BHULULU
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 4,994
- 2,045
Umepotea sana rafiki yangu
Nipo rafiki yangu ni u-busy tu wa maisha.
Umepotea sana rafiki yangu
rafiki, hizi nyimbo ungeziweka mwisho wa wiki hii, au angalau kuanzia tarehe 20 hivi ingekuwa bomba sana....
you know what I am talking about....... getting seriously ill, lol!
Nami nakupenda dear barikiwa sana , tupo pamoja.Babu Dark City kweli kabisa tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa wakati huu ambao bado anatuazima pumzi yake bure.
Pia kumshukuru Mungu pia kwa kutupa nafasi ya kutafakari matukio mbali mbali yaliyotokea katika maisha yetu mazuri na mabaya,,yote kwa yote tunafundishwa kushukuru kwa kila jambo.
Na tena kwa kutupa marafiki hapa JF na pia kwa elimu nafundisho na changamoto mbali mbali .
Kipekee namshukuru sana MUNGU kwa kila jambo na kwa kila changamoto niliyoipata mwaka huu hadi leo nikiwa hapa mbele ya key board.
Mwaka huu kwangu umekuwa na ups and downs za kutosha, but ki ukweli namshukuru Mungu kwa kunikutanisha na marafiki wa ukweli hapa JF, niliowaona face to face, na weengine just behind the keyboard. When i was down karibu ya kuzama kwa kweli mliniinua.MUNGU awabariki sana sana.
I will always love you ALL
To mention few in behalf Dark City babu yangu kipenzi, Mwanyasi, YNNAH, Arabela CHUAKACHARA, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Arushaone Preta, Blaki Womani, Lily Flower, erckb52 baba JR thanks for being a good father tom my son, IGWE, Liverpool FC, Filipo, marejesho, Kaizer, watu8, Madame B, Smile, AshaDii a woman i inspire the most, Mtambuzi, KakaKiiza, Nicas Mtei, COPPER, amu, @Nivfea, Fixed Point i always remember you my sister, ulikuwa unanifariji sana in my sand moments, Avemaria, BAK the BFFL, BHULULU, Fidel80, Baba V, mzabzab, gfsonwin, Simplicity, Tutor B, charminglady, sweetlady, Ladymasa, @C6, Vin Diesel Mentor, DEMBA wifi yangu, Mwita Maranya, lara 1, Ennie, zion Daoghter, babu Asprin, kaka Rutashobolwa na wifi yangu Passion Lady, Eiyer, Mr Rocky, Karucee, FirstLady, kiwatengu, shansharie, Mamndenyi, Jiwe Linaloishi, Mungi, Mkirua you are the best firiend, The Boss, kipipi, kokudo, Mutta, N-handsome, Negrodemus, zubedayo_mchuzi, nitonye, Bishanga, Mamzalendo, Mrembo by Nature, The secretary, Zinduna, Ablessed, Tuko Heaven on Earh, Lady doctor, Evelyn Salt, Mzizi Mkavu, Rweye, MAKOLE King'asti,
And many many more ambao sijawataja, I owe you my friendship.
Special thanks to JamiiForums FOUNDERS, Tanga Wing, Arusha Wing and Dar wing.
Nimejifunza mengi kutoka kwenu na nimepata mengi ya faida yatokanayo na posts/threads kwenye majukwaa yote.
Kwa kumalizia I just wish you a.......
![]()
FRIENDSHIP FOREVER
KOKUTONA
Asante mkuu barikiwa mnoMkuu Dark City...
Kweli umegusa mengi na wengi tunakila sababu ya kushukuru!
Mimi Jf imekuwa kama familia yangu ya pili,
Kuna wadau nimejuana nao hapa lakini i regard them as the part of my
family!! Mamndenyi, (huyu ni aunt yangu coz ukoo wetu ni mmoja but i use to call her mama na namkubali sana), Mr Rocky, Arushaone my brothers, tumejuana hapa na i always consider you as my truly brothers.
Nimekuwa nikipata faraja kubwa sana kupitia majukwaa mbalimbali hapa
JF
Misiba, shida za hapa na palepale mara nyingi nilifarijiwa na wanajf!
Special thanks kwa wife wangu shansarie, japokuwa hatukujuana kupitia JF ,
lakini hapa pamekuwa pia kama sehemu kubwa ya mawasiliano yetu..and I love you so much!!
( Ablessed i think you know something about me and shansarie)
Thanks to KOKUTONA umenikampani vya kutosha rafiki yangu.
we unaweza kuona ni kawaida but i real appriciate it....
my friends Ablessed mwallu, watu8 Kaizer marejesho Erickb52 Heaven on Earth, Mungi Filipo Passion Lady, kabanga, The secretary, MMAHE!!
mmekuwa marafiki wazuri sana kwangu, na nimefurahia sana kuwa marafiki wazuri.
