Wanaume watanashati wengi wabovu kitandani.

Wanaume watanashati wengi wabovu kitandani.

nsee a muro

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
241
Reaction score
124
Weee uliye tuu ucheke una mbavu????

Hope you are all good!!
Najua wengi mtakuja na matusi na kashfa kibao lakini message sent and delivered.

Men you should train yourself bhana mnaboa sana yaani unakuta mtu mtanashati, ana kila kitu kizuri lkn kitandani hovyo kabisa...,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

SITAKI MATUSI IKIKUBOA IPOTEZEE
 
Nsee,

Sentensi yako ya mwisho yawezekana unatania ili u provoke watu (iwe watanashati au si watanashati).

Utanashati na kuweza kumudu faragha ni vitu viwili tofauti. Kwanza akiwa mtanashani, ni dalili tosha ni msafi hata mwili wake akiwa 6/6.

Umechanganya utanashati na uzuri sana. Sielewi mwenzangu unatokea wapi, ila mie nimezungukwa na wanaume watanashati ambao ni dhahiri shughuli wanaiweza vizuri hilo tokana na viashiria vionyeshavyo kuwa kweli wanaiweza (tuache hilo lakini).

Utanashati ni kujipenda na usafi. Ila uzuri sana ndiyo huwa shida kwa wengi wanaume katika mambo yao mengi yanayowazunguka hadi suala la performance kitandani. Na hii ni kwa wale wanaume wazuri mno hadi anaweza faulu kuwa mtoto wa kike kwa make; na huwa balaa zaidi akiwa yeye kajitambua ni mzuri na kuwa so selfish to the extent ya kudhani uzuri huo ndio jibu la kila kitu. Mwanaume anakuwa mzuri na kila saa anataka kujitazama kwenye kioo.. :shocked:

Hata hivyo kuna wanaume ambao si wazuri na siyo performers wazuri tokana tu na sababu zingine tu, ingawa hata mimi nakiri kuwa wanaume wazuri mno kwa kiasi kikubwa ni tatizo.
 
uwiiiiiiiiiii!!!!!!!!!! hahaaaaaaaa!!!!!! me ndo maana nikitongozwa na mtanashati nakimbia ka mwehu na kama tumekaa mahali naingia chini ya uvungu wa meza ili mradi anione sifai............

Huh? Tinna kwa hiyo unavutiwa na mwanaume kwa kigizo kuwa lazima awe mchafu mchafu? Au sielewi? Naomba nieleweshe rafiki..
 
haha! hii kweli inachekesha, humu jf hii vita ya men vs women hii!! more to come
 
Huh? Tinna kwa hiyo unavutiwa na mwanaume kwa kigizo kuwa lazima awe mchafu mchafu? Au sielewi? Naomba nieleweshe rafiki..

Me nimemaanisha wale watanashati,,,,,,,, nilishatendwa na hiyo dizain maana wanajiona wao ni bora,, hisia za wenzao hawajali...
Mwanaume mchafu sa ndo simtaki kabisa awe kawaida tu lakini sio kujifanya mtanashati.
 
AshaDii big up maana kuna utanashati na uzuri sasa hapo sijui anazungumzia kipi
 
Last edited by a moderator:
Wifi AshaDii nakusalimia tu. Afu nakupenda pia. Kakako ni mtanashati, mzuri sana afu fundi mashaallah.

Wifi ilikuwa nikupigie simu ambayo ni taboo kabisa kwetu. Leo nilitaka nidiriki kuuliza iwapo kaka na utanashati wake wote ule ipo vipi?

Alafu nabaki na swali pia. Unakuta in most cases crowd you hang out with ni watanashati (wake kwa waume); hivi inaingiliana hapa? Ina maana... Still thinking. :A S 39:

Me love you more :busu
 
Weee uliye tuu ucheke una mbavu????

Hope you are all good!!
Najua wengi mtakuja na matusi na kashfa kibao lakini message sent and delivered.

