Wanaume watanashati wengi wabovu kitandani.

Wanaume watanashati wengi wabovu kitandani.

Mie sipingi usafi ila napingana na u-show rum
Mwanaume laini kaa ronya,,,,,,,,,,,muda wote unadeka tuu basi onyesha uanaume kwa ushirikiano unapoewa huwezzi halafu uanfikiri eti kwasababu ni mzuri basi mademu watajigonga. sSiku hizi na madem wanataka mechi si utoto utoto.
Performance ya kitandani inachagizwa zaidi na usafi wa hao wahusika wawapo kwenye majambozi, hivyo mwanaume mtanashati ategemee zaidi kupewa ushirikiano na mwanamke kitandani tofauti na mwanaume asiyejipenda, kama umeshindwa kujipenda mwenyewe na umekosa muda wa kujiweka safi mwili sasa utaweza vipi kupata muda wa kumwandaa mwanamke ili umfikishe kileleni ?. Tusidanganye usafi ndio kila kitu kwenye suala zima la mapenzi,
 
Dude!!
A package of so many attributes!..........naming the few, body physique, manners, manhood, performance etc.

Hapo kwenye body physicue, wale wenye six packs ndo watanashati sio? Too bad ndo warembo wengi wanakimbilia humo....

Preta kuja pande hii.
 
Last edited by a moderator:
ndo maana wake wa mabosi wakubwa , mawaziri, etc wanatembea na shamba boy, wauza mchicha- wale wa nchicha, nchicha, samaki samaki, bamia bamia etc mitaani
Na ndio maana mibaba yenye kujiona na kujidai sana wanamegewa wake zao na hata vidampa!
Chezea mkuyati wa shamba boy wewe?? Mtu kwanza ana ful mazoezi halafu utundu anaujua unafikiri hajamwangusha mamsap dhambini?
Waache utozi wapige kazi!
 
Elungata performance inayoongelewa hapa sio ya kupiga maba mengi manake what if kama hayo mabao unahesabu mara ulizokojoa wewe??

performance hapa tunaongelea uwezo wa kumridhisha na kumpa raha mwenzi wako, mwanaume anatakiwa amudu jinsi ya kumpa raha mkewe wawapo faraghani.

Habar za kwetu. wasalimie wote. Naona vijana mnalumbana na kupeana elimu!
 
At least wewe umeadmit kwamba tatizo lipo, sawa mie sikupingi hata kidogo. Lakin ninachopingana na wewe wala kumridhisha mwanamke hakuhitaj nguvu kubwa kiasi hicho (nguvu za kiume).

Mbona ni kama umejipa usemaji wa wanawake wote? Umejuaje kuwa kumridhisha mwanamke hakuhitaji nguvu kubwa?

Maana nijuavyo mimi kila mtu yuko tofauti na tofauti hiyo yaweza sababisha wengine kuhitaji nguvu kubwa ya mwanaume ili waweze kuridhika.

Hivi unajua kuwa hata wanawake husumbuliwa na sexual dysfunction?
 
Dina, kutafuna muhogo ndo kunaongeza utanashati? Au hapa wazungumzia muhogo upi manake nyie mabinti kwa mafumbo mmeshindikana.

Usitoke nje ya mada bwana, mihogo ile inayopitishwa barabarani kwenye mabeseni, mnanunua kwa vipande.....Huwa tunawaona kwenye foleni barabarani ati.....
 
Nina mashaka na uelewa wako! Nadhani ungetenganisha unadhifu na utoto wa mama. Kwa kuwa uchafu siyo sifa kwa mwanaume. Mimi ni nadhifu tena sana lakini ninapokuwa nashughulika na papuchi watoto wakike huwa wanaomba break japo wajambe. Ulipaswa kuzungumzia watoto ambao hawapo social then ni maisha ya tabaka flani hivi.
 
Usitoke nje ya mada bwana, mihogo ile inayopitishwa barabarani kwenye mabeseni, mnanunua kwa vipande.....Huwa tunawaona kwenye foleni barabarani ati.....

Hahah nimecheka kwa sauti. Ndo imekuwa mbadala wa pweza?
 
sio wote jamani kuna wengine sio watanashati na wanaharibu tu...hapo mi naona ni mtu tu mwenyewe jinsi alivyo au jinsi anavyokuchukulia mdada akiwa na wewe huko faragha. Unajua kwa sisi wadada, ukiwa mchafu tu huko maeneo mfano mnaingia tu room ukivua tu nguo moja basi chumba chote kinatapakaa harufu yako mbaya ya uchafu wa eidha kikwapa au k yako, ni lazima mwanaume awe mtanashati au sio mtanashati atapoteza stimu na wewe na kujikuta hapafomu ulivyotegemea. Na hii ni sawasawa kwa sisi wanawake, mwanaume akiwa mchafu ni kikwapa kikali hana usafi hata kdg, basi stimu ikikatika tu utaona kama jamaa hajapafomu kama ulivyotegemea..so sio suala la usafi tu pekee, NO! ni zaidi ya hilo kwani saa zingine labda expectations za mmoja wenu zinakuwa tofauti na unachoona mbele yako huko faragha. Kwa hiyo ndg zangu muhimu ni kumuomba expectations zetu hasa linapokuja suala hili la mapenzi basi tuyakutayo yawe ni yaleyale tuliyotegemea ili stimu zisiwe zinapotea na kuishia kuumizana hisia na mioyo yetu.
 
Mbona una imani haba? Mi natangulia kule. Ntakusubiri.

Nani anataka mbuzi guniani? Si ndio haya haya ya utanashati tunayoongelea hapa? Ooh miye kiboko ya njia....ooh sijui nini.. Hebu toka huko PM nenda ukale, mchana huu.....
 
Hapo kwenye body physicue, wale wenye six packs ndo watanashati sio? Too bad ndo warembo wengi wanakimbilia humo....

Preta kuja pande hii.
Na hao ndo mapoyoyo usipime!!
Tena ukikuta na yule kila saa yuko gym ndo balaa maji chupa kubwaa linakunywa linajiona ndo lenyewe lipe mzigo uone.
Utajuta kwanini ulimpa!!!!!!!
 
Na hao ndo mapoyoyo usipime!!
Tena ukikuta na yule kila saa yuko gym ndo balaa maji chupa kubwaa linakunywa linajiona ndo lenyewe lipe mzigo uone.
Utajuta kwanini ulimpa!!!!!!!

Duh kwahiyo wenye mavitambi ndo mpango mzima?
 
Mbona ni kama umejipa usemaji wa wanawake wote? Umejuaje kuwa kumridhisha mwanamke hakuhitaji nguvu kubwa?

Maana nijuavyo mimi kila mtu yuko tofauti na tofauti hiyo yaweza sababisha wengine kuhitaji nguvu kubwa ya mwanaume ili waweze kuridhika.

Hivi unajua kuwa hata wanawake husumbuliwa na sexual dysfunction?[/QUOTE]

Ngabu, Hapo kwenye red, is it synonymous na LOW LIBIDO?
 
Na hao ndo mapoyoyo usipime!!
Tena ukikuta na yule kila saa yuko gym ndo balaa maji chupa kubwaa linakunywa linajiona ndo lenyewe lipe mzigo uone.
Utajuta kwanini ulimpa!
!!!!!!

hahahahaa mechekesha sana mimi wallah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom