Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

.... Men should be providers!.. this is how it has been!

....In evolutionary terms , it served some purposes...

.....Women get pregnant,raise kids and so could not go to hunt..

...Depended on Males for resources ef Food, Water, etc

,...Its just that with education na Maendeleo ya Dunia, industrial revolution etc

...Women became self-reliant!

...otherwise tungekuwa bado enzi zile bado nyinyi ni providers...

...Sielewi kwa nini mnataka ku divert roles zenu....LOL

....Sielewi huu uchungu wa kutoa hela mmeutoa wapi????

..what's happening guys???

..why ? i mean why???

Nilikuwepo...

Wanaume, hii posti yangu muignore tuuu.....LOL
Mwanamme wakumpa hizo pesa ni mke wako au Wazazi wako au ndugu zako sio tofauti na hapo
 
Utakuta anafanya kazi, kwenye akili zao wanachojua sisi wanaume hatuna Mapenzi yakuwapa pesa Wazazi wetu na ndugu zetu ndiyo maana wasichana waki Tanzania %99 hawana maendeleo akili zao zimedumaa kwa ajili yakuombaomba wanamke una mshahara wako na boyfriend wako ana mshahara wake kwanini kila mtu asitumie pesa zake kama wanavyo fanya wazungu wakiwa kwenye mapenzi hawanyonyani wakienda ATM kila mtu anatoa pesa zake.
Maendeleo yao ni kuishia kuwa ma single maza tu mkuu kwa hali hiyo hakuna namna nyingine tumechoka na sisi, mwanamke omba omba ni danga tu kama madanga wengine.
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?

Hukufundishwa vizuri na wazazi wako! Mwanamke hupaswi kuomba fedha kwa mwanaume ambaye hana wajibu wa kukuhudumia!

Na pia una uhuru wa kukataa, kwa hiyo ukitaka fanya mapenzi biashara ni swala la hiyari yako na halimhusu mtu yeyote wala huyo mwanaume!
 
Sikutegemea kwakweli [emoji3064][emoji3064]

Nilimkuta kapuku, hakuwa na pesa, nikam offer mpaka pesa ya chakula na nauli kutoka kazini kwake kwa miezi miwili, alikuwa ni wa kuniheshimu sana, kiukweli nilimpenda sana

Sasa amepata vicent, anashindwa hata kurudisha fadhira, anahitaji tufanye mapenzi ili anipatie pesa zake alizozitengeneza kwa msingi wangu, najua leo kwangu kesho kwake, kwani nami kipindi cha nyuma nilikuwa hivi?

Mbona penzi nilimpatia bure kabisa? Tena kwa upendo wote? Tena kwangu? Leo hii kumuomba pesa kwa dharura ananipa masharti ya kwenda kwake na jua lote eti tufanye mapenzi kwanza? Kwani kigeni kwake kutoka kwangu ni kipi mpaka awe na tamaa ya ajabu kiasi icho? Kwani haniamini tena? Thamani yangu anaifananisha na nini kwa sasa? Mwanaume pekee niliempenda, nimeacha wangapi mimi mwenzenu, nimekataa wangapi ili kumtunzia heshima? Na ninyi mnafungua midomo yenu kutetea upuuzi?

Sasa napata kuamini kuwa hakuna mwanaume mwaminifu, hata hawa ninaowaona mtaani wakijifanya kuniulizia na kunitupia macho ya tabasamu na bashasha wananidanganya, huenda wamo humuhumu na ndio wachangiaji wakubwa kunitusi na kunikebehi

Nilimpenda bure jamani, hakuwa na kitu, leo hii nakatiliwa namna hii? asante mungu, ipo siku [emoji24][emoji24]
ulijua atapata tu,ulikua unawekeza.Ulijua ramani zake,kua one-day atatoboa,ametoboa unataka kumpiga vizinga alipe fadhila.
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Hiyo inaitwa law of give and take😂😂😂
 
🤣🤣😂 Ila kupitia huu Uzi wanawake tushushe kiranga cha 50/50, tuelewe kuna Haki Sawa na mfanano wa Haki......mfano Kama kuna watu wawili mmoja ana umri wa miaka 40, mwingine ana miaka 2 na wote Wana njaa, ukiwapa Kwa Haki Sawa utawapa wote mtori nusu bakuli au wali kilo moja moja....hapo umezungumzia Haki Sawa ambapo either mmoja atapunjika au atafaidi zaidi.
Lakini kwenye mfanano wa Haki kila mtu atapata anachostahili, wa mtori ale mtori wa wali ale wali.

So wanawake wenzangu, we can't beat nature, tulilie mfanano wa Haki, nature inataka tuhudumiwe, tuna Haki ya kuhudumiwa....Ila Haki huambatana na wajibu, ni wajibu wetu kuwa submissive Kwa hawa wanaume watafutaji.....ukiambiwa njoo uifate getto nendaaaa😂😂😂😂 tena Nenda Kwa adabu, toa yoteee!🤸🏿‍♀️
Tena muulize Kama anataka tena, hakuna mwanaume mgumu Kwa mwanamke mnyenyekevu.

