Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Babu Dark City kweli kabisa tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa wakati huu ambao bado anatuazima pumzi yake bure.
Pia kumshukuru Mungu pia kwa kutupa nafasi ya kutafakari matukio mbali mbali yaliyotokea katika maisha yetu mazuri na mabaya,,yote kwa yote tunafundishwa kushukuru kwa kila jambo.
Na tena kwa kutupa marafiki hapa JF na pia kwa elimu nafundisho na changamoto mbali mbali .
Kipekee namshukuru sana MUNGU kwa kila jambo na kwa kila changamoto niliyoipata mwaka huu hadi leo nikiwa hapa mbele ya key board.
Mwaka huu kwangu umekuwa na ups and downs za kutosha, but ki ukweli namshukuru Mungu kwa kunikutanisha na marafiki wa ukweli hapa JF, niliowaona face to face, na weengine just behind the keyboard. When i was down karibu ya kuzama kwa kweli mliniinua.MUNGU awabariki sana sana.
I will always love you ALL
To mention few in behalf Dark City babu yangu kipenzi, Mwanyasi, YNNAH, Arabela CHUAKACHARA, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Arushaone Preta, Blaki Womani, Lily Flower, erckb52 baba JR thanks for being a good father tom my son, IGWE, Liverpool FC, Filipo, marejesho, Kaizer, watu8, Madame B, Smile, AshaDii a woman i inspire the most, Mtambuzi, KakaKiiza, Nicas Mtei, COPPER, amu, @Nivfea, Fixed Point i always remember you my sister, ulikuwa unanifariji sana in my sand moments, Avemaria, BAK the BFFL, BHULULU, Fidel80, Baba V, mzabzab, gfsonwin, Simplicity, Tutor B, charminglady, sweetlady, Ladymasa, @C6, Vin Diesel Mentor, DEMBA wifi yangu, Mwita Maranya, lara 1, Ennie, zion Daoghter, babu Asprin, kaka Rutashobolwa na wifi yangu Passion Lady, Eiyer, Mr Rocky, Karucee, FirstLady, kiwatengu, shansharie, Mamndenyi, Jiwe Linaloishi, Mungi, Mkirua you are the best firiend, The Boss, kipipi, kokudo, Mutta, N-handsome, Negrodemus, zubedayo_mchuzi, nitonye, Bishanga, Mamzalendo, Mrembo by Nature, The secretary, Zinduna, Ablessed, Tuko Heaven on Earh, Lady doctor, Evelyn Salt, Mzizi Mkavu, Rweye, MAKOLE King'asti,
And many many more ambao sijawataja, I owe you my friendship.
Special thanks to JamiiForums FOUNDERS, Tanga Wing, Arusha Wing and Dar wing.
Nimejifunza mengi kutoka kwenu na nimepata mengi ya faida yatokanayo na posts/threads kwenye majukwaa yote.
Kwa kumalizia I just wish you a.......
![]()
FRIENDSHIP FOREVER
KOKUTONA
Mtani KOKUTONA ahsante kwa kuja, wewe ni kati ya marafiki zangu wa JF niliofanikiwa kuonana nao beyond keyboard kwa mwaka huu wa 2013.
Nakutakia mwaka 2014 uwe mwema sana na wa furaha na mafanikio.
Last edited by a moderator: