Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Tatizo ni mgawanyo wa majukumu

Afrika wanaume hamtaki kufanya majukumu ya wanawake kwa visingizio vya kipuuzi

Kwa wazungu hakuna huo mgawanyo kule yoyote anafanya chochote bila kujali mwenzie yupo au hayupo
Tamaduni zetu zimetujenga kutofanya majukumu ya mwanamke mfano uende kuishi kwa kaka yako wiki moja ukute kaka yako anapika anafua na kuosha vyombo na kutenga chakula mezani kila siku wewe siutamwambia mama yako kwamba kaka yako amekuwa zoba kapewa madawa Kawa zezeta anafanya kazi zote zandani, na utaanza kumchukia wifi yako.
 
Hapo ndipo wanapokosea kuzaa na mwanaume mwenye hela hai guarantee mtoto atatunzwa vizuri sababu baba yake ana hela tuna waona wengi baba zao wana hela ila wameishiwa kulelewa na mama zao au bibu Zao tena kwa tabu.

Wengine wanategemea watoto watapata urithi wakati hawaja tambulishwa hata kwa ndugu mmoja wa damu,mwisho wa siku hawatambuliki mpaka kwenye urithi.
Niliwahi kuishi Zanzibar kuna tofauti kubwa sana kati ya wanawake wakizanzibar na waki Tanganyika wanawake waki Zanzibar hawana Tamaa na siyo wezi na wanahofu ya Mungu yani hawajui kudanga yani kula pesa ya mwanaume hovyo yani huwezi kukuta binti waki Zanzibar kapangiwa chumba au nyumba.
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Msiguombe hela , acheni umatonya
 
Tatizo unakua mstarabu, una-care, unagharamia halafu badae unakuja jua kuna ndezi mmoja anapiga bureeee kabisa.
 
Kuna mawili.

La kwanza ni vile vihasira tu vya kike. Wanaozalishwa na wenye hela wengi bado ni wana akili za kisichana za vihasira vya kununanuna. Kwa hiyo unakuta labda hakujua huyo ni mume wa mtu basi anakasirika, au kuna vihasira vya kutotaka kuona anamshobokea mzazi mwenzie.

La pili ni kutojua sheria. Sheria inamlinda mtoto kikamilifu haijalishi baba na mama hawana ndoa au kwamba baba ni mume wa mtu. Kwa hiyo kama wangekuwa wanajua sheria wangehakikisha wanafuatilia haki za watoto wa kisheria. Ila wengi hawajui, au wanaona usumbufu au ndo wanasusa wasionekana wanajipendekeza kwa mzazi mwenzie.
Mkuu kwa Zanzibar mtoto wa nje ya ndoa hanapati urithi dada zetu wanajichanganya kuzaa nje ya ndoa kule Zanzibar wanabakia kujuta kwasababu sheria ya kule Zanzibar mtoto wa nje ya ndoa hapati mirathi na ata mwanamke akienda kumshitaki mwanaume aliye mzalisha anakutana na vikwazo vingi kule Zanzibar hakuna Ustawi wa jamii, yani mwamke ukienda kwenye vyombo vya sheria kudai matunzo ya mtoto aliye zaa nje ya ndoa cha kwanza unaulizwa cheti cha ndoa na kama hauna unajibiwa ulikuwa unazini serikali haikusaidii kwaiyo mwanamke anabakia kulea mtoto bila kushirikia na baba mtoto.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23] Ila kupitia huu Uzi wanawake tushushe kiranga cha 50/50, tuelewe kuna Haki Sawa na mfanano wa Haki......mfano Kama kuna watu wawili mmoja ana umri wa miaka 40, mwingine ana miaka 2 na wote Wana njaa, ukiwapa Kwa Haki Sawa utawapa wote mtori nusu bakuli au wali kilo moja moja....hapo umezungumzia Haki Sawa ambapo either mmoja atapunjika au atafaidi zaidi.
Lakini kwenye mfanano wa Haki kila mtu atapata anachostahili, wa mtori ale mtori wa wali ale wali.

