mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,039
aisee umeua........we mbayaaaaaaaa!!angalia wataku note wawe wanakupondea ingawa umefunguka!!ubovu wa mwanaume unasababishwa kwa asilimia 70 na mwanammke mwenyewe.Fikiria usoni umepiga karolight ya nguvu,lakini ndani sasa,mapaja yanamadoadoa,makalio yamejaa sugu utadhani dereva wa trekta,papuchi inatoa uvundo wa ajabu,kisanola hakijanyolewa miezi kadhaa,nyayo za miguu zimejaa machacha,mbaya zaidi kitandi ukifika humuamasishi huyu baada ya kumaliza round ya kwanza iliarudi unabaki umekodoa kama koboko..!!! Mtaani tukiwaona au maofisini mlivyo jipigilia kumbe ndani "manziganyanza"..