Nimengi sana ambayo nayapata kupitia Jf, nisikusahau AshaDii inawezekana umesahau, lakini nikukumbushe tu
Tuliwahi kubadilishana mawazo hapa na hakika kuna kitu nilijifunza kupitia wewe!!
Thanks to all!!
Viva Jamiiforums, Viva Wanajamiiforum wote.
Much love to you all.
Dark City na watu8 kuna siku tutaonana!! keep this!
Itabidi twin Fixed Point uwe mpole tu eti BAK. Atuache tuburudike na mawimbo ya namna hiiIt is only 10 days to go rafiki, wengine majumbani na kwenye magari hizo ndio nyimbo zinazosikilizwa.
Ni kweli kuwa wengi wetu tunatumia majina na avatar zisizo na uhalisia, lakini hilo halibadilishi uhalisia wa mioyo yetu.
Nitaendelea kuongeza mengine ila kwa sasa nawakaribisha wadau wote wa MMU tufunge mwaka... Maxence Melo, Invisible, AshaDii, Nyani Ngabu, Fixed Point, Smile, snowhite, PakaJimmy (mwenyekiti mwenyewe...you deserve uenyekiti), Blaki Womani, Preta, marejesho + Filipo, KOKUTONA, CHUAKACHARA, YNNAH, Mwanyasi, amu, Negrodemus, gfsonwin, BAK , Mbu, Eiyer, Mtambuzi, MwanajamiiOne, bht, King'asti, Teamo, Zion Daughter, Asprin, Kaizer, watu8, Dena Amsi, Arushaone, Ta Bishanga, Fidel80, KakaKiiza, MANI, Mwita Maranya, LiverpoolFC, Mungi, Mzee wa Rula, snowhite, The Finest, Mike Mushi, madameB, Mamdenyi, Lizy, Nicas Mtei, Rejao, Arabela, Rose1980, Lily Flower, Heaven on Earth, Charming Lady, Faiza Foxy, Pasco, Chris Lukosi, Lunyungu, MziziMkavu, lara 1, Zinduna, The Boss, Nyamayo, Belinda Jacob, Karucee, Mentor, sakapal, Evelyn Salt, saudari, Baba_Enock, Husninyo, Rutashobolwa, Erickb52, Mr Rock, afrodenzi, Gaijin,
Kwa kweli ni weengi kuwataja na kuwakumbuka hasa tokana na kutokutana sana kwa sasa, hivyo natuma salamu kwa wote nitakao wataja na nisio wataja... Kwa kuanzia salamu hizo ni kwa; Kaizer, Asprin, Roulette, EMT, Husninyo, sweetlady, FirstLady1, MwanajamiiOne, Mbu, Nyamayao, nyumba kubwa, Boflo, Elizabeth Dominic, Mwita Maranya, Maty, Blue G, TANMO, Mzee, miss Judith, TIMING, Mr Rocky, RR , Mtambuzi, Rejao, Smile Fidel80, Teamo, Kimey, klorokwini, uporoto01, I Riwa, Arushaone, Steve Dii, Gaijin, Nyani Ngabu, Mwali, Eiyer, Mentor, Speaker, MKATA KIU, Nazjaz, Pauls njiwa, Globu, Raia Fulani, YNNAH, Nsiande, fazaa, Saint Ivuga, companero, Vin Diesel, The Finest, BAK, Preta, PakaJimmy, BelindaJacob, King'asti, Mwali, Ritz, Matola, Zion Daughter, Bishanga, The Boss, Nicas Mtei, bht, Balantanda, WomanOfSubstance, Nguruvi3, Mchambuzi, JingalaFalsafa, Kiranga, Cantalisia, Judgement, Shark, Jasusi, ZeMarcopolo, Pasco, cheusimangala, Chauro, Gaga, Manumbu, Tuko, SnowBall, zumbemkuu, BADILI TABIA, gfsonwin, DEMBA, KakaKiiza, HorsePower, Manyanza, Kaunga, Dena Amsi, Bigirita, Karen_Happuch , Blaki Womani, Mamndenyi, afrodenzi, WiseLady, Lizy, LD , Kongosho, platozoom, Sizinga, Bishanga, Blaine, lara 1 , jouneGwalu, Ndahani, Azimiojipya, Zakumi, Mkandara, Mrembo by Nature, Bujibuji, Erickb52, MANI, kinyoba, Mulama, snowhite, Michelle, Rutashubanyuma, Ruttashobolwa, KOKUTONA, Apollo, moto2012, Mkirua, bacha, Leonard Robert, mwaJ, Young Master, C6 , Madame B, MadameX Katavi, OLESAIDIMU, MziziMkavu, babaV, Invisible, Cookie, Paw, Moderator, Fang, Buchanan, X-PASTER, INNOVATOR, Active, PainKiller, Mike McKee and Maxence Melo.
