Hela zina kazi nyingi sana mama, haitolewi kizembe, hadi nione "value for money"! Lakini sitoi ili kubadilishana na papa, huwa sinunui direct🤣
Hapana,Kuna tofauti ya kununua direct,na kumpa mpenziooo😅😅😅
 
Kuna dada aliniacha hoi,yaani Kakutana na Mtu hawajamaliza hata wiki,akaomba laki Tano,ni dada anafanya kazi nzuri tu,nikaanza mcheka nikamwambia aisee umezidisha mbona ghafla sana,akajibu wewe huwajui Hawa,akishakuzoe keshakuonjaonja ndio hakupi kabisaaa,Bora ukiwa mpya bado wanakuwa na moto....nikanyoosha mikono juu

Ila ni kweli sema ndio inabidi uwe jasiri kutanguliza njaa mbele
 
Haya mahusiano kwa kweli hayakuwa na tija kwangu. Nikitaka K nalipia yeye akitaka MBO_ o Nalipia. Yaani napigwa ndani nje. Sikuona faida. Binti nimemfahamu ndani ya siku mbili tu tayari anaanza kunipiga vibomu.

Mara anaumwa, mara mama yake anaumwa. Jana ananiambia mtoto wake anaumwa. Yaani akipiga simu akisema bebi kuna jambo nataka kukwambia. Namuuliza una shida ya pesa si ndiyo? Anajibu.... Heeeeh bebi umejuaje? Kweli sisi tunapendana.

Huyu dem kapewa sura na umbo. Akili. Nada. Hamna kabisa. Huwa nikishamaliza najikuta sina cha kuongea naye. Anaanza tu kuongea upuuzi. Inabidi nimpige tena mashine. Ili wote tuchoke tulale au niondoke.

Leo rasmi nimevunja naye mahusiano. Kanitukana sana.
 
Kuna binti mmoja nilikutana naye way back nilimtongozaga akazingua kipindi hicho yuko chuo sasa hivi amemaliza chuo yeye yupo mtaani mimi nipo kazini maisha yamemtandika kila siku mara naomba unisaidie kumtafutia kazi mara naomba 50K mara 20K n.k sasa nimefikiri kwa kina nataka nigeuze hii kama fursa ya kula tunda kimasihara sasa vipi wadau nitaambulia manyonya au nitakula nyama?
 
Kimbia mbio

Au akiomba hela mwambie aifuate getto, umle ndo umpe hela then achana nae.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom