Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Mimi nimekopwa Laki mbili toka mwezi January imagine,,,,Bora ningemnyandua nijue moja.Sasa nimekopesha silipwi,kula sijala Kila siku danadana
Kwa kupitia Uzi huu nenda mpigie sas HV azirejeshe pesa zote zikiwa kamili usicheke na mtu mkuu leo nimepata elimu kidg
 
Pole sana mkuu Kwa yaliyokukuta, inasikitisha sana maisha haya tunakoenda cos tuna dada zetu,shangazi zetu,mama zetu wadogo na watoto wetu pia...etc Ila wanaume wengi nimesoma comments as if tunawakomoa wanawake.........kama unafanya hivyo Kwa wanawake wengine,jua nawewe hao niliowataja hapo juu wanafanyiwa hivyo hivyo.......
 
Mkuu kwa Zanzibar mtoto wa nje ya ndoa hanapati urithi dada zetu wanajichanganya kuzaa nje ya ndoa kule Zanzibar wanabakia kujuta kwasababu sheria ya kule Zanzibar mtoto wa nje ya ndoa hapati mirathi na ata mwanamke akienda kumshitaki mwanaume aliye mzalisha anakutana na vikwazo vingi kule Zanzibar hakuna Ustawi wa jamii, yani mwamke ukienda kwenye vyombo vya sheria kudai matunzo ya mtoto aliye zaa nje ya ndoa cha kwanza unaulizwa cheti cha ndoa na kama hauna unajibiwa ulikuwa unazini serikali haikusaidii kwaiyo mwanamke anabakia kulea mtoto bila kushirikia na baba mtoto.
Wale wanaendekeza Uislam ndo maana wako nyuma kifalsafa. Huku Tanganyika hizo falsafa za watu wa kale wa Mashariki ya Kati za kugawa watoto eti hawa watoto haramu na hawa wa ndani ya ndoa hazina nafasi tena. Mahakama Kuu ilishazipiga chini.
 
Espy Atoto nimemsalimia mtoto wa mama mkwe nasubiri ajibh nimuombe hela afu niwaonyeshe kina kaka namna wenzao wanatoa. Kama naona povu watakalomtolea bby wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣
Walivyo wachoyo hadi pesa za wenzao zinawauma.
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Kuna dem juzi kanitafta ... mambo vipi? Nimekumiss ila nina shida na 20k ... kwa haraka haraka nani hapo anafanya mapenzi biashara?
 
Lama ni mapenzi mbona hamusaombi kaka zenu na baba zenu wanaowapenda sana?
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Hakuna urafiki kati ya mwanamume na mwanamke. Kama huyo mwanamume ni rijali mtaishia kitandani tu. Mwanamke kumwomba pesa mwanamume ni namna mojawapo ya mbinu za kike za KUJILENGESHA ili aliwe, hivyo akikuacha hudhani kuwa utamdharau. Lazima akutafune tu. Achana na kuomba omba pesa wanaume ambao si ndugu WA KARIBU, watakufanya kitoweo rahisi. Rafiki yako wa kweli wa kiume ni baba mzazi na wakubwa na wadogo, pia kaka zako wa tumbo moja.

Nina jamaa yangu tumesoma wote sekondari, nilushangaa siku mojaananipa mkasa jinsi alivyozini na dada yake wa baba mkubwa. Ati alimwomba ushauri kwamba mumewe hamfanyi kwa muda sasa, wanalala tu, jamaa likahisi dada yake kalipenda ila ameshindwa tu kufunguka. Akamchukua na kumpeleka gesti maeneo ya Buguruni kwa ushauri zaidi. Urafiki wetu umekufa hapo hapo.
 
Huyo jamaa mpuuzi kweli..
 
Bidada wakulungwa huko juu wamekushushia ndonga za kichwa mpk akili imekukaa sawa ndio mkome mmezidi kuomba omba ela utafikir matonya jana tu demu kanipiga mzinga wa ela mpk sasa sijamjibu
 
Maisha yamenila kiboga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Sikutegemea kwakweli [emoji3064][emoji3064]

Nilimkuta kapuku, hakuwa na pesa, nikam offer mpaka pesa ya chakula na nauli kutoka kazini kwake kwa miezi miwili, alikuwa ni wa kuniheshimu sana, kiukweli nilimpenda sana

Sasa amepata vicent, anashindwa hata kurudisha fadhira, anahitaji tufanye mapenzi ili anipatie pesa zake alizozitengeneza kwa msingi wangu, najua leo kwangu kesho kwake, kwani nami kipindi cha nyuma nilikuwa hivi?

