Daah we jombaa unawatia spana alafu unaomba msamaha😅Sina hasira yoyote mbona nimecomment kawaida tu sorry lakini kama umeona nimekukwaza
Sasa sihuwa unampa au?Hapana hujanikwaza ila umeandika kama vile unamwandikia mtu anaeishi kwa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye maisha na binadamu wengine.
Btw nishatumiwa 400k hapa na bby na kasema ananipenda nikashop nienjoy.
Ona maisha yalivyo ya ajabu sasa, wakati wewe umeandika kama vile hela unatoa wewe muhusika katoa chaaap.
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Kwa hio ni kawaida mwanaume kuombwa hela....ila Mwanamke akiombwa sex sio kawaida....???...Wanaume wa JF nini shida linapokuja suala la mwanamke kuomba pesa? Nimesoma comments chache zimeandikwa kwa hasira nyingi.
Tafuteni pesa kaka zangu ni kawaida mwanaume kuombwa pesa na sio lazima kutoa vilevile.
Na huku kujilengesha kuzaa na mtu mwenye hela ni sawa na kufanya betting. Unaweza kuthania mtu ana hela kumbe anazo za kumtosha yeye tu na familia yake.Tunaongea kitu kimoja, ila naona hujapendezwa na suala la kuchagua mwenye hela.
Mtoto ni mtoto tu sio lazima kuwe na ndoa. Mtoto anahitaji hela kwa hiyo ni sahihi kabisa kwa mwanamke kuzaa na mtu mwenye hela, suala la kwamba ni mume wa mtu sio la muhimu sana. Wenye hela ni wachache.
Enjoy Maisha Mkuu,, Life is not that serious....Ukiona unapewa basi ujue nawewe unatoa inavyotakiwaBtw nishatumiwa 400k hapa na bby na kasema ananipenda nikashop nienjoy.
Kwa namna flani😅 ya pekee!Huna ndugu mpaka uombe watu Baki?
Mbona wanaume hawawaombi ninyi?
Acha kujidhalilisha na kuuvua utu wako na thamani yako kama mwanamke!
Muombe Mumeo pesa, omba wazazi pesa, omba ndugu zako pesa hasa mliozaliwa wote au ndugu za Baba au Mama yako.
Hakuna upendo kwenye kuomba omba watu Baki.
Mwanamke anayeomba pesa mtu asiye mume wake huwaga wanaume tunakuwa tunamchukulia Kwa namna ya kupekee
Heriel kama RobertHuna ndugu mpaka uombe watu Baki?
Mbona wanaume hawawaombi ninyi?
Acha kujidhalilisha na kuuvua utu wako na thamani yako kama mwanamke!
Muombe Mumeo pesa, omba wazazi pesa, omba ndugu zako pesa hasa mliozaliwa wote au ndugu za Baba au Mama yako.
Hakuna upendo kwenye kuomba omba watu Baki.
Mwanamke anayeomba pesa mtu asiye mume wake huwaga wanaume tunakuwa tunamchukulia Kwa namna ya kupekee
Kwa namna flani😅 ya pekee!
Walintia ban hawa makuzziDingi siku hizi sikuoni jukwaani arif.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzzz eti nn? KhaaaahHakuna namna shos maisha yenyewe yashanila kiboga nafanyeje sasa na mipesa naitaka mie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]!!
Maisha yamenila kiboga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzzz eti nn? Khaaaah
Ni kweli kichwa cha habari ni tofauti na maelezo yeye angerekebisha kichwa cha habari angeandika Mpenzi wake hampi pesa mpaka hapewe sexy, kuliko kusema wanaume wanafanya mapenzi biashara na ukiona mpenzi wake hampi pesa bila kusexy tatizo litakuwa kwa mtoa mada pengine nayeye anatabia yaky msumbua mshikaji kwenye kutoa penzi anatoa kila anapojisikia yeyetu na siku akiitajika na mwanaume wake analeta visingizio vingi. Kwa mfano utakuta mwezi mzima hajaonana na mpenzi wake na ukamuomba pesa ukaenda kuifata kwake unadhani kuna mwaume ataacha kuomba sexy.Umeona eh.. maana mleta mada kichwa cha habari alichoandika na maelezo aliyotoa ni tofauti. Mie nilidhani anaongelea Marioos.
Huna hoja. Kwani kakulazimisha utoe penzi?. Kwanini usikatae kumpa penzi, kama sharti ni mpaka akuparue, na ukaenda kuomba wengine wanaotoa misaada.Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Cha bure shikamoo tu. Kila kitu kina price tag.Mnavyokuwa wakali, kwa nini mwanaume anakubali kumpa hela mwanzo, akifika mpaka msex...kama hamjaelewa topic ya mtoa mada...
Temana nao mararuWalintia ban hawa makuzzi