Wanaume acheni kudhalilisha miili ya wanawake

Wanaume acheni kudhalilisha miili ya wanawake

Biological evidence yako ni ipi?
Unataka kushindana na hisia?
Huwa wanabakwa, wanabakwa na nani? Tunaamini vipi kuwa huyu anayebaka kukiwa na machafuko/kulipa kisasi hawezi kubaka kukiwa na amani akiwa na tamaa zake?

Huoni tatizo enhe haya.
Fatilia hata mateka wengi wanawake huwa inatokea wapi?

Ni either vita za kidini au kiuchumi
 
We all know in every force there's an equal and opposite reaction kwanini umuattack men for the things you did indirectly?

Na kwanini ukimbilie logic ukiwa unajua how complex the issue is?
Labda hata huelewi nini kinaendelea kwenye hii mada.

Hoja yako ya kuwa wanawake kutokujiheshimu/kujidhalilisha ndio sababu ya sexual assault na rape. Tumekuuliza na kukupa mifano ya victims wengine ambao hawahusiani na mavazi; Wanyama, vikongwe, wahanga wa vita na watoto wa kike/kiume … counter argument yako ikawaje vile? Jicheke halafu uende ukale.

Mleta mada na mtu mwingine aliyemqoute wanaulizana is a rape mental health issue or it’s just a crime.. Hii ndio mada ya msingi achana na illogical sijui wanawake hatuheshimu waume zetu sijui wanaume tumewapa trauma sijui tulianza kufanya uovu hadi biblia imeandika (Haya wala hayahusu mada)

Next time ukiniqoute kwa mada za wanawake usiniletee biblia kama rejea, ntakufata huko nikubwenge. 😅
 
Sasa wewe nimekuuliza kuhusu motive unapiga chenga? So wewe ndo hujielewi?

Nilisema kule juu mpaka mtu aamue kubaka mtoto, mnyama au mzee hiyo mental illness..

Hauwezi kukuta mbwa anambaka nguruwe.. Hata mnyama anajua instinctively sio sahihi

Sasa wewe nimekwambia hizo hoja unazikwepa bila kuja na uthibitisho. Umeng'ag'ania evidence kama lay person. Sasa huoni ya kuwa wewe ndo uko na shida?

Umbenge nani wewe millenial uliyechoka na kuumalizia muongo wa mwisho bila kuwa na ndoa? Insort unajua ukweli ila unajaribu kucheza ngoma unayo jua haichezeki
 
Ndoa inahusiana nini na hapa. Kama una hamu olewa wewe mi sitaki.

Uzuri umekubali kuwa kuna sababu tofauti tofauti za ubakaji na hizo zote hazijustify kitendo, zingine zote ni blah blah.

Sasa unaweza kuendelea kutukana ili u-hit highest dopamine sawa? 🤡
 
Unaona sasa, kwenye karne ya 21 tunaitafuta ya 22 bado unataka tuishi kama manyani, tubakane like seriously!!! yaani unatoka zako kwako ile unafunga mlango kundi la watu linakuja kukubaka, duh! Waafrika tunashida sana
Ubakaji wa me against ke hapana, ndo maana mara nyingi tu wanawake hulalamika kubakwa na hatua kuchukuliwa.

Ila kwa wanaume kubakwa na wanawake nasisitiza tena, haijalishi ni karne ya ngapi hata iwe ya 500, sisi hatuwazuii ninyi kutubaka, tena mje kwa vurumai na hekaheka kwelikweli! Ndo maana huwa hatulalamiki hata tukiwa under age tunapiga zetu kimya, ila serikali tu ndo ikibaini inaona wivu na kuanza ujuaji
 
Ndoa inahusiana nini na hapa. Kama una hamu olewa wewe mi sitaki.

Uzuri umekubali kuwa kuna sababu tofauti tofauti za ubakaji na hizo zote hazijustify kitendo, zingine zote ni blah blah.

Sasa unaweza kuendelea kutukana ili u-hit highest dopamine sawa? 🤡
Usiikimbile chooni sasa kuna mnede huko.

Hakuna hoja yoyote uliyo weka hapo bali umeonesha huna hoja
 
Guys, wallah leo nimechafukwa sana ukija hapa uje na akili timamu, nina kirungu changu ukileta uzwazwa nakubwenga cha utosi akili ikukae sawa,

Matukio ya ubakaji wanawake na watoto wa kike ni mengi hadi natetemeka lakini haya yote yanaletwa na wanaume wapumbavu wanaoangalia mwili wa mwanamke kama chombo cha starehe,

Hivi nyie wanaume miili ya wanawake ina tofauti gani na yenu? ile kujazia jazia hata nyie mmejazia, wembamba hata nyie kuna wembamba, manyonyo hata nyie kuna wenye nayo, nini shida jamani mbona mnatukosesha amani wanawake?

