AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,117
Nawashukuru sana members woote, asante sana mkongwe na Mama mkwe wangu AshaDii kwa kunikumbuka.'
Pamoja saana Mkwe. Asante sana kwa salamu.
Pamoja Saana shem. Enjoy
Nawashukuru sana members woote, asante sana mkongwe na Mama mkwe wangu AshaDii kwa kunikumbuka.'
AshaDii nitarudi kujibu salamu hizi, kwa sasa naweza kusema tu asante mpenzi na ubarikiwe kwa kutukumbuka sie wanyonge.
Usiniambie umesahau ulichoniahidi
Kama unasahau hata ulichomuahidi mdogo wako basi una hatari
Au ulikuwa unanitania?
Yaani kwa jibu lako hili nimeanza kuugua....lol!!
KakaKiiza embu nipe ratiba yako niweke kwenye kalenda ........!
Ahsante sana Da Asha,
Naomba sasa uendelee na kisha unipe mwongozo.
Ila niseme kutoka moyoni, wewe ni mtu wa aina yake ambaye sipati maneno rahisi ya kukuelezea in 1-2 sentences.
I am am always humbled by your comments.
Babu DC!!
asante dear, shukrani kwako piaAsante sana BAK na wote aliowamention hasa Fixed Point maana ndio umenifanya nimfahamu huyu kaka/baba zaidi. Mr Rocky can't 4get u as well na Lala1 ktk safari yake na maamuzi magumu juu yanjia ya kujitoa kimaisha.
Love u all a lot
Heh! Mashaxizo jamani,mbona mi sina ujumbe? Nitanuna ujue!!!Dah! Kabla ya kuzunguka sana, ningependa kurudisha fadhila kwa SnowBall!
Thank you so much Mkuu! Hata sikudhani mtu unaekubalika kama wewe ungeweza kumkumbuka Zombie Mashaxizo na kumtakia Xmass njema + heri za mwaka mpya!
Ahsante sana Mkuu, nami nakutakia heri na baraka za Xmass + mwaka mupya!
Ubarikiwe sana!
...
Vile vile ningependa kumpongeza babu D.C kwa kutuwekea huu uzi wenye lengo la kujenga na sio kubomoa!
Thanks so much Mkuu! Na ubarikiwe sana!
...
Nikiishia hapo itakua naendeleza Uzombie! Wacha nichukue nafasi hii kumuomba radhi Bibie lara 1! Hey Lara, what's up?
Sorry sana Bibie! For sure, i was the SOURCE of that missery! Nisamee sana! Nilipanga nikuje piemo but nilisita due to the fact that sikukukera piemo!
Im not perfect, just forgive me!
Na nakutakia heri ya Xmass + new year {2014}
tena uarange thiku nikuje niku-hugg bibie! Lol!
...
watu8!
Nakukubaligi sana mkuu! For sure umetoa matongo ya kiFB! heri na Baraka za Xmass + new year ziwe nawe Mkuu!
...
Also ningependa kuwatakia heri na baraka za mwaka mpya akina:
mwekundu! hahahahaaa! Niajjeh?
.
Mentor! Mkuu lini tutameet?
...
Washawasha! Hahahahaa! Usilog off mkuu!
Ennie!
...
Dah! Jaman, thiwedhi kuwataja nyote!
So, na Member wote watakaoona hii post heri na baraka za Xmass + mwaka mupya ziwe nanyi.
mbarikiwe sana!
Llikewise kaka DC. I am so humbled too... Saana tu! Hiyo zawadi wacha nije chumbani tuongee kabisa ili tupange mipango nyoofu. 😎
Heh! Mashaxizo jamani,mbona mi sina ujumbe? Nitanuna ujue!!!
Merry X-Mass Best na 2014 ubebe yote unayohitaji na zaidi.
Stay blessed best.
Asante sana my dear......
Special greetings to you as well....
Me love you miiiingiiiiiiii
Kwako wewe huwa sifanyi utani hata kidogo and I should say that I am very very serious. Mwaka huu lazima nimpe zawadi Maxence Melo hata kama ni bakuri la uwono (dagaa watamu hao) kutoka kwa bibi.
Please take it seriously Da Asha.
Babu DC!!
Unataka kudesa best? Basi usijali Mashaxizo mwakani ubadilishe avatar huyo wa kushoto anafoka sana.Hahahahahaaaa!
Uthinune best wewe ni wangu mwenyewe, roho tu ya Mungu!
Nilijua upo karibu na tutaongea mawili matatu coz naamini hata wewe unaujumbe wa kunipa! Just be free na pasuka uwezavyo!!!
Mimi thio Mchoyo kama Babu DC aliegonga like na kuibandua! Kaona ntapaata!
...
Tho, naomba ujumbe wako kwangu fasi, then nitakuambia kitu!
Unataka kudesa best? Basi usijali Mashaxizo mwakani ubadilishe avatar huyo wa kushoto anafoka sana.
Hahahahahahaaaaaa!
Best mjanja weye! lol!
Lakini usjali ujumbe umefika!
Haki ya Mungu nimechekaje! Hongera zako!
...
Lakini ukumbuke, sometimes huyo wa kushoto anachokozwa!
eiyer na lini uliona mkwezi anaupanda mnazi kwa ngazi?
kwanza nani kakwambia upige chabo wakati nabembelezwa na babe wangu!
Huu mtihani... Maana nilivyo ahidi vilivyo viingi! :A S 39:
:frusty::frusty:
:frusty::frusty: