IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,317
kupiga phumbu ndiyo kufanyaje mkuu?Sijui kama utanashati na game vinahusiana.....all in all jitahidini jamani kupiga phumbu
kupiga phumbu ndiyo kufanyaje mkuu?Sijui kama utanashati na game vinahusiana.....all in all jitahidini jamani kupiga phumbu
eti Habby macho yake yanasema we ni mtanashati.......
halafu nimemsimulia yanayoelekea jamvini ndo anajiuliza.....
itakuwaje wakati wanaume watanashati perfomance ni doro
Yaani ukweli ambao mie nimeuona nice looking men wana perfomance mbovu sana, tena hawa wa mjini ambao masaa yote anaonekana msafi, mzuri anavutia ni majanga. WENGI hudhan umaridadi na uzuri wao basi unatosha kumbe sio.
Mwanaume ambaye ni wa kawaida tu unaweza mdharau na kusema huyu yuko hivi lakini ukweli kwenye mechi performance iko njema zaid zaid ya hawa wa shoe rum tunaokutana nao huku maofisini.Kwanza wengi hawa wa show rum ni watoto wa mama, hawajui hata uanaume wao uko wapi. Mijianaume inadeka tu kama watoto wa kike yaani hawaeleweki.
Mwambie nimekasirika eti....
duuuh mzee wewe kweli mkali kumbe ile mitaa ya kimboka huwa unaenda kutoa uchafu tu sio kuperform?me nimefanya uchunguzi
kwamba kama mtu ukiwa na demu wako au mkeo unayempenda unaweza
kustahimili muda mrefu sana hata masaa mawili ili mradi ni mtu wako na
mnajuana,lakini ukikutana na changu unapiga fasta fasta ukojoe ili
uchape lapa kwanza unaogopa usijepata michubuko ukajisababishia
maradhi,lakin pili unakuta ni jitu tu umekutana nalo unataka utoe uchafu
mwilini.sasa swala la msingi hapa ni je madhumuni ya sita kwa sita yenu
ni kufanya mapenzi au kutoa uchafu!
may katika hao uliokumbana nao wote walikuwa wachovu na walijipenda sana wao wakasahau kuwa wanatakiwa kubalance mambo na sidhani kama generalization yako inakubalika kwa wote kuwa wanaume watanashati ni bomu may be kwa hao ulikokutana nao
Na sijui kama na wewe ulijipima performance yako ulipokutana na hao wanaume watanashati wachovu ilikuwaje maana na wewe unaweza ukawa chanzo au AshaDii na King'asti nafanya kosa
kupiga phumbu ndiyo kufanyaje mkuu?
haki ya mama miss strong ni mkali yaani anataka tuongeze bidiii kwenye kupiga machine?... haya amesikika ngoja niongeze ile dozi viagraigugung'wa
hahaha utachekwa mkuu maana yake ni kupiga mashine kwa nguvu zako zote
na kwa akili zako zote na kwa uwezo wako wote na utaalam wako wote na
ujuzi wako wote
kuwa na adabu wewe.....mwanaume kudeka kama mtoto wa kike? Acha dharau bintiYaani ukweli ambao mie nimeuona nice looking men wana perfomance mbovu sana, tena hawa wa mjini ambao masaa yote anaonekana msafi, mzuri anavutia ni majanga. WENGI hudhan umaridadi na uzuri wao basi unatosha kumbe sio.
Mwanaume ambaye ni wa kawaida tu unaweza mdharau na kusema huyu yuko hivi lakini ukweli kwenye mechi performance iko njema zaid zaid ya hawa wa shoe rum tunaokutana nao huku maofisini.Kwanza wengi hawa wa show rum ni watoto wa mama, hawajui hata uanaume wao uko wapi. Mijianaume inadeka tu kama watoto wa kike yaani hawaeleweki.
haki ya mama miss strong ni mkali yaani anataka tuongeze bidiii kwenye kupiga machine?... haya amesikika ngoja niongeze ile dozi viagra
Me nimemaanisha wale watanashati,,,,,,,, nilishatendwa na hiyo dizain maana wanajiona wao ni bora,, hisia za wenzao hawajali...
Mwanaume mchafu sa ndo simtaki kabisa awe kawaida tu lakini sio kujifanya mtanashati.
Mkuu igudung'wa
usiende huko bana tumia natural power yako usitake kuongeza uwezo kutoka
nje bana maana hujafika huko
Tumia ile aliyokupa Mungu kabla ya kwenda kwa hizi za wanadam naamini
utapiga kazi kwa kwenda mbele na hutaonekana mchovu maana hizo za
wanadam hizo zitakufanya siku moja ile kitu ilale doro aise
.Kwanza wengi hawa wa show rum ni watoto wa mama, hawajui hata uanaume wao uko wapi. Mijianaume inadeka tu kama watoto wa kike yaani hawaeleweki.
me nimefanya uchunguzi kwamba kama mtu ukiwa na demu wako au mkeo unayempenda unaweza kustahimili muda mrefu sana hata masaa mawili ili mradi ni mtu wako na mnajuana,lakini ukikutana na changu unapiga fasta fasta ukojoe ili uchape lapa kwanza unaogopa usijepata michubuko ukajisababishia maradhi,lakin pili unakuta ni jitu tu umekutana nalo unataka utoe uchafu mwilini.sasa swala la msingi hapa ni je madhumuni ya sita kwa sita yenu ni kufanya mapenzi au kutoa uchafu!