Shida tunajifanya ngangari, tunahubiri 50/50 huku pesa zao tunazitaka😂
Na hiki ndio kiini cha mtafaruku wote huu....wewe ni kungwi👍

Wanawake (hata 40% tu) wangekuwa na mawazo kama haya dunia ingekuwa sehemu salama sana kwa wanaume kuishi.
Ponngezi kwa Mwanaume mwenzangu anayekumiliki, kama unaishi ulichoandika hapa basi naye ataishi maisha marefu sana.
 
🤣🤣😂 Ila kupitia huu Uzi wanawake tushushe kiranga cha 50/50, tuelewe kuna Haki Sawa na mfanano wa Haki......mfano Kama kuna watu wawili mmoja ana umri wa miaka 40, mwingine ana miaka 2 na wote Wana njaa, ukiwapa Kwa Haki Sawa utawapa wote mtori nusu bakuli au wali kilo moja moja....hapo umezungumzia Haki Sawa ambapo either mmoja atapunjika au atafaidi zaidi.
Lakini kwenye mfanano wa Haki kila mtu atapata anachostahili, wa mtori ale mtori wa wali ale wali.

So wanawake wenzangu, we can't beat nature, tulilie mfanano wa Haki, nature inataka tuhudumiwe, tuna Haki ya kuhudumiwa....Ila Haki huambatana na wajibu, ni wajibu wetu kuwa submissive Kwa hawa wanaume watafutaji.....ukiambiwa njoo uifate getto nendaaaa😂😂😂😂 tena Nenda Kwa adabu, toa yoteee!🤸🏿‍♀️
Tena muulize Kama anataka tena, hakuna mwanaume mgumu Kwa mwanamke mnyenyekevu.

Shida tunajifanya ngangari, tunahubiri 50/50 huku pesa zao tunazitaka😂
Mamy K hapa umeupiga mwingi sana hii comment yako iwekewe bango kubwa kila sehemu ya miji wanawake wanapaswa waisome kwa uzito zaidi 🌹
 
Espy Atoto nimemsalimia mtoto wa mama mkwe nasubiri ajibh nimuombe hela afu niwaonyeshe kina kaka namna wenzao wanatoa. Kama naona povu watakalomtolea bby wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo namba moja ndio imezalisha single mothers wa kutosha na wakiendekeza hiyo wataendelea kuzalishwa na kutumika.

Ila ndipo unapojua wanawake hawajawahi kujua wao wenyewe wanataka nini, kwa hii 50/50 wanayo ipigania sijawahi kuielewa bali ni mchongo ulioanzishwa na wanaharakati na NGO kupiga hela za wazungu.

So kwa hapo formula inayotumika ni ile mnayoita haki sawa,wewe kama unaona una haki juu ya hela ya mwanaume basi hata mwanaume ana haki juu ya papuchi yako.
Mleta mada anataka hela.

Na pili uko sahihi kuwa asipofuata namba moja uwezekano wa kuwa single mother ni mdogo ila sio kwa fikra unazodhani. Ni kwamba hatakuwa single mother kwa huyo mwanaume asiye na hela, maana kama ana akili hawezi kubeba mimba ya mwanaume choka mbaya. Lakini kudhani akidate na choka mbaya ndo hatagongwa na kuachwa nayo sio sahihi sana. Kuna choka mbaya kibao tu ambao nao ni viwembe wa kawaida.
 
Espy Atoto nimemsalimia mtoto wa mama mkwe nasubiri ajibh nimuombe hela afu niwaonyeshe kina kaka namna wenzao wanatoa. Kama naona povu watakalomtolea bby wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo mentality ya kuomba kuomba pesa sana ndio inawafanya muwe single mother wengi huyo mwanaume atalipa hizo pesa ila hatokuweka kwenye category ya wife material put it in your mind Wanaume wasasa wanaoa wanawake watakao waoffer something in return kwa maana nyingine wanataka win win situation.
 
Mleta mada anataka hela.

Na pili uko sahihi kuwa asipofuata namba moja uwezekano wa kuwa single mother ni mdogo ila sio kwa fikra unazodhani. Ni kwamba hatakuwa single mother kwa huyo mwanaume asiye na hela, maana kama ana akili hawezi kubeba mimba ya mwanaume choka mbaya. Lakini kudhani akidate na choka mbaya ndo hatagongwa na kuachwa nayo sio sahihi sana. Kuna choka mbaya kibao tu ambao nao ni viwembe wa kawaida.
Mara chache sana mwanamke kumtegeshea mimba mtu hasiye na kitu (kwa % sizani kama inazidi tano),hivi ushajiuliza kwa nini wanawake wengi wanapenda kuwategeshea mimba watu wenye hela? Ukishajua ndio utajua kwa nini nilisema hivyo na mwisho wa siku hao wenye hela bajeti zao zina hamia kwa mtoto sio mama na kwa akili yao inabaki kwenye urithi utazani waliambiwa na Mungu atakaye tangulia kufa ni mwanaume.

Huu mtego wanasa mabinti wengi tena mpaka wengine kuzaa na waume za watu sababu tu ya tamaa zao za fedha.
 
Back
Top Bottom