At least wewe umeadmit kwamba tatizo lipo, sawa mie sikupingi hata kidogo. Lakin ninachopingana na wewe wala kumridhisha mwanamke hakuhitaj nguvu kubwa kiasi hicho (nguvu za kiume).
Ngoja nikupe mfano mdogo nafkiri utanielewa, mimi gfsonwin nimeolewa mke wa pili naswtlo wangu
Kaizer ambaye dada mkubwa kindoa ni
AshaDii, na siku hizi mie ninaye mdogo wangu kindoa aitwae
DEMBA.
sasa mume wetu huyu, wala sio kwamba anahitaj nguvu nyingi sana kuturidhisha ila yeye hutumia mbinu ambazo wala hazimtoi jasho, na humudu kupanga zamu na kila mmoja akamuhudumia vyema bila kutaka nyongeza ya dawa za nguvu za kiume. Anacholinda yeye ni je naujua vyema mwili wa mke wangu?? na je wapi panapompa hamasa zaidi?? kwa kua anapajua basi yeye wala jasho halimtoki na anatuweka mjini sote tukatulia na hatujuti.
sasa wewe unafikiri hapo tatizo linalowapata watoto wa kiume wa kileo ni lipi?? manake kijana wa miaka 30 utamlinganisha na swtlo wangu mwenye miaka 40+ na wake 3?? nani hapa ambaye huo upungufu wa nguvu unatakiwa umsumbue?