Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,864
Na usikubali utoe tuu hupewi game.Tu
Tukishaikuna mbususu wala haituumi kabxa
Na usikubali utoe tuu hupewi game.Tu
Tukishaikuna mbususu wala haituumi kabxa
Aah!hii ni hand to hand...nipe nikupeNa usikubali utoe tuu hupewi game.
Sema kuombana...mbona kama unafanya sided...kwamba sisi hatutaomba?
Jamaniiiiiiii!! Yani kuna situations unajikuta tu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]!!Ukimuuliza atakwambiya yupo kwenye mahusiano na mwanaume mwingine,
Lakini kutwa haishi kuomba pesa wanaume wengine..
Na mpigwe dudu tu,,hakuna cha bure
Ukikutana nao ndo wako hvoAtamkijitafutia pesa wenyewe hamta badilika kwasababu ya mfumo dume, wanawake waki Afrika tofauti na Wanawake wakizungu wao wanawake wakizungu hawaingii kwenye mapenzi kwaajiri ya kuhudumiwa ila wanawake waki Afrika wanaingia kwenye mapenzi kuwaajiri ya kupata pesa tu. Utakuta mwanamke anakazi yake lakini bado anaomba omba pesa kwa mpenzi wake,Mimi nikipata mtoto wangu wakike nitamjenga kwenye misingi yakutoomba pesa kwa wanaume.
Kuombana mkuu.Sema kuombana...mbona kama unafanya sided...kwamba sisi hatutaomba?
Sina hasira yoyote mbona nimecomment kawaida tu sorry lakini kama umeona nimekukwazaBwana punguza hasira. Kwani kuwa single mom ndo nini? Mnaona mkimwambia mtu ni single mom atajisikia vibaya eeeh? Mimi ni single mom na nikitaka kuwa tena nitakua. Sipangwingwi.
Hapo ndipo wanapokosea kuzaa na mwanaume mwenye hela hai guarantee mtoto atatunzwa vizuri sababu baba yake ana hela tuna waona wengi baba zao wana hela ila wameishiwa kulelewa na mama zao au bibu Zao tena kwa tabu.Tunaongea kitu kimoja, ila naona hujapendezwa na suala la kuchagua mwenye hela.
Mtoto ni mtoto tu sio lazima kuwe na ndoa. Mtoto anahitaji hela kwa hiyo ni sahihi kabisa kwa mwanamke kuzaa na mtu mwenye hela, suala la kwamba ni mume wa mtu sio la muhimu sana. Wenye hela ni wachache.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaniiiiiiii!! Yani kuna situations unajikuta tu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]!!
No way!!
Hapana hujanikwaza ila umeandika kama vile unamwandikia mtu anaeishi kwa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye maisha na binadamu wengine.Sina hasira yoyote mbona nimecomment kawaida tu sorry lakini kama umeona nimekukwaza
Hakuna namna shos maisha yenyewe yashanila kiboga nafanyeje sasa na mipesa naitaka mie 🤣🤣🤣😂😂!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cha maana hapa ni mjitafutie pesa zenu wenyewe na mrizike nazo piaWanaume wa siku hizi ni wanaume basi......... Sa bora huyo hata anamachine ya kukuingizia unakuta mwanaume anamdomo mchafu muda wote anabwata tu lalalaleleee...... Unakuta mwanaume ety anazila kabisa kabisa..... Unakuta mwanaume ety anaogopa shemeji ake akimfukuza dada ake ye ataenda wapi...... Yani kabisa mwanaume analia ety amechukuliwa mwanamke....... Siku hizi hakuna wanaume wachache sana ety mtu anakuja kutuhadisia amegombania nyama kweny sufuria na mke wake alf bado tumuite ni mwanaume......."Wanawake tujitafutie pesa zetu wenyewe,,"
Kuna mawili.Hapo ndipo wanapokosea kuzaa na mwanaume mwenye hela hai guarantee mtoto atatunzwa vizuri sababu baba yake ana hela tuna waona wengi baba zao wana hela ila wameishiwa kulelewa na mama zao au bibu Zao tena kwa tabu.
Wengine wanategemea watoto watapata urithi wakati hawaja tambulishwa hata kwa ndugu mmoja wa damu,mwisho wa siku hawatambuliki mpaka kwenye urithi.
Mkuu, Love is no longer for Weak people....Nimeipenda hii, be a man, stay Taliban....Mr Taliban
Ndugu WANAUME,,,nasisitiza tena,, IKIWA BADO UPO HAI,,kamwe usijisikie vibaya kuitwa mchoyo na Mwanamke......![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yaani wanaume wa humu ni wachoyooo, walivyotapika nyongo sasa!!![]()
![]()
![]()
Na hatuachi