Mbona penzi nilimpatia bure kabisa? Tena kwa upendo wote? Tena kwangu? Leo hii kumuomba pesa kwa dharura ananipa masharti ya kwenda kwake na jua lote eti tufanye mapenzi kwanza? Kwani kigeni kwake kutoka kwangu ni kipi mpaka awe na tamaa ya ajabu kiasi icho? Kwani haniamini tena? Thamani yangu anaifananisha na nini kwa sasa? Mwanaume pekee niliempenda, nimeacha wangapi mimi mwenzenu, nimekataa wangapi ili kumtunzia heshima? Na ninyi mnafungua midomo yenu kutetea upuuzi?

Sasa napata kuamini kuwa hakuna mwanaume mwaminifu, hata hawa ninaowaona mtaani wakijifanya kuniulizia na kunitupia macho ya tabasamu na bashasha wananidanganya, huenda wamo humuhumu na ndio wachangiaji wakubwa kunitusi na kunikebehi

Nilimpenda bure jamani, hakuwa na kitu, leo hii nakatiliwa namna hii? asante mungu, ipo siku [emoji24][emoji24]
Dah, wanaume tuwe na huruma aisee. Kama hali ndio hii kweli dada zangu mnapitia kipindi kigumu sana. Binafsi mwanamke wa hivi kwangu ni wa thamani sana, ngono will have nothing to do kwa chochote atachotaka...atapewa anachotaka bila sharti lolote.
 
.... Men should be providers!.. this is how it has been!

....In evolutionary terms , it served some purposes...

.....Women get pregnant,raise kids and so could not go to hunt..

...Depended on Males for resources ef Food, Water, etc

,...Its just that with education na Maendeleo ya Dunia, industrial revolution etc

...Women became self-reliant!

...otherwise tungekuwa bado enzi zile bado nyinyi ni providers...

...Sielewi kwa nini mnataka ku divert roles zenu....LOL

....Sielewi huu uchungu wa kutoa hela mmeutoa wapi????

..what's happening guys???

..why ? i mean why???

Nilikuwepo...

Wanaume, hii posti yangu muignore tuuu.....LOL
Hatuwezi kuignore Becky,

We only provide to our wives, children, parents and close relatives.

Wengine wote it's a win win situation (in Magu's voice), I give you my money coz I expect something from you, and its nothing but pale kati. I know there's nothing you can offer ndio maana nikiwekeza kwako natarajia kupata utelezi.

Hata mkuu wangu DeepPond akimalizana na mama j ndio anaacha ten la kodi ya mezani[emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu nilikuwa na maana yangu wanaume wasiniquote,lol,,,,

Tukipigana vitu vizito, watu wanabaki bitter, mtu anakutafutafuta kwenye mada zingine anakuchomekea upuuzi..lol

Seriously mfano Umekufa, mwanao wa kike ana sruggle financially then akiomba ndugu hawampi, anamuomba rafiki yake wa kiume, then mwanaume ndio analeta mambo ya sex, utafurahi mwanao wa kike kuwa taken advantage of? .......i agree kuna win win situation ila kama ukiombwa hela kuwa sincerely hutaki sio uone ni opportunity ya wewe kumtumia huyo msichana for sex....
 
Mkuu,
Hao wanaokuandama kila mahali unaachana nao tu, unless kama wanakutaka. Kama vile na mimi nilivyo admirer wako[emoji1787], nasubiria ile golden chance tu...[emoji28]

Huo mfano tayari ni tofauti, hao tunawaombea wapate watu sahihi wa kuwasaidia. Ila kama una watu ndani ya familia, ukiomba kwa mtu baki wewe tegemea kuombwa pia.
 
Mkuu,
Hao wanaokuandama kila mahali unaachana nao tu, unless kama wanakutaka. Kama vile na mimi nilivyo admirer wako[emoji1787], nasubiria ile golden chance tu...[emoji28].

We mzee haya mambo hujaacha tu?
 
Back
Top Bottom