Mwanamke akivaa kiguo chake kifupi atembee kwa raha zake inakua gumzo lakini mwanaume akivaa kiguo kifupi husikii kabakwa au kadhalilishwa, miili mbona ni ile ile tu,

Mbona watu wa zamani walikua wanaishi uchi na hakukua na matukio ya ubakaji wala udhalilishwaji, hiki nini mnafanya nahisi hadi kichefu chefu,

Ifike mahala sasa tutaichukua heshima yetu kwa nguvu, haiwezekani kila siku nyinyi tu, kuna wengine humu humu hizo tabia chafu mnazo, unajisikiaje kushika titi la mwanamke bila ridhaa yake au kushika tako la mwanamke ambaye huna mahusiano nae?,

Hakuna mwili unaohalalisha ubakaji,
Hakuna vazi linalohalalisha ubakaji,
Hakuna tabia inayompa mtu haki ya kuvuka mipaka ya mwingine,

Tujenge jamii inayohehimu wanawake bila kufanya miili yao kua sababu ya lawama au udhalilishaji,

Nikisema hii gender ifutwe naitwa feminist.
Pole sana kwa kubakwa..
 
Thank you mate!
Wanaume wanaobaka/kulawiti na kuua Watoto hao Watoto nao wanakuwa wamekula vyao na kuvaa Nguo fupi?
Tatizo mavazi mnayovaa, yamekaa kimitego na kuathiri asili ya mwanaume. Suluhisho ni kuboresha kwenye uvaaji wa mavazi, ndio maana nchi za kiarabu, wanawake wanahimizwa kuvaa yale magauni myeusi.
Wanaume wanaobaka/kulawiti na kuua Watoto hao Watoto nao wanakuwa wamevaa Nguo fupi?
 
Hakuna mwanamke anayetaka kubakwa au kudhalilishwa, shida ipo kwenu mnatakiwa mbadili mitazamo yenu, miili yote ni sawa, mwili wa mwanamke sio chombo cha starehe, mwanamke ana haki ya kua mwanamke na sio kuishi kwa hofu kuhofia usalama wake dhidi ya mwanaume, swali kwako mbona jamii za zamani watu waliishi uchi uchi na hawakubakana?
Sahihi Lakini mindset iyo ikae Kwa Wanawake kwanza sisi Tuta adapt tu,

Maana psychologia ipo wazi kwamba tunamchukulia Mtu Kulingana na namna anavyo jiweka.

Mwanamke akijiweka Kama chombo Cha starehe ata sisi tukijitaidi kukwepa Bado Tu maana Kuna Muda mwili una kuwa na Uwezo Mkubwa wa kukuamlia mambo Zaidi ya msimamo
 
Kuna mtoto cha darasa la kwanza amebakwa wkt anatoka shule na kutumbukizwa kwenye kisima...
Imagine the whole process how terrible was it for the child....
Wanaume wengi ni vichaa...demons
Nahisi kusisimka jamani uwiii,
Kilichonifanya nilete huu uzi nilikua napiga story na polisi kituoni ghafla linaletwa janaume limembaka mtoto wake mwenyewe wa miaka miwili tena wamelifumaniwa red-handed imagine!!!

Kuna mwingine alimbaka mtoto wake pia wa mwaka na nusu, akamnyonga na kumtupia kwenye mfereji wa maji.
 
Nahisi kusisimka jamani uwiii,
Kilichonifanya nilete huu uzi nilikua napiga story na polisi kituoni ghafla linaletwa janaume limembaka mtoto wake mwenyewe wa miaka miwili tena wamelifumaniwa red-handed imagine!!!

Kuna mwingine alimbaka mtoto wake pia wa mwaka na nusu, akamnyonga na kumtumia kwenye mfeji wa maji.
Bado wale wamama wanaoamka alfajiri kuwahi masokoni au kuchota maji wanabakwa, huko Kigoma kuna majamaa yalijiita teleza yanajipaka mafuta mengi yanaingia kwenye nyumba wanazolala wanawake peke yao na kuwabaka sijui na wao walivaa vimini,
Kuwatetea nyie watu ni kazi sana
 
Back
Top Bottom