Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

Maisha yangu yote nimewahi pata mpenzi m 1 tu ninaesema kweli YULE alikua mwanamke

Ni mwanamke tuliekua tukishindana kila mtu kumjali mwenzake

Leo nitamnunulia Kiatu,kesho atanletea vest kesho kutwa nitampa hela ya saloon

Sijakaa vizuri nimeletewa suprise ya Jeans,,ataniomba hela akaninunulie WALLET maana kaona niliyonayo imechakaa

Kesho yake nitaenda town ntamtungulia POCHI la maana

Nitamtoa out this week end,next week end ataniambia twende mahali nimealikwa na marafiki zangu

Tukifika kwakua nakua kama mgeni ataagiza everything mwisho atalipa BILL kisha ataniambia leo niliku suprise

Nilitaka nikutoe out mimi

Aseee yule mwanamke utamfanyia hiki atakulipa kwa kile With lots of love

Ila huwezi amini SISI WANAUME (hasa mimi) macho juu juu Nilimpoteza yule manzi

SASA HIVI NAKUTANA na vinguchiro Vinanikomesha hivyo Hela zinantoka na bado zinaendelea na sioni hata ahueni

Natafuta siku nikatubu MLIMANI sio kwa vi mauza uza hivi ninavyokutana navyo

Unakutana na kidada kinakupendaaa kinakuita bebe unakinunua/kifanyia kila kitu ila kenyewe kapo TU

walai dunia hii kuna wanawake na ma washi washi
Malipo ni hapa hapa duniani
 
tumekusikia mkuu, na sisi kwa moyo mkunjufu kabisa, huku tukiwa na heshima tele bila kusahau nidhamu ya khali ya juu, tunasema kuanzia sasa na hata milele, tupo tayari kuolewa na mwanaume yoyote yule anayevaa suruali haijalishi ameletwa na kisulisuli ama kimbunga..!
😂😂😂😂
 
SHIDA WAIKISHA OLEWA, WANAKUA NA JEURI SUGU, DHARAU ZA HOVYO HOVYO, NA KIBURI CHENYE KUTU. !!! WALIACHIKA AU KUWA NA NDOA NGUMU WANAKIMBILIA KUFANYA ZIARA ZA KUSHITUKIZA KWENYE MAKANISA YA MITUME NA MANABIII. WE UNAFIKIRI WOTE HAWAKUWAHI KUOLEWA PALE??? HALAFU WACHAGA WENGI KWELI

Khaah wee kiboko, ulijuaje kama wachaga ni wengi?
 
Sauti haitoshi mkuu kule nyuma nadhani bado hawajasikia.
Nimekaa na kuwaza sana baada ya kuangalia ile clip ya lwakatare kuhusu ule upepo sjui unaitwaje nimeusahau na jina.....!!!!!???

Sasa nikajiuliza,,,, hawa viumbe mbona wakija humu ndani kututafuta wanaleta mavigezo meeeeeeeeeeeengiiiii mpka watu tunachanganyikiwa kumbe juma pili mnaenda kukumbatia upepo wa kisuli suliii,...

We mwanamke yani wew peke ako unataka mwanaume awe....

1.Handsome
2 Mrefu
3. Mweupe/mweusi.
4. Degree na kuendelea.
5. Awe na kazi nzuri
6. Atokee mikoa flan na flan.
7. Awe mcha mungu
8. Awe na nyumba.
9. Biashara ya maana.
10. Umri flan.
11. Wa tecno msijisumbue.
12. Ajue kunibembeleza.
13. Asiwe bahiri.

Na mavigezo mengine meeeeeeeeeeengi....

Inamana mwanaume wa aina hyo wanawake wengine wooooooote hawakumuona wala yeye hakuwaona akawa anakungoja wewe.......

Ukifika miaka 30 and above unaanza kuangaika kwa kina lwakatare kutaka muujiza ambao kipindi cha nyuma ulikua unakutana nao kila unapoenda sokoni..

Acheni ujinga wanawake.......!!! Hakuna mwanaume perfect kwa zaidi ya asilimia 60% hayupo dunia nzima.....

..ukipata mwanaume anakupenda na akawa muwazi kwako kwa mapungufu yeyote alionayo.....basi jitahidi kucopy with the situation.....

Hatobaki hivo milele......just trust him and trust his process then mbelen everythng will be ok.....

True love ikiwepo tu kila kitu kinajiweka kwnye mstar taratibu.
La sivyo mtapata taaaaaabu sanaaaaaa.....na mtachezewa saaaaanaaaaa huku ndoa mkiziskia tu kwnye mabomba.
 
Maisha yangu yote nimewahi pata mpenzi m 1 tu ninaesema kweli YULE alikua mwanamke

Ni mwanamke tuliekua tukishindana kila mtu kumjali mwenzake

Leo nitamnunulia Kiatu,kesho atanletea vest kesho kutwa nitampa hela ya saloon

Sijakaa vizuri nimeletewa suprise ya Jeans,,ataniomba hela akaninunulie WALLET maana kaona niliyonayo imechakaa

Kesho yake nitaenda town ntamtungulia POCHI la maana

Nitamtoa out this week end,next week end ataniambia twende mahali nimealikwa na marafiki zangu

Tukifika kwakua nakua kama mgeni ataagiza everything mwisho atalipa BILL kisha ataniambia leo niliku suprise

Nilitaka nikutoe out mimi

Aseee yule mwanamke utamfanyia hiki atakulipa kwa kile With lots of love

Ila huwezi amini SISI WANAUME (hasa mimi) macho juu juu Nilimpoteza yule manzi

SASA HIVI NAKUTANA na vinguchiro Vinanikomesha hivyo Hela zinantoka na bado zinaendelea na sioni hata ahueni

Natafuta siku nikatubu MLIMANI sio kwa vi mauza uza hivi ninavyokutana navyo

Unakutana na kidada kinakupendaaa kinakuita bebe unakinunua/kifanyia kila kitu ila kenyewe kapo TU

walai dunia hii kuna wanawake na ma washi washi
 
Mwanaume akinipenda/akanijali/akaniheshimu
Huo ndio mvuto wangu/Degree/masters/urefu/uzuri/biashara ya maana ndio hio yani everything.
Mwanaume anaekupenda akakupa Attention zote hata akiwa John mad dog ni sawa sasa awe mrefu ili umchongee jeneza au
 
Back
Top Bottom