Men you should train yourself bhana mnaboa sana yaani unakuta mtu mtanashati, ana kila kitu kizuri lkn kitandani hovyo kabisa...,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

SITAKI MATUSI IKIKUBOA IPOTEZEE

Mmmhh !
Sina uhakika sana na hili unalolisema labda tu nikushauri hebu jaribu pande hizi za MWANAKA uone kilichomtoa kanga manyoya shingoni
 
Me nimemaanisha wale watanashati,,,,,,,, nilishatendwa na hiyo dizain maana wanajiona wao ni bora,, hisia za wenzao hawajali...
Mwanaume mchafu sa ndo simtaki kabisa awe kawaida tu lakini sio kujifanya mtanashati.

Simfahamu, na yawezekana nakosea. Kuna wanaume wapo so selfish na wala hata haviingiliani na utanashati wake, mwingine anaweza hata asiwe mzuri na pia ni selfish. Ila wazuri wengi sana ni selfish sana na mara nyingi wazuri wengi ni watanashati.
 
Mwaka uu lazma mtoane ngeu wanaowaponda wanaume vs wanaowatetea wanaume ngoja nikae pembeni niangalie mpabano
 
Nsee,

Sentensi yako ya mwisho yawezekana unatania ili u provoke watu (iwe watanashati au si watanashati).

Utanashati na kuweza kumudu faragha ni vitu viwili tofauti. Kwanza akiwa mtanashani, ni dalili tosha ni msafi hata mwili wake akiwa 6/6.

Umechanganya utanashati na uzuri sana. Sielewi mwenzangu unatokea wapi, ila mie nimezungukwa na wanaume watanashati ambao ni dhahiri shughuli wanaiweza vizuri hilo tokana na viashiria vionyeshavyo kuwa kweli wanaiweza (tuache hilo lakini).

Utanashati ni kujipenda na usafi. Ila uzuri sana ndiyo huwa shida kwa wengi wanaume katika mambo yao mengi yanayowazunguka hadi suala la performance kitandani. Na hii ni kwa wale wanaume wazuri mno hadi anaweza faulu kuwa mtoto wa kike kwa make; na huwa balaa zaidi akiwa yeye kajitambua ni mzuri na kuwa so selfish to the extent ya kudhani uzuri huo ndio jibu la kila kitu. Mwanaume anakuwa mzuri na kila saa anataka kujitazama kwenye kioo.. :shocked:

Hata hivyo kuna wanaume ambao si wazuri na siyo performers wazuri tokana tu na sababu zingine tu, ingawa hata mimi nakiri kuwa wanaume wazuri mno kwa kiasi kikubwa ni tatizo.

Yaani ukweli ambao mie nimeuona nice looking men wana perfomance mbovu sana, tena hawa wa mjini ambao masaa yote anaonekana msafi, mzuri anavutia ni majanga. WENGI hudhan umaridadi na uzuri wao basi unatosha kumbe sio.

Mwanaume ambaye ni wa kawaida tu unaweza mdharau na kusema huyu yuko hivi lakini ukweli kwenye mechi performance iko njema zaid zaid ya hawa wa shoe rum tunaokutana nao huku maofisini.Kwanza wengi hawa wa show rum ni watoto wa mama, hawajui hata uanaume wao uko wapi. Mijianaume inadeka tu kama watoto wa kike yaani hawaeleweki.
 
may katika hao uliokumbana nao wote walikuwa wachovu na walijipenda sana wao wakasahau kuwa wanatakiwa kubalance mambo na sidhani kama generalization yako inakubalika kwa wote kuwa wanaume watanashati ni bomu may be kwa hao ulikokutana nao
Na sijui kama na wewe ulijipima performance yako ulipokutana na hao wanaume watanashati wachovu ilikuwaje maana na wewe unaweza ukawa chanzo au AshaDii na King'asti nafanya kosa
 
Last edited by a moderator:
mie sio mtanashati na si mchafu ni msela tuu ,tinna cute vipi unaweza japo kunipa nafasi ni miliki moyo wako?
 
AshaDii big up maana kuna utanashati na uzuri sasa hapo sijui anazungumzia kipi

Mie nimefanya utafiti wangu wanaume wengi ambao ni wazuri wa sura wale watoto wa show rum yaani hawajui kazi tena wa ni wakudeka usipime. Unakuta mtu ana mvuto mzuri, msafi lakini nenda nae chumban utajuta yaani unaanza kumfundisha kila kitu kibaya zaid hata kustahimili basi hawawez.

Kubalini tu ukweli kwamba wanaume wa siku hizi mmelemaa rudini jandoni upya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom