Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,330
- 17,857
Hommie hebu divert PM zako kwa inbox ya ODM. Mi na wewe hatujakutana barabarani.
Noted noted.......
Hommie hebu divert PM zako kwa inbox ya ODM. Mi na wewe hatujakutana barabarani.
Haa..haaa, mijianaume inadeka! Umeniacha hoi......hasa mwanamke afanye nin jamani?
Hivi lakin una nini na mimi??Sikujua. Hivi yeye ni veteran wa volleyball au basketball?
AshaDii mke mwenzangu, nafikiri mleta mada aina ya uandish wa mada yake ndio ulio mletea upinzani mkubwa zaid hapa. Na sijui ufaham wake lkn kwa uelewa wangu mimi utanashati ni compliment ya performance as you have said it.
sasa nije kwenye swala la msingi ambalo naona kwa baadhi ya wanaume wanayo shida na hapa nimetaka tu kuelimisha na so kushabikia, kuna baadhi ya wanaume ambao ukweli hawawez/hawajui / hawamudu kuridhisha wapenzi wao lijapo swala la kufanya mapenzi.
Kama ilivyo kwamba kuna baadhi ya wanawake wako hivyo basi na upande wa pili wa shilingi uko hivyo. Tatizo kwa wanawake wengi huwa hawawez kusema ukweli kwa wapenzi wao kwamba hapa hujanifikisha na hivyo hutoka wakiwa na maswali mengi sana akilini mwao.
Mie nimewah kusikia kwa wanawake wengi tu wakilalamika hawajui hata orgasm ni kitu gani zaid ya kusoma tu kwamba kuna kilele watu hufika, na hawa unakuta wako kwenye ndoa na wana watoto pengine wa3 ama 4 ndoa ina mwaka 10+. Hapo ndipo linapokuja swala zima la je ni kwamba huyu baba ni mbinafsi?? na je huyu mwanaume anajua nini anachotaka mkewe kwenye ishu ya tendo la ndoa?
Wanaume wengi hujua mwanamke hufika pale yeye anapofikia mshindo kumbe maskini kuna njia tofauti kabisa ya kumfikisha huyu mwanamke. tena baadhi yao hujua akifikia mshindo ndio basi yy hawez hata kujua mwenzie kafika wapi. Kuna sababu ya wanaume kujifunza na kuijua miili ya wake zao wajue mke anaridhishwa vipi kimapenzi.
Hata hawa wanaotumia dawa za kuongeza nguvu za kiume, hutumia wakijua kwamba kukaa kifuani kwa mwanamke muda mrefu ndiko kumfanya afikie mshindo kumbe wala sio hivyo.
I think some thing needs to be addressed in a clear way kwa hawa wanaume.
Dina, mi si mtanashati kivile. Nadhani ushanielewa. Hebu twende PM chapchap sana.
Niliyekuwa nae ananitosha......watu walimuona wa nn sasa hv wanajigonga kwake.Nyota yke inang'aa balaa chezea joto la vijana nn???
kwani what do you mean by performer,you mean yule anaepiga mabao mengi au kuperform ndo kufanya nini?Nsee,
Sentensi yako ya mwisho yawezekana unatania ili u provoke watu (iwe watanashati au si watanashati).
Utanashati na kuweza kumudu faragha ni vitu viwili tofauti. Kwanza akiwa mtanashani, ni dalili tosha ni msafi hata mwili wake akiwa 6/6.
Umechanganya utanashati na uzuri sana. Sielewi mwenzangu unatokea wapi, ila mie nimezungukwa na wanaume watanashati ambao ni dhahiri shughuli wanaiweza vizuri hilo tokana na viashiria vionyeshavyo kuwa kweli wanaiweza (tuache hilo lakini).
Utanashati ni kujipenda na usafi. Ila uzuri sana ndiyo huwa shida kwa wengi wanaume katika mambo yao mengi yanayowazunguka hadi suala la performance kitandani. Na hii ni kwa wale wanaume wazuri mno hadi anaweza faulu kuwa mtoto wa kike kwa make; na huwa balaa zaidi akiwa yeye kajitambua ni mzuri na kuwa so selfish to the extent ya kudhani uzuri huo ndio jibu la kila kitu. Mwanaume anakuwa mzuri na kila saa anataka kujitazama kwenye kioo.. :shocked:
Hata hivyo kuna wanaume ambao si wazuri na siyo performers wazuri tokana tu na sababu zingine tu, ingawa hata mimi nakiri kuwa wanaume wazuri mno kwa kiasi kikubwa ni tatizo.
hahahaa Swetlo hommie wangu "hajui alacho kuku, asingempa mgeni' LOL
Kwani braza hajitahidi kupiga mbuphu?
Upo sahihi kabisa, naona umeeleza kwa kirefu pia na post yako nyingine inayofuata, usipoliangalia vizuri hili suala unaweza ukagawa lamama ambazo kimsingi ni zako ingawa saa ingine lawama huwa kweli. I concur kabisa mdogo wangu. :busu
hAO NLOLALA NAO WANATAOSHA KUJUSTFY MY OPINION!
WATANASHATI MNADEKA KAA MADEMU BWANA SIE TUNATAKA GEMU KAMA VIPI PELEKEN VIUNO VYENU GEREJI
kwani what do you mean by performer,you mean yule anaepiga mabao mengi au kuperform ndo kufanya nini?
Kaizer nisamehe bure...niambie nifanye nini ili unisamehe...hivi ulianza lini kuvunja ahadi Heaven on earth? :eyeroll1:
walizira wewe ukala.....hehehe.
Elungata performance inayoongelewa hapa sio ya kupiga maba mengi manake what if kama hayo mabao unahesabu mara ulizokojoa wewe??kwani what do you mean by performer,you mean yule anaepiga mabao mengi au kuperform ndo kufanya nini?
walizira wewe ukala.....hehehe.