hakika tena leo hii umepata baraka, karibu sana kwa kijana, utakuja kutoa ushuhuda kwa rafikiyo ashadii. utazaliwa upyaMe nimemaanisha wale watanashati,,,,,,,, nilishatendwa na hiyo dizain maana wanajiona wao ni bora,, hisia za wenzao hawajali...
Mwanaume mchafu sa ndo simtaki
kabisa awe kawaida tu lakini sio kujifanya mtanashati.
Namaanisha wale ambao ni wazuri wa sura, wanavaa kuendana na katalogy, hawa ni majanga matupu yaani hovyo kabisa.
Ni kweli...hapo hata mimi naweza kukulelewa......nina jamaa yangu anakaa kinondoni ......msafi sana na anavaa nguo kuendana na fashion.......kuanzia viatu mpaka saa lazima viendane. Lakini hagaagi na wasichana......huwa wanamkimbia. Jamaa ni mrefu mweusi very handsome. Nahisi itakua ni aina hiyo ya wanaume.
Sijui kama utanashati na game vinahusiana.....all in all jitahidini jamani kupiga phumbu
khaaaaa.....
Mie sipingi usafi ila napingana na u-show rum
Mwanaume laini kaa ronya,,,,,,,,,,,muda wote unadeka tuu basi onyesha uanaume kwa ushirikiano unapoewa huwezzi halafu uanfikiri eti kwasababu ni mzuri basi mademu watajigonga. sSiku hizi na madem wanataka mechi si utoto utoto.
Mie nimefanya utafiti wangu wanaume wengi ambao ni wazuri wa sura wale watoto wa show rum yaani hawajui kazi tena wa ni wakudeka usipime. Unakuta mtu ana mvuto mzuri, msafi lakini nenda nae chumban utajuta yaani unaanza kumfundisha kila kitu kibaya zaid hata kustahimili basi hawawez.
Kubalini tu ukweli kwamba wanaume wa siku hizi mmelemaa rudini jandoni upya.
Heaven on earth unatafuta ugomvi aise maana hapo yuko juu asilimia mia
Appetite ya jukwaa hili imekwisha kabisa vimejaa vivulana na visichana ni shida tupu.
Good thing nimeongea na Max kuanzia kesho November kuna mabadiliko makubwa sana yanakuja.
Ni kweli...hapo hata mimi naweza kukulelewa......nina jamaa yangu anakaa kinondoni ......msafi sana na anavaa nguo kuendana na fashion.......kuanzia viatu mpaka saa lazima viendane. Lakini hagaagi na wasichana......huwa wanamkimbia. Jamaa ni mrefu mweusi very handsome. Nahisi itakua ni aina hiyo ya wanaume.
hahaaa sa hapo nawaza eti perfomance ni 0.......
grafani11 yuko huko umewasiliana nae
Appetite ya jukwaa hili imekwisha kabisa vimejaa vivulana na visichana ni shida tupu.
Good thing nimeongea na Max kuanzia kesho November kuna mabadiliko makubwa sana yanakuja.
dah kweli man!Kumbe na sisi wabeba zege bado tuna mashabiki.....niliishaanza kukata tamaa..
you are so right,yani demu wa mapozeo tu naye ategemee perfomance gani wakati analipwa kukata kiu ya anaemlipa,mambo ya perfomance ni kwa mkeo,yule ambae unagonga bila hofu kwamba sijui napata michubuko or whatever.me nimefanya uchunguzi kwamba kama mtu ukiwa na demu wako au mkeo unayempenda unaweza kustahimili muda mrefu sana hata masaa mawili ili mradi ni mtu wako na mnajuana,lakini ukikutana na changu unapiga fasta fasta ukojoe ili uchape lapa kwanza unaogopa usijepata michubuko ukajisababishia maradhi,lakin pili unakuta ni jitu tu umekutana nalo unataka utoe uchafu mwilini.sasa swala la msingi hapa ni je madhumuni ya sita kwa sita yenu ni kufanya mapenzi au kutoa uchafu!
duuuh wewe mkali... umegawa uroda kwa wanaume wangapi watanashati na wangapi wasafi mpka ukakamilisha risachi yako... inaonekana huo utamu umeugawa sana kama pipi eeh?Mie nimefanya utafiti
wangu wanaume wengi ambao ni wazuri wa sura wale watoto wa show rum
yaani hawajui kazi tena wa ni wakudeka usipime. Unakuta mtu ana mvuto
mzuri, msafi lakini nenda nae chumban utajuta yaani unaanza kumfundisha
kila kitu kibaya zaid hata kustahimili basi hawawez.
Kubalini tu ukweli kwamba wanaume wa siku hizi mmelemaa rudini jandoni
upya.