Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,591
- 29,543
Ahsante kwa maombi mumie, na hii nimepokea kama ilivyo!!Uonyeshe tuu dadiii dear, tupate muda wa kushona sare!
Nakuombea mnoo hun sema wako yupo tayari!
Ahsante kwa maombi mumie, na hii nimepokea kama ilivyo!!Uonyeshe tuu dadiii dear, tupate muda wa kushona sare!
Nakuombea mnoo hun sema wako yupo tayari!
Kama ndye huyu mwambie sina chura hivo simfai khaa[emoji3] [emoji3]Anatafuta mke, rafiki changamkia fursa View attachment 1236399
naanzaje eti mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rudi ulipotoka [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji85][emoji85]Anatafuta mke, rafiki changamkia fursa View attachment 1236399
[emoji3] [emoji3] jua linazama inabidi yeyote aokoe jahazi mkuu,vigezo vingi Vya nini binadamu wote sawa tu(sizitaki mbichi hizii[emoji3] )Hahahahaa mwishoni huwa mnabaki na ile ya "" yeyote nitakae letewa na Mungu"
Hahaaaa ,Aya ngoja nije huko pm tuyajengeChungu ila ndyo dawa hamna jinsi ,nakumbuka nilikua na vigezo flani hivi si vingi sana ila siku zinavozidi kwenda najikuta napunguza tuu aisee [emoji1] sasa nasema hivi...nimepunguza vigezo to zero nahitaji yeyote ili mradi awe jinsia me(joke)
[emoji1] [emoji1] umeziona hizo brackets mkuuu (joke)Hahaaaa ,Aya ngoja nije huko pm tuyajenge
Nitakuwepo[emoji1787][emoji1787] Tuache mkuu na jumapili mkuje kwa wingi basi mlima wa moto mtuchague
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Km hatatoa Mahari yetu apite tuu na huo upepo wake. Haiwezekani akubebe km mwewe
Mkuu wengine humu tumeoa wachagaSHIDA WAIKISHA OLEWA, WANAKUA NA JEURI SUGU, DHARAU ZA HOVYO HOVYO, NA KIBURI CHENYE KUTU. !!! WALIACHIKA AU KUWA NA NDOA NGUMU WANAKIMBILIA KUFANYA ZIARA ZA KUSHITUKIZA KWENYE MAKANISA YA MITUME NA MANABIII. WE UNAFIKIRI WOTE HAWAKUWAHI KUOLEWA PALE??? HALAFU WACHAGA WENGI KWELI
Ukiniona usiniache basi nikabebwa na wengineNitakuwepo
naanzaje eti mkuu
narudi naanza kusema semaje
akiniuliza nimesahau nini (ntakosa jibu)
Na kweli...unaotaThere are Any Virgin Woman At mlima wa Moto...
Maana mimi naomba kila diku nipate mke mchamungu ambaye bado kigoli na Mpya...yani hajui chochote zaidi ya mikono yake kujichamba...
Naota
[emoji135][emoji87][emoji84]