So wanawake wenzangu, we can't beat nature, tulilie mfanano wa Haki, nature inataka tuhudumiwe, tuna Haki ya kuhudumiwa....Ila Haki huambatana na wajibu, ni wajibu wetu kuwa submissive Kwa hawa wanaume watafutaji.....ukiambiwa njoo uifate getto nendaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena Nenda Kwa adabu, toa yoteee![emoji2232]
Tena muulize Kama anataka tena, hakuna mwanaume mgumu Kwa mwanamke mnyenyekevu.

Shida tunajifanya ngangari, tunahubiri 50/50 huku pesa zao tunazitaka[emoji23]
We ningejua jina lako na namba yako ya simu ningekutumia muamala ukale samaki mkubwa ukuze zaidi ubongo wako maana unajielewa na una akili sana.

Wanawake wenye quality kama yako wako wachache sana duniani
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Imeisha hiyo
 
Mtoa mada hueleweki,sasa kati ya muuzaji na mnunuzi nani kafanya biashara?
Solution ni kutafuta zako tu,hakuna hela ya bure bure.
Mimi hata buku 2 utaifata tu home.
 
Ni hela sina kama za bakhersa au mo dowji hata bwana wako wewe slay queen hizo hela hana (anajitutumua tu akuimpress)

Kwa kuwa hela ina.thamani ndio maana inatafutwa.Thamani hii hubadilishwa kwa aina nyingine ya thamani

Unaweka nini mezani kuipata hii thamani ya pesa ninayoimiliki.!?

usiniambie nikupe tu kisa mimi ni mwanaume wewe ni mwanamke

Unaweka nin mezani kwa kimombo za kigilagila "what do u offer!?.
 
Wanaume wa siku hizi ni wanaume basi......... Sa bora huyo hata anamachine ya kukuingizia unakuta mwanaume anamdomo mchafu muda wote anabwata tu lalalaleleee...... Unakuta mwanaume ety anazila kabisa kabisa..... Unakuta mwanaume ety anaogopa shemeji ake akimfukuza dada ake ye ataenda wapi...... Yani kabisa mwanaume analia ety amechukuliwa mwanamke....... Siku hizi hakuna wanaume wachache sana ety mtu anakuja kutuhadisia amegombania nyama kweny sufuria na mke wake alf bado tumuite ni mwanaume......."Wanawake tujitafutie pesa zetu wenyewe,,"

Line ya mwisho ndio umeongea
 
Mjadala mkali sana, mi naona suluhisho kila mtu abaki na chake, wanaume mbaki na pesa zenu na wanawake tubaki na utamu wetu.
Atayetaka cha mwenzie tubadilishane.🤣
huyu bint hataki hivyo anataka apewe yeye tuu.
Angalau angezungumzia kukopa kwamba akipata anarudisha tungemuelewa Sana tu.
 
Kiuhalisia Hali ni mbaya sana!!!! Hakuna namna!

[mention]Antonnia [/mention] wala hari sio mbaya mama

Me kama mwanaume ni wajibu wangu kutafuta fedha
Na LAZIMA nikupe wewe
There’s good feeling hua inapatikana kumpa kitu mtu wako unaempenda, en napenda hivyo
One days nliwah had kugombana na ex girlfriend wangu coz hakua anaomba hela KABISA
Nkawa like napata waswasi
Ila coz hakua na shida pia alikua na kaz yake

Shida ni kufanya kwa SABABU
Yaan ile too much had unajua kabisa kua hapa me napigwa tu

Leo napata namba yako leo hiyo hiyo una birthday na kesho yake ges na nywere hora[emoji16][emoji16]
Thats bad mtatulalamikia
Binafs sipendi kuombwa ombwa hela
En because I’m man
I know should I give you money! Kwa kupenda na hata kama una shida basi yakueleweka kwa adabu
 
Back
Top Bottom