umeanza mwaka huu au ulikuwepo;;? Wasichana wa mlimani nawauliza,,mbona huyo mama mchungaji mwenyewe hana mme?
Mbona upepo wa kisulisuli umeshindwa kumletea yeye mme kwanza;? Nyie sio vipofu mnaoongozwa na kipofu wa siku nyingi;?
 
Nina uhakika viko ndani ya mapenzi ya Mungu, kwa mfano nikasema mwanaume wa kunioa ni lazima awe mkristo kosa liko wapi?
😀😀😀😀hapo hamna kosa kwa kweli,afu Avator ya kipindi kile nimeikumbuka sana,unaweza irudisha ya kipindi kile eti, Khantwe
 
Nimekaa na kuwaza sana baada ya kuangalia ile clip ya Rwakatare kuhusu ule upepo sijui unaitwaje nimeusahau na jina.

Sasa nikajiuliza, hawa viumbe mbona wakija humu ndani kututafuta wanaleta mavigezo mengi mpaka watu tunachanganyikiwa, kumbe Jumapili mnaenda kukumbatia upepo wa kisulisuli.

Wewe mwanamke, yani wewe peke yako unataka mwanaume awe:

1.Handsome
2 Mrefu
3. Mweupe/mweusi
4. Degree na kuendelea
5. Awe na kazi nzuri
6. Atokee mikoa fulani na fulani
7. Awe mcha mungu
8. Awe na nyumba
9. Biashara ya maana.
10. Umri fulani
11. Wa Tecno msijisumbue
12. Ajue kunibembeleza
13. Asiwe bahili

Na mavigezo mengine meeeeeeeeeeengi.

Ina maana mwanaume wa aina hiyo wanawake wengine wooooooote hawakumuona wala yeye hakuwaona akawa anakungoja wewe.

Ukifika miaka 30 and above unaanza kuangaika kwa kina lwakatare kutaka muujiza ambao kipindi cha nyuma ulikuwa unakutana nao kila unapoenda sokoni.

Acheni ujinga wanawake! Hakuna mwanaume perfect kwa zaidi ya asilimia 60% hayupo dunia nzima.

Ukipata mwanaume anakupenda na akawa muwazi kwako kwa mapungufu yeyote alionayo.....basi jitahidi kucopy with the situation.

Hatobaki hivo milele. Just trust him and trust his process then mbeleni everything will be okay.

True love ikiwepo tu kila kitu kinajiweka kwenye mstari taratibu.

La sivyo mtapata taaaaaabu sanaaaaaa, na mtachezewa saaaaanaaaaa huku ndoa mkiziskia tu kwenye mabomba.
hivi hamna maisha bila ndoa Tanzania hii?




mbona unajiona gold sana mkuu! tambua uee na ndoa usiwe nayo maisha lazima yaendeleee nani kasema ana uroho wa ndoa?


usipende kuwahenerelaizi mabint wote ukumbuje hata dada yako yupo kwenye list hiyo.
 
Back
Top Bottom