Mkeo au mchumbaako akitaka kuwasiliana na michepuko yake hutumia zaidi simu ya rafiki yake

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,891
MKEO AU MCHUMBAAKO AKITAKA KUWASILIANA NA MICHEPUKO YAKE HUTUMIA ZAIDI SIMU YA RAFIKI YAKE.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Kuna wale wanaume wenye tabia ya kuzikagua simu za Wake au wachumba zao. Mbaya zaidi huzikagua waziwazi. Hilo ni kosa. Unapoishi na mwenza iwe mumeo au mkeo usifanye makosa ya namna hiyo.

Kwanza onyesha kuwa unamuamini sana, tena sana huku moyoni ukitumia kanuni ya Trust no one. Kama utakuwa unamkagua na kumpeleleza mkeo au mchumbaako basi ni vizuri ukafuata kanuni za kipelelezi; ambapo ni vizuri mshukiwa asijue kuwa anapelelezwa ili asije aka-fake na kuwa na tahadhari nyingi zaidi.

Mpelelezi hapaswi kujulikana ni mpelelezi hata kushukiwa tuu. Na endapo mkeo au mchumbaako atakuwa anahisi kuwa unampeleleza wewe unachotakiwa ni kum-prove Wrong indirectly.

Elewa kuwa kadiri unavyoonyesha kuwa unamchunguza mkeo na akajua ndio unazidi kumpa akili ya kukuzidi kuficha yale ambayo ungetakiwa uyajue.

Na kadiri unavyoficha na kutojionyesha humpelelezi wakati unampeleleza ndio utazidi kugundua yale ambayo hakutaka uyajue.

Ukimpeleleza mtu akawa anajua unampeleleza atakuwa makini zaidi na atakuwa anahangaika kufuta vielelezo/ushahidi na pia vile ambavyo havifutiki atakuwa anavipotosha.

Ikiwa mkeo anarafiki yake ambaye wanauwezo wa kubadilishana simu zao. Basi ni vizuri ukawa unaofuatilia zaidi siku ya rafikiake (shemejio) kuliko siku ya Mkeo.

Kama utabahatika kuishika siku ya Rafikiake mkeo tembelea mawasiliano yaliyofanyika siku ambayo mkeo na rafikiako walikutana.

Swali linakuja utaipataje simu ya Rafiki wa mkeo au mchumbaako. Hapo lazima uwe Smart.

Elewa, Wanawake wengi hawawezi ku-cheat na hawana ujasiri wa ku-cheat bila kushirikisha marafiki zao. Na kwa wale wanawake wasio na marafiki wa kike hawa ili waku-cheat ni lazima huyo anayecheat naye lazima wawe na ukaribu sana. Yaani awe kama rafiki yake wa kiume. Mazoea.

ร‘dio maana wanaume wenye akili hawaruhusu Wake zao wawe na urafiki na mwanaume fulani.
wanawake wengi hawana ujasiri wa kufanya jambo lolote bila comfort, ukaribu na kusukumwa.
elewa pia, Mwanamke anahitaji kushawishiwa(msukumo wa nje) ndipo afanye jambo.
Msukumo wa ndani hutokana na mambo mawili tuu ambayo ni Upendo na Kisasi tuu.

Mwanamke ataku-cheat ikiwa analipa kisasi kwa uliyomfanyia. Kisasi ni msukumo wa ndani utakaomfanya mkeo au mchumbaako aku-cheat.

Pili, ni Upendo (hisia za ndani) mkeo ni ngumu kukucheat kama anakupenda, na kama amekucheat wakati anakupenda basi elewa kuna kisasi kimefanyika lakini atajilaumu sana.
Lakini hisia za mapenzi yake zikiiisha kwako pia huweza ku-cheat.

Elewa, hisia za mapenzi kwa mwanamke zinaletwa na ukaribu baina yako na yeye. Kadiri mnavyokuwa karibu na Mwanamke yeyote yule ndivyo unavyomfanya Mwanamke huyo ajenge hisia za mapenzi juu yako. Ukaribu hapa Taikon namaanisha kumpa muda wako, kumjali, kumfanya ajisikie furaha.

Hapana shaka kabisa kuwa Mkeo au mchumbaako kama humpi ukaribu ambao kwake huyaita ndio mapenzi basi lazima kuna sehemu hayo mapenzi anayapata. Hilo sio jambo la kuuliza.

Elewa pia, Mwanamke kabla hajalala na mwanaume anahofia muonekano wake kwa huyo mwanaume. Hivyo sio rahisi Mwanamke ukutane naye leo alafu siku hiyohiyo ati umlale.

Elewa kuwa kwenye suala la mahusiano wanawake wako very Smart kwa sababu hujali vitu vidogovidogo kuliko sisi Wanaume.

Hivyo Mwanamke ukimtongoza atakachokifanya ni kukuzungusha ili umzoee huku yeye akijiridhisha kuwa muonekano wake kweli unakuvutia wewe kwa kiwango fulani cha kuridhisha. Kwa mwanamke ni aibu kukuvulia nguo alafu usirishwe naye kimuonekano wa ndani.

Ndio maana ukaribu wa mkeo na mwanaume fulani ni lazima uuzuie kwa nguvu zote kwa sababu ukaribu ndio jambo pekee ambalo Mwanamke linampa ujasiri na Comfortability. Na unaposema Comfortability ya Mwanamke hapo Unazungumzia upendo wake.

Usaliti ni mchakato. Haufanyiki kwa siku moja. Usaliti kwa Mwanamke nimesema unalenga Kisasi au hisia zake za Mapenzi kama upendo wake umehama kutokana na kutokuwa karibu na mumewe.

Kuhusu Tamaa ya Mwanamke kwenye Vitu sijui kuhongwa. Sio kweli.
Mwanamke hataku-cheat kwa sababu ya kuhongwa pesa au kupewa vijizawadi.
Mwanamke ataku-cheat kwa sababu ya hisia za mapenzi zimehama au kisasi.

Pesa haimfanyi mkeo au mchumbaako akusaliti. Ndio maana hata wanaompa mkeo au mchumbaako pesa hawapewi siku hiyohiyo. Wanaweza kuhonga karibu mwezi mzima au miezi ndipo wapewe.
Wanawake wanapenda kupendwa hasa ukaribu.

Mwanaume atakayemhonga mkeo au mchumbaako hatapewa mchezo kwa sababu ametoa pesa noop! Bali atapewa kwa sababu ya vile alivyokaribu na mkeo au mchumbaako.
Huwezi ukampa mwanamke pesa alafu ukakaa kimya kisha ikifika muda fulani labda Wiki unampa tena pesa hivyohivyo alafu huyo Mwanamke akakutunuku. Never ever. Lazima uwe karibu yake.

Acha Nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ

Screenshot_20230827_065442_Chrome.jpg
 
Mpelelezi utakuwa umefika mbaali!!
Mpaka simu ya Rafiki??
 
nyakati hizi ukiomba game tu kwa mke wa mtu ata awe mstaarabu au pisi kali namna gani hachomoi, lazima akufanyie mpango ule mzigo.

hii huruma na roho safi isiyo na uchoyo imetoka wap?๐Ÿ’

na si lazima umpe mkwanja anakwambia tu andaa sehemu tulivu, tubia kadhaa, labda na kitrimotroo kiasi fulani na mafuta aina Fulani basi ๐Ÿ’

ukiwa tayari umstue...
 
Tafsiri yake Wanawake wengi kwenye ndoa Wanateseka au kusalitiwa na waume zao. Hiyo ndio maana yake.
 
Back
Top Bottom