Pamoja na wengine wengi saana ambao nimesahau, nitaenda nikiwakumbuka taratiibu.
Pamoja Saana with loads of Love.:grouphug:
AshaDii.
I will always love you ALL
To mention few in behalf Dark City babu yangu kipenzi, Mwanyasi, YNNAH, Arabela CHUAKACHARA, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Arushaone Preta, Blaki Womani, Lily Flower, erckb52 baba JR thanks for being a good father tom my son, IGWE, Liverpool FC, Filipo, marejesho, Kaizer, watu8, Madame B, Smile, AshaDii a woman i inspire the most, Mtambuzi, KakaKiiza, Nicas Mtei, COPPER, amu, @Nivfea, Fixed Point i always remember you my sister, ulikuwa unanifariji sana in my sand moments, Avemaria, BAK the BFFL, BHULULU, Fidel80, Baba V, mzabzab, gfsonwin, Simplicity, Tutor B, charminglady, sweetlady, Ladymasa, @C6, Vin Diesel Mentor, DEMBA wifi yangu, Mwita Maranya, lara 1, Ennie, zion Daoghter, babu Asprin, kaka Rutashobolwa na wifi yangu Passion Lady, Eiyer, Mr Rocky, Karucee, FirstLady, kiwatengu, shansharie, Mamndenyi, Jiwe Linaloishi, Mungi, Mkirua you are the best firiend, The Boss, kipipi, kokudo, Mutta, N-handsome, Negrodemus, zubedayo_mchuzi, nitonye, Bishanga, Mamzalendo, Mrembo by Nature, The secretary, Zinduna, Ablessed, Tuko Heaven on Earh, Lady doctor, Evelyn Salt, Mzizi Mkavu, Rweye, MAKOLE King'asti,
And many many more ambao sijawataja, I owe you my friendship.
Special thanks to JamiiForums FOUNDERS, Tanga Wing, Arusha Wing and Dar wing.
Nimejifunza mengi kutoka kwenu na nimepata mengi ya faida yatokanayo na posts/threads kwenye majukwaa yote.
Kwa kumalizia I just wish you a.......
![]()
FRIENDSHIP FOREVER
KOKUTONA
Amina napokea baraka kwa moyo mkunjufu kwani napendaga sana baraka na kubariki. Yaani jf ina mengi ya kujifunza na mengi ya kukumbuka. Huwa namkumbuka member flani alileta uzi wake hapa wa huzuni kwamba amepimwa na kuonekana kama ana dalili za cancer . Member huyo alienda mpaka nairobi kwa vipimo huwa sikumbuki jina lake. Nataka niseme kwamba member huyo daima amekua moyoni mwangu na huwa namuombea kila nipatapo nafac. Kama atasoma hapa basi naomba nimtie moyo kwamba ktk magumu aliyo nayo wapo wanaomkumbuka na kumuombea.
Ninawatakia wote sherehe njema za mwisho wa mwaka na mbarikiwe sanaaa. Yaani jamani jf ni kama nyumbani na huwa najitahidi kuingia humu kila mara . Kuna yule dada farkhina wa mapishi asante sana kwa kutupa maujuzi bado najifunza ntakupa feedback nikishaweza. BAK asante kwa kutupiamo kila mara nyimbo mbali mbali zinazoendana na tukio kwa kweli barikiwaaaaa a.k.a life saver. Aaaa sijakusahau Fixed Point pacha wangu umenisaidia sana wewe mwenyewe unajua . Shukrani za pekee zikuendee wewe unaesoma hii post nakupenda kwa sababu wewe ni sababu ya mimi kuingia mmu na Mungu akubariki.
Mimi bado sijafaidika na JF zaidi ya kuchangia hoja kwenye jukwaa mbalimbali kasoro MMU na sijui kwa nini? Nitaanza kuchangia zaidi mwakani nami labda nitafaidika zaidi na forum yote kwa ujumla. Lakini bado napenda kuwashukuru waanzilishi wa JF wametufungua tumejifunza mengi tumechangia mengi pia.
Cantalisia hajambo Mkuu?Nipo mkuu. Mwaka huu sikupata sana nafasi ya kujumuika nanyi hapa kutokana na purukushan za hapa na pale. Nimekuwa msomaji mzuri sana kuliko mchangiaji. Kuokana na comments zao, naona umekaa vizuri sana na wajukuu zako kwa mwaka huu.
Nakutakiwa mwisho wa mwaka mwema