Wanaume watanashati wengi wabovu kitandani.

Wanaume watanashati wengi wabovu kitandani.

AshaDii mke mwenzangu, nafikiri mleta mada aina ya uandish wa mada yake ndio ulio mletea upinzani mkubwa zaid hapa. Na sijui ufaham wake lkn kwa uelewa wangu mimi utanashati ni compliment ya performance as you have said it.

sasa nije kwenye swala la msingi ambalo naona kwa baadhi ya wanaume wanayo shida na hapa nimetaka tu kuelimisha na so kushabikia, kuna baadhi ya wanaume ambao ukweli hawawez/hawajui / hawamudu kuridhisha wapenzi wao lijapo swala la kufanya mapenzi.

Kama ilivyo kwamba kuna baadhi ya wanawake wako hivyo basi na upande wa pili wa shilingi uko hivyo. Tatizo kwa wanawake wengi huwa hawawez kusema ukweli kwa wapenzi wao kwamba hapa hujanifikisha na hivyo hutoka wakiwa na maswali mengi sana akilini mwao.

Mie nimewah kusikia kwa wanawake wengi tu wakilalamika hawajui hata orgasm ni kitu gani zaid ya kusoma tu kwamba kuna kilele watu hufika, na hawa unakuta wako kwenye ndoa na wana watoto pengine wa3 ama 4 ndoa ina mwaka 10+. Hapo ndipo linapokuja swala zima la je ni kwamba huyu baba ni mbinafsi?? na je huyu mwanaume anajua nini anachotaka mkewe kwenye ishu ya tendo la ndoa?

Wanaume wengi hujua mwanamke hufika pale yeye anapofikia mshindo kumbe maskini kuna njia tofauti kabisa ya kumfikisha huyu mwanamke. tena baadhi yao hujua akifikia mshindo ndio basi yy hawez hata kujua mwenzie kafika wapi. Kuna sababu ya wanaume kujifunza na kuijua miili ya wake zao wajue mke anaridhishwa vipi kimapenzi.

Hata hawa wanaotumia dawa za kuongeza nguvu za kiume, hutumia wakijua kwamba kukaa kifuani kwa mwanamke muda mrefu ndiko kumfanya afikie mshindo kumbe wala sio hivyo.

I think some thing needs to be addressed in a clear way kwa hawa wanaume.

Word.....na wanajiongezea juhudi ya kununua mihogo na kutafuna barabarani kama nguruwe pori/mwitu....kumbe ujanja ni mdogo tu kama kumsukuma mlevi.
 
Word.....na wanajiongezea juhudi ya kununua mihogo na kutafuna barabarani kama nguruwe pori/mwitu....kumbe ujanja ni mdogo tu kama kumsukuma mlevi.
hahahahah!!!!!!!!!! umenifanya nicheke sana,,,,,,,,,,,lakini bora hata hawa wanaokula hii mihogo pengine inawasaidia.
lakini ukweli ni kwamba mpaka umjue mwenzi wako vyema ndipo unapoweza kumpa raha kusudiwa.
 
wewe unakazi ya kuchakachua uzi wa mwenzio ngoja aje sijui kaenda lunch ama shift imeisha utamkoma.

Mbona naona kama kimeshaeleweka? Nini kipya cha kuandika huku. Umekuwa mwoga mpaka umejitoa kwenye timu ya Chicago.
 
hahahahah!!!!!!!!!! umenifanya nicheke sana,,,,,,,,,,,lakini bora hata hawa wanaokula hii mihogo pengine inawasaidia.
lakini ukweli ni kwamba mpaka umjue mwenzi wako vyema ndipo unapoweza kumpa raha kusudiwa.

Hasa gfsonwin, utafune muhogo debe zima halafu hujui 'button' gani ya kugusa, itakuwa imesaidia kweli?
 
Fafanua...........utanashati upi sasa. Na wanaoweza ambao sio watanashati wakoje....waokota chupa za plastic....wanaotembea na viroba mfukoni........wanaoosha magari.....ebu funguka kidogo zaidi Muro.

Namaanisha wale ambao ni wazuri wa sura, wanavaa kuendana na katalogy, hawa ni majanga matupu yaani hovyo kabisa.
 
K unaniruhusu niweke picha kuonyesha ulivyo mtanashati? Alafu hapo hapo nimwite gfsonwin, DEMBA na msiri wako mwaJ (unaye mpaga siri zooote) waje watoe marks za Performance? :smile-big:

AshaDii bora utuwekee tuone utanashati anaozungumzia mtoa mada hapa na aina ya watu anaowataka
 
Last edited by a moderator:
Weee uliye tuu ucheke una mbavu????

Hope you are all good!!
Najua wengi mtakuja na matusi na kashfa kibao lakini message sent and delivered.

Men you should train yourself bhana mnaboa sana yaani unakuta mtu mtanashati, ana kila kitu kizuri lkn kitandani hovyo kabisa...,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

SITAKI MATUSI IKIKUBOA IPOTEZEE

ndo maana wake wa mabosi wakubwa , mawaziri, etc wanatembea na shamba boy, wauza mchicha- wale wa nchicha, nchicha, samaki samaki, bamia bamia etc mitaani
 
Inaonekana wazi kuwa wewe ni MCHAFU SANA so kila mwanaume mtanashati hapendi uchafu na kwa uchafu ulionao ukivua nguo harufu inayotoka kunako ... Kuna mkata stim anaamua kuahirisha game we jitunze halafu umpe kikojoleo chako mwanaume mtanashati utarudi hapa kukiri ukweli MWANAMKE USAFI

Huo ndo mwisho wa akili ya mtu kama wewe hivyo hunipi shida kabisaa.
 
Hasa gfsonwin, utafune muhogo debe zima halafu hujui 'button' gani ya kugusa, itakuwa imesaidia kweli?

Dina, kutafuna muhogo ndo kunaongeza utanashati? Au hapa wazungumzia muhogo upi manake nyie mabinti kwa mafumbo mmeshindikana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom