Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Kwa hio ni kawaida mwanaume kuombwa hela....ila Mwanamke akiombwa sex sio kawaida....???...

Huwezi himiza Vijana watafute hela ili wawape wanawake,,,, Vijana wanapaswa kujiendeleza kiuchumi kwa faida ya vizazi vyao na future yao,,,na taifa kwa ujumla.
Mkuu naomba usininukuu kitu ambacho sijakiandika tafadhali. Wapi nimesema sio kawaida mwanamke kuombwa game?
 
Enjoy Maisha Mkuu,, Life is not that serious....Ukiona unapewa basi ujue nawewe unatoa inavyotakiwa

Na usipende kuongea wakati wa kula,,heshimu sana sheria hii ya Meza...
Hahahahaaaa... na usitoe kama hupewi kumbuka hilo
 
Sasa amepata vicent, anashindwa hata kurudisha fadhira, anahitaji tufanye mapenzi ili anipatie pesa zake alizozitengeneza kwa msingi wangu, najua leo kwangu kesho kwake, kwani nami kipindi cha nyuma nilikuwa hivi?

Mbona penzi nilimpatia bure kabisa? Tena kwa upendo wote? Tena kwangu? Leo hii kumuomba pesa kwa dharura ananipa masharti ya kwenda kwake na jua lote eti tufanye mapenzi kwanza? Kwani kigeni kwake kutoka kwangu ni kipi mpaka awe na tamaa ya ajabu kiasi icho? Kwani haniamini tena? Thamani yangu anaifananisha na nini kwa sasa? Mwanaume pekee niliempenda, nimeacha wangapi mimi mwenzenu, nimekataa wangapi ili kumtunzia heshima? Na ninyi mnafungua midomo yenu kutetea upuuzi?
Pole sana Bidada,,,
BUT
Acha kujipa ENTITLEMENT kwenye pesa za mwenzako,,,,hio haki unayofikiri unayo ni Hauna,,,na kama huwezi conditions zake basi muache abaki na hela zake,,,kwani ni lazima yeye akupe hela,,,huna ndugu...????

Hatutetei Upuuzi,,, ila tunakuamsha usingizini,,,uamke ujue Dunia imebadilika,,,na ukiona kijana anafanya hvyo basi ujue akikuomba mchezo kwa njia ya kawaida huwa humpi,,,,,so kaona hio ndio mbinu,,,

Toa mchezo upate Dusco,,, au muache jamaa apambane na nyEge zake
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Rosemary njoo nikupatie elfu thelathini bure.
 
Sasa unakasirika nini na imemegwa yangu? Au ulitaka imegwe yako? Haili makange hii hata asingelipa uchakavu ingemegwa vile vile. Maisha hayako serious hivyo relax
Nakubali hapo tu.... Mzigua90

Life is not that serious,,, kila mmoja afurahie alichopewa
 
Mkuu naomba usininukuu kitu ambacho sijakiandika tafadhali. Wapi nimesema sio kawaida mwanamke kuombwa game?
Nakupenda sana wewe Mwanamke,,,, hebu kitulize kidogo na unielewe......hujaona alama ya kuuliza kwenye andiko langu...??? au umeanza kula Maharage macho yako hayaoni vizuri siku hizi....

Ukinisoma utaona nimeuliza na nikaishia hapo nikisubiri unijibu....,,, ili nijue unaweza kuja ghetto kuchukua ile hela au nibaki na nyEge zangu....
 
Sikutegemea kwakweli [emoji3064][emoji3064]

Nilimkuta kapuku, hakuwa na pesa, nikam offer mpaka pesa ya chakula na nauli kutoka kazini kwake kwa miezi miwili, alikuwa ni wa kuniheshimu sana, kiukweli nilimpenda sana

Sasa amepata vicent, anashindwa hata kurudisha fadhira, anahitaji tufanye mapenzi ili anipatie pesa zake alizozitengeneza kwa msingi wangu, najua leo kwangu kesho kwake, kwani nami kipindi cha nyuma nilikuwa hivi?

Mbona penzi nilimpatia bure kabisa? Tena kwa upendo wote? Tena kwangu? Leo hii kumuomba pesa kwa dharura ananipa masharti ya kwenda kwake na jua lote eti tufanye mapenzi kwanza? Kwani kigeni kwake kutoka kwangu ni kipi mpaka awe na tamaa ya ajabu kiasi icho? Kwani haniamini tena? Thamani yangu anaifananisha na nini kwa sasa? Mwanaume pekee niliempenda, nimeacha wangapi mimi mwenzenu, nimekataa wangapi ili kumtunzia heshima? Na ninyi mnafungua midomo yenu kutetea upuuzi?

Sasa napata kuamini kuwa hakuna mwanaume mwaminifu, hata hawa ninaowaona mtaani wakijifanya kuniulizia na kunitupia macho ya tabasamu na bashasha wananidanganya, huenda wamo humuhumu na ndio wachangiaji wakubwa kunitusi na kunikebehi

Nilimpenda bure jamani, hakuwa na kitu, leo hii nakatiliwa namna hii? asante mungu, ipo siku [emoji24][emoji24]
Kumbe mlianza mbali sisi tulizani kuwa unataka tu pesa zake bila kuliwa
Mwanzo ungeeandika hvyo kuwa mlinza mbali na wee ulimfumilia kipind amepinda
 
Wewe una uhakika gani alichoandika ni kweli may be kaandika hivyo baada ya kuona anashambuliwa Ndio maana akaamua atafute namna hapooze mashambulizi kama ingekuwa ni hivo kweli kama alivyoandika akasema kwenye uzi wake ili kukazia hoja yake
 
Tamaduni zetu zimetujenga kutofanya majukumu ya mwanamke mfano uende kuishi kwa kaka yako wiki moja ukute kaka yako anapika anafua na kuosha vyombo na kutenga chakula mezani kila siku wewe siutamwambia mama yako kwamba kaka yako amekuwa zoba kapewa madawa Kawa zezeta anafanya kazi zote zandani, na utaanza kumchukia wifi yako.
Tamaduni hizo hizo zilimjenga mwanamke kuhudumiwa na si kutafuta sasa mbona leo mmebadilisha

Kwa sababu tukija kuangalia hizo ni imani tu za jamii ambazo zinaweza kubadilishwa tu tukiamua

Kinachoshangaza hapa ni wanaume kutaka wanawake wafanye majukumu yenu ila yao ninyi hamfanyi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23] Ila kupitia huu Uzi wanawake tushushe kiranga cha 50/50, tuelewe kuna Haki Sawa na mfanano wa Haki......mfano Kama kuna watu wawili mmoja ana umri wa miaka 40, mwingine ana miaka 2 na wote Wana njaa, ukiwapa Kwa Haki Sawa utawapa wote mtori nusu bakuli au wali kilo moja moja....hapo umezungumzia Haki Sawa ambapo either mmoja atapunjika au atafaidi zaidi.
Lakini kwenye mfanano wa Haki kila mtu atapata anachostahili, wa mtori ale mtori wa wali ale wali.

So wanawake wenzangu, we can't beat nature, tulilie mfanano wa Haki, nature inataka tuhudumiwe, tuna Haki ya kuhudumiwa....Ila Haki huambatana na wajibu, ni wajibu wetu kuwa submissive Kwa hawa wanaume watafutaji.....ukiambiwa njoo uifate getto nendaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena Nenda Kwa adabu, toa yoteee![emoji2232]
Tena muulize Kama anataka tena, hakuna mwanaume mgumu Kwa mwanamke mnyenyekevu.

Shida tunajifanya ngangari, tunahubiri 50/50 huku pesa zao tunazitaka[emoji23]
Ujengewe mnara posta
 
Wewe una uhakika gani alichoandika ni kweli may be kaandika hivyo baada ya kuona anashambuliwa Ndio maana akaamua atafute namna hapooze mashambulizi kama ingekuwa ni hivo kweli kama alivyoandika akasema kwenye uzi wake ili kukazia hoja yake
Ni sahih mkuu nimeona tatizo mkuu ila bado Niko na nyinyi wanaume wenzangu mnk Hawa viumbe hawatabiriki
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23] Ila kupitia huu Uzi wanawake tushushe kiranga cha 50/50, tuelewe kuna Haki Sawa na mfanano wa Haki......mfano Kama kuna watu wawili mmoja ana umri wa miaka 40, mwingine ana miaka 2 na wote Wana njaa, ukiwapa Kwa Haki Sawa utawapa wote mtori nusu bakuli au wali kilo moja moja....hapo umezungumzia Haki Sawa ambapo either mmoja atapunjika au atafaidi zaidi.
Lakini kwenye mfanano wa Haki kila mtu atapata anachostahili, wa mtori ale mtori wa wali ale wali.

So wanawake wenzangu, we can't beat nature, tulilie mfanano wa Haki, nature inataka tuhudumiwe, tuna Haki ya kuhudumiwa....Ila Haki huambatana na wajibu, ni wajibu wetu kuwa submissive Kwa hawa wanaume watafutaji.....ukiambiwa njoo uifate getto nendaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena Nenda Kwa adabu, toa yoteee![emoji2232]
Tena muulize Kama anataka tena, hakuna mwanaume mgumu Kwa mwanamke mnyenyekevu.

Shida tunajifanya ngangari, tunahubiri 50/50 huku pesa zao tunazitaka[emoji23]
Aisee wee ndio mwanamke ninaye mtafuta mm una akili San wee mwanamke ubarikiwe San popote ulipo umekuja direct San bila kupepeza macho umeongea point tupu huyu aliye kuoa Ana bahat sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23] Ila kupitia huu Uzi wanawake tushushe kiranga cha 50/50, tuelewe kuna Haki Sawa na mfanano wa Haki......mfano Kama kuna watu wawili mmoja ana umri wa miaka 40, mwingine ana miaka 2 na wote Wana njaa, ukiwapa Kwa Haki Sawa utawapa wote mtori nusu bakuli au wali kilo moja moja....hapo umezungumzia Haki Sawa ambapo either mmoja atapunjika au atafaidi zaidi.
Lakini kwenye mfanano wa Haki kila mtu atapata anachostahili, wa mtori ale mtori wa wali ale wali.

So wanawake wenzangu, we can't beat nature, tulilie mfanano wa Haki, nature inataka tuhudumiwe, tuna Haki ya kuhudumiwa....Ila Haki huambatana na wajibu, ni wajibu wetu kuwa submissive Kwa hawa wanaume watafutaji.....ukiambiwa njoo uifate getto nendaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena Nenda Kwa adabu, toa yoteee![emoji2232]
Tena muulize Kama anataka tena, hakuna mwanaume mgumu Kwa mwanamke mnyenyekevu.

Shida tunajifanya ngangari, tunahubiri 50/50 huku pesa zao tunazitaka[emoji23]
@cocastic na Mahondaw mbna cjawaona huku njooni chapa mpate masomo pia na financial services njooni msaidieni ndugu yenu
 
Back